ubovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Daladala ni mateso. Hakuna mamlaka ya kudhibiti ubovu wa Daladala, au mpaka Majanga yatokee ndiyo tutashituka?

    Kigezo cha Gari kuwa Dadadala ni lazima liwe Bovu? Nenda stendi zote, Dar, Dodoma, Arusha, ukiacha zile zinazofanya ruti ndefu lakini zingine zote magari ni mabovu kiasi ambacho zingine ukiwa ndani unaona chini. Lakini sioni mammlaka husika zikifanya kazi yake. Zamani kwa mabasi yalikuwa...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wadukuzi waonesha ubovu wa mifumo ya Cryptocurrency

    Wadukuzi wenye maadili 'white hat hackers' waliingia kwenye mifumo ya fedha za mtandao, 'CryptoCurrency' na kuchukua kiasi cha dola milioni 610. Wadukuzi wamerudisha kiasi hiko cha fedha kwa wahusika kwa kuwa lengo lao halikuwa kuiba. Walichukua hela hizo kutoka Polygon, BSC na Ethereum...
  3. uchumi2018

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa barabara Kisukulu Maji Chumvi - Segerea ni kero kubwa

    Ndugu wanajamvi Nawasalimuni kwa jina la jamhuri ya muungano. Nimeona niamke na hoja hii kwani wakazi wa kisukulu tumejikuta kwenye mateso ya muda mrefu. Kwa wale wasiojua kisukulu ni wapi, Kisukulu ni kata inayoangukia kwenye jimbo la uchaguzi la segerea wilaya ya ilala kwa utambulisho zaidi...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa barabara ya Mombasa kwa Mkolemba

    Ukitazama barabara ya Mombasa kwa mkolemba jimbo la ukonga utajiuliza yu wapi Jerry Slaa mbunge wa jimbo la Ukonga?. Upo wapi mheshimiwa mbunge au unasubiri 2025 tena uje na porojo hewa kwetu sisi wananchi tunaotaabika kwa ubovu wa barabara ya Mombasa, Moshi bar, Kwa Mkolemba, Kanyigo, Mwembeni...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu ni uthibitisho wa ubovu wa Katiba ya 1977

    Kwa mujibu wa Katiba yetu hii mbovu ktk ibara ya 52 (2). (..)Rais atamteua mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi, kuwa waziri Mkuu (..) N.B. Kila kwenye (..) kuna maneno nimeyaruka. Sasa huyu mhe Majaliwa alichaguliwa na wananchi ktk Jimbo lake? Jibu ni HAPANA hakuchaguliwa na...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bandari Bagamoyo bila uwazi wa ubovu wa mkataba, ni usaliti wa Bandari zilizopo

    Tunataka Miradi mingi katika taifa letu, Lakini tunataka miradi ambayo kiukweli italeta ukombozi wa maisha ya wananchi Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi mkubwa na unaumhimu wake, Lakini kwa nini usiwe wazi? kwa nini tunadhani JPM pamoja na aliyekuwa mgombea Uraisi kupitia Chadema 2015 mh...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Mrejesho ubovu wa stendi ya mabasi; Uamuzi na kauli ya Mbunge

    Wana JF. Kwa mkoa wa Kagera takribani wiki sasa mjadala mkuu ni hali halisi ya Stendi ya mabus ya mkoa ambayo hakika ni iabu kusema hii stendi ni ya mkoa. Hapa JF kuna thread na michango mingi iliyojadili stendi hii. Sitaki kuendeleza majadala unaweza kurejea thread hizi hapa chini...
  8. instanbul

    JamiiForums Tanzania Stendi kuu ya mkoa wa Kagera inahitaji marekebisho

    Wakazi million tatu na laki mbili wanaoishi katika mkoa huu wa kagera hasa mji mkuu wake bukoba wanazidi kushangaa ukimya wa viongozi wa mkoa, wanasiasa, wasomi nk ambao hupita kila siku katika hii stendi (maana ipo katika barabara kuu iingiayo mjini) wanavyojikausha kama haiwahusu vile hiki...
Back
Top Bottom