Salaam!
Wanaume tuwe makini kwani kizuri kikizidi huwa kibaya.
Ushawahi kusikia finite na infinite, chenye mwanzo na mwisho relatively.....
Basi tunao penda kuvaa vizuri na kupendeza tuwe na mipaka.
Hususani sie wanaume, kwa sababu wakuu vipo vingi venye urembo na urembo ni addiction huvuta...