Ili Kutinga Robo Fainali CCL Simba Inalazimika kumvua Ubingwa Wydad Casablanca!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,172
9,398
Huu ni ukweli Mchungu!
Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi zitakazoamua Ima Simba aende Robo Fainali au Wydad ajenge matumaininya kuingia Robo Fainali na kuendelea kutetea Ubingwa.
Bila shaka Mnyama anahitaji kudhirisha ukubwa wake!
 
Mcheze kwa mahesabu
 
Wanacheza utadhani hawajala, unategemea wafuzu waende wapi?, hao hawavuki makundi huu ndo ukweli.

Kocha anawapa dakika za kutosha akina Onana na Baleke, ulitegemea maajabu gani tena hapo?.
Hii timu itatuua, bora tuendelee kuisusa hivihivi.
 
Wydad ana ubingwa gani?
 
Logic is very simple, Simba hata kumaliza kwa kuongoza kundi anaweza.

Simba hata akipoteza kwa Wydad sio kesi lakini LAZIMA nae amfunge Wydad hapa nyumbani, hapo atakuwa na pointi 5.

Then Simba akienda kwa Asec LAZIMA atafute draw yoyote, au ashinde, kwasababu wale wajinga walipata draw hapa, tugawane pointi moja, au tuondoke na tatu, hapo Simba atakuwa na pointi sita au nane.

Mechi ya mwisho na Galaxy kwa Mkapa, Simba LAZIMA ashinde, akishinda atafikisha pointi 11, hapo anaenda robo fainali bila shida tena kwa kuongoza kundi.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Mmh sio kwa simba hii, simba hatujashinda hata mechi 1 kimataifa kati ya mechi 6?
 
Logic is very simple, Simba hata kumaliza kwa kuongoza kundi anaweza.

Simba hata akipoteza kwa Wydad sio kesi lakini LAZIMA nae amfunge Wydad hapa nyumbani, hapo atakuwa na pointi 5.

Then Simba akienda kwa Asec LAZIMA atafute draw yoyote, au ashinde, kwasababu wale wajinga walipata draw hapa, tugawane pointi moja, au tuondoke na tatu, hapo Simba atakuwa na pointi sita au nane.

Mechi ya mwisho na Galaxy kwa Mkapa, Simba LAZIMA ashinde, akishinda atafikisha pointi 11, hapo anaenda robo fainali bila shida tena kwa kuongoza kundi.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Inategemea na matokeo ya mechi za timu zingine, siyo lazima amfunge Wydad
Akiwafunga ASEC na Jwaneng halafu wao kila mmoja amfunge mwenzake au watoke sare na Wydad ashinde mechi zote zilibaki
 
Wanacheza utadhani hawajala, unategemea wafuzu waende wapi?, hao hawavuki makundi huu ndo ukweli.

Kocha anawapa dakika za kutosha akina Onana na Baleke, ulitegemea maajabu gani tena hapo?.
Hii timu itatuua, bora tuendelee kuisusa hivihivi.
Mbna Humtaji Saidoo? Huyu ndo hatakiwi hata kucheza cha ajabu eti ndo anafanyiwa sub mwshoni, inakeraaa.
 
simba anatoa draw Mohamed 5

Anashinda kwa mkapa

Anatoa draw Ivory coast

Anashinda kwa mkapa

Tutafuzu na pointi 10 kibindoni.
 
Wanacheza utadhani hawajala, unategemea wafuzu waende wapi?, hao hawavuki makundi huu ndo ukweli.

Kocha anawapa dakika za kutosha akina Onana na Baleke, ulitegemea maajabu gani tena hapo?.
Hii timu itatuua, bora tuendelee kuisusa hivihivi.
Kiukweli Simba kwa sasa haina mshambuliaji tegemeo.

Hata Baleke hana maajabu.
Baleke
Onana
Mozes Phili
Miquesson
Kramo
Wanatakiwa kupewa mkono wa kwaheri kwenye Dilisha dogo.
 
Katika orodha hiyo, naona Moses ana ahueni sema hapewi muda mwingi wa kucheza.

Mchezaji kama Onana kwa hizi siku zilizosalia kufika dirisha dogo, hata benchi hapaswi kuwepo kwa wendawazimu wake anaocheza uwanjani.

Ila niwajuavyo viongozi wa Simba na tajiri miluzi MO, hakutakuwa na maboresho ya maana dirisha dogo bali tutegemee siasa zao na propaganda ikifika dirisha kubwa mwezi july, napo hawataleta vyuma zaidi ya maneno mengi vitendo sifuri.
 
Logic is very simple, Simba hata kumaliza kwa kuongoza kundi anaweza.

Simba hata akipoteza kwa Wydad sio kesi lakini LAZIMA nae amfunge Wydad hapa nyumbani, hapo atakuwa na pointi 5.

Then Simba akienda kwa Asec LAZIMA atafute draw yoyote, au ashinde, kwasababu wale wajinga walipata draw hapa, tugawane pointi moja, au tuondoke na tatu, hapo Simba atakuwa na pointi sita au nane.

Mechi ya mwisho na Galaxy kwa Mkapa, Simba LAZIMA ashinde, akishinda atafikisha pointi 11, hapo anaenda robo fainali bila shida tena kwa kuongoza kundi.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mkuu Simba ipi imfunge Wydad hapa?. Mkikimbiza sana sare hapa. Atakuwa na point 3 ongezea na 3 na Garaxy kwa hapa nyumbani,atamaliza na point 6 au sana sana 5 mkifungwa kote kote na Wydad.
 
Logic is very simple, Simba hata kumaliza kwa kuongoza kundi anaweza.

Simba hata akipoteza kwa Wydad sio kesi lakini LAZIMA nae amfunge Wydad hapa nyumbani, hapo atakuwa na pointi 5.

Then Simba akienda kwa Asec LAZIMA atafute draw yoyote, au ashinde, kwasababu wale wajinga walipata draw hapa, tugawane pointi moja, au tuondoke na tatu, hapo Simba atakuwa na pointi sita au nane.

Mechi ya mwisho na Galaxy kwa Mkapa, Simba LAZIMA ashinde, akishinda atafikisha pointi 11, hapo anaenda robo fainali bila shida tena kwa kuongoza kundi.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hatuna timu yakwenda popote,kwa takataka hizi kina baleke
 
Katika orodha hiyo, naona Moses ana ahueni sema hapewi muda mwingi wa kucheza.

Mchezaji kama Onana kwa hizi siku zilizosalia kufika dirisha dogo, hata benchi hapaswi kuwepo kwa wendawazimu wake anaocheza uwanjani.

Ila niwajuavyo viongozi wa Simba na tajiri miluzi MO, hakutakuwa na maboresho ya maana dirisha dogo bali tutegemee siasa zao na propaganda ikifika dirisha kubwa mwezi july, napo hawataleta vyuma zaidi ya maneno mengi vitendo sifuri.
Onana, baleke,saidoo,=rubbish
 
Back
Top Bottom