Simba hii kwa sasa naona wamebaki kukamia mechi dhidi ya waarabu na sio kuzicheza mechi hizi kiufundi, kilichoonekana Jana kinathibitisha ilo!
Kadri muda ulivyokuwa unaenda nilikuwa sioni Simba itapataje goli na kwa njia ipi, wakati wenzao waliokuwa wanayo presha kubwa ya kupata matokeo...
Wadau habarini za jioni, poleni na jukumu la kujenga taifa,
Ndiyo tunaelekea mwisho wa mwaka bado siku 30 tu mwaka uishe je umefikia malengo yako au ndio kuishi kwa mazoea kama watanzania wengi tulivyozoea niende kwenye mada.
Hivi karibuni kumetokea tabia au mazoea ya wanasiasa kuwazarau...
Wadau kulingana na taswira ya jiji la Dar es Salaam kwa sasa, eneo la Mbezi Luis, ni eneo ambalo limekaa kimkakati katika kukuza uchumi wa Dar es Salaam na nchi kwa ujumla, cha kushangaza miundombinu yake ni mibovu sijapata kuona.
Kuna mtaa unaitwa Luis, leo ni karibu mwezi mzima, wananchi...
Wakazi wa kulwa pande tuna kero kubwa juu ya barabara hii.
Kila siku tunapigwa kalenda tu kwamba itajengwa kwa kiwango cha lami lakini hakuna utekelezaji.
Serikali itambue wajibu wake, sio kujenga barabara za mitaa za Makao Makuu ya Halmashauri na Kijijini wanakuachia.
Habarini, naleta taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana...
Mashine ya CT SCAN katika hospitali ya Mloganzila ni mbovu takribani mwezi mmoja na nusu na hali ni mbaya, wagonjwa wengine inawapasa wapange foleni katika kupata huduma hii.
Ni aibu kwa Hospitali yenye hadhi ya TAIFA kama Mloganzila...
Anonymous
Thread
hospitali
hospitali ya mloganzila
katika
mashine
mloganzila
scan
ubovu
Kwa mataifa mengi duniani, imekuwa kawaida watawala kutumia mifumo ya kiutawala inayokiuka misingi ya utawala bora. Katika kukuza na kudumisha utawala unao zingatia zaidi uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa mahakama, uwazi, haki na umoja, ushirikishwaji wa wananchi na...
Kuna watu bado wana shadadia hii serikali ya awamu ya sita sijui ni kwa makusudi au kukosa uelewa, inshort naweza sema wengi wao ni wapiga dili, kama siyo mpiga dili hii serikali huwezi iunga mkono hata kidogo ina mambo ya ajabu ambayo hayajawhi kutokea tongu tupate uhuru.
Sasa Mwananchi...
Watanzania hii fursa ya kurekebisha mitaala ni fursa adhimu sana, ni nafasi ya kuweka mambo mengi sawa lakini fursa hiyo inaweza kupotezwa na watu wachache bila kuwa na maono yoyote wakavuruga.
Mpaka leo najiuliza ni mtaalamu gani anayeweza kutoa mapendekezo butu na kujaribu kuvuruga dira za...
Kutokana na taarifa za tukio la kifo cha nguli wa mitandao ya kijamii nchini Ndugu William Malecela ajulikaye kama Le Mutuz.
Nini hatma ya sekta ya Afya nchini katika kuwa na uwezo wa kuwa na wataalamu wa magonjwa ya moyo na vifaa vya kukabiliana na magonjwa ya dhararu kama magonjwa ya...
Ubovu wa Barabara kutoka Mbande kwenda Msongola imekuwa ni kama kitega uchumi.
Ni Barabara ambayo haijengwi Bali huchongwa tu kwa greda tu kwa muda Kisha huaribika tena na kurudiwa kuchongwa mfano kipindi hiki cha masika wamechonga kabla mvua hazijaisha imechongwa tena na tayari imeshaharibika...
Baadhi ya Wafanyabiashara wa Soko la Tegeta Nyuki, Dar es Salaam wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya soko hilo hilo kwa kusema asilimia kubwa inachangia huduma kuwa mbovu hasa wakati wa mvua.
Nurdin Abdul, Mfanyabiashara wa sokoni hapo amesema “Changamoto katika soko letu ni matope, mazingira...
UBOVU WA MAWASILIANO KATIKA TAASISI ZETU ZA UMMA
Katika karne hii ya sayansi na teknolojia inasikitisha sana kuona taasisi zetu zikiwa hazifanyi sana vizuri katika utoaji huduma kwa haraka na ubora unaotakiwa hasa katika mawasiliano.
Ipo dhana kwa wananchi kwamba mambo yako...
Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa Victoria) Km 3.2 kwa gharama ya Ths. 700 Bilioni wakati kuna njia mbadala kuna vivuko. Uwanja wa ndege...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wananchi wa Bulale Kata ya Buhongwa Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza baadhi ya wananchi wanaoishi katika maeneo hayo wameiomba serikali kuwatengenezea Barabara itokayo Buhongwa kuelekea kituo cha Afya Bulale ambayo kimsingi mpaka sasa inapitika kwa Shida hasa...
Wakazi wa kata ya Sinoni, na Ungalimited wanaotumia barabara kuu ya Engosengiu inayotokea mjini kuelekea katika Kata hizo mbili wamedai kuchoshwa na ubovu wa barabara hiyo kiasi cha kuwaletea usumbufu mkubwa hata katika vyombo vyao vya moto.
Baadhi ya madereva wa Bajaji na Hiace wanaotumia...
Bohari Kuu ya Madawa MSD inakumbana na changamoto nyingi kufikisha dawa
Hayo yamebainika mkoani Morogoro Tanzania inabidi MSD watumie gharama za ziada kufikisha dawa katika zahanati na vituo vya afya mkoani Morogoro....
Source : Millard ayo
Katika Zahanati Baga kilichoo Morogoro Vijijini...
Rais Samia amekemea tabia ya viongozi kuwa kimya juu ya ubadhirifu na ubovu wa miradi isiyoendana na thamani ya fedha iliyoko katika maeneo yao na kusubiri mbio za mwenge zije kubaini kasoro za miradi.
Amewataka watendaji kushughulika ipasavyo na kutosubiri mbio za mwenge kujua shida za miradi...
Kama katiba ingelikuwa nzuri. Wa-Loliondo wasingeondoka kwenye ardhi ya mababu zao. Zuio la kimahakama lingewekwa na rais angeburuzwa mahakamani.
Lakn katiba yetu inamlinda rais kuhojiwa na kushitakiwa na chombo chochote kwa kosa lolote atakalolitenda akiwa anatekeleza kazi zake za urais...
Wakuu
Serikali haijatatua tatizo!
Tatizo sio malipo ya Ada bali mhitimu atafanya nini Baada ya kumaliza elimu yake!
Je, anaweza KUTUMIA elimu yake kujiajiri!!?kufanya jambo jipya lenye soko nchini!!!?
Mhitimu huyu aliemaliza kidato cha nne au sita Anaweza kujiajiri na kukuza kipato chake KWA...
Hivi Kocha mwenye Akili Timamu unawezaje kuwaanzisha Wachezaji Waandamizi na waliotumia Nguvu Kubwa katika Derby badala ya Kuwatumia wale wasiokuwa na Nafasi na ambao hata Kiufundi tu Mechi hi ndiyo ingewafaa?
Hivi leo Pablo Franco Martin angeanza na Kikosi hiki nani angemlaumu hata kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.