Hali ilivyo kuwa jana imeharibu mipango mingi mno, kwa sasa namna pekee ya kulitetea kombe la ligi kuu ni kushinda mecho 3 kati ya nne, nje ya hapo tusubirie maumivu, yapasa tukaze kweli kweli tusilete masikhara hata michezo ya nje ifanyike poa tu, kinachokumbukwa ni michezo ya nje au ubingwa ...
Asernal wasahau kabisa kuhusu kuchukua kikombe, mechi zidi ya man city atapigwa wima, goals difference zinampa ubingwa city, kikombe ambacho mtabeba arsenal labda ya uji wakati wa kufuturu😅😅😅😅
Kwa wale ambao ni watazamaji wa mchezo wa mpira wa miguu wanajua kuna vitu vidogo sana ambavyo vinaweza kubadilisha mwelekeo wa mchezo na kubadili na matokeo moja kwa moja
Kitu ambacho kimebadili mchezo wa leo wakati Arsenal ikiongoza 2-0 ni kitendo cha mchezaji wao Granit Xhaka kutaka kupigana...
wote tumekubaliana kuwa Arsenal hatobeba ndoo. Basi katika ile safari yake ya kutochukua ubingwa leo pale Anfield atachapika magoli 2-1. Kama unabisga subiria dakika 90.
Ligi Kuu ya Uingereza inaelekea ukingoni, zikiwa zimebaki mechi kadhaa, Arsenal anaongoza ligi kwa alama 5 huku akiwa amecheza mechi moja zaidi ya Man City.
Man City yeye amebakiza mechi 10 wakati Arsenal amebakiza mechi 9.
Haya tuone kila timu imebakiza mechi zipi na baada ya hapo tabiri nani...
"Sisi ndio tutakuwa timu ya Kwanza kutoka kwenye ardhi ya Tanzania kulileta Kombe la CAF nchini Inshallah, Jumapili tukifanikiwa kutinga Robo fainali nina Imani tutavuka na kwenda Nusu fainali , baadae Fainali na Inshallah sisi ndio itakuwa timu ya Kwanza kushangilia taji hili""
Wananchi msiwe...
Hii ndiyo taarifa mpya iliyosambazwa mitandaoni, ambako inadaiwa Rais wa ABU Haucine Hauichi amegundua kwamba alama zilizotangazwa na Majaji wa mchongo zilipigwa karata tatu, keusi kekundu.
Kwamba alizopaswa kupewa Sabelo Ngebinyana wa S. Africa akapewa Tony Rashid kwa njia ya Uzalendo.
ABU...
Tangu kuongoza kwa ligi na matokeo waliokuwa wakiyapata, kuna kina sisi ambao tulikuwa tunaona ni dharau sana kwa haka katimu kukalia usukani.
Anyway EPL ni mbio ndefu sana, tunategemea katakaa mahali panapostahili siku zote( Nafasi ya 3 ,4 au ya 5)
Arsenal hii siyo ya kuchukua ubingwa na kama...
Kwa mwenendo wa checheme huu kweli kuna mashabiki wanaamini timu yao itachukua ubingwa? Kesho wanadondosha point mbele ya Manchester City. Nina uhakika kwa asilimia 100 akijitahidi ni kupata sare.
Timu langu Liverpool hali ni mbaya, nikawa natamani sana Arsenal iuchukue ubingwa badala ya kwenda...
Kumekuwa na sintofahamu kuwa hivi sasa Manara tangu tu alipoenda Dubai amepoteza kabisa ubingwa wake, hali iliyopelekea mke wake mdogo kumkimbia.
Ikumbukwe kuwa Haji manara ni balozi wa wasafi bet hivyo yeye na mkewe walilipiwa gharama zote za safari kwenda na kurudi malazi vyakula vilipwa...
Ni wana Yanga pekee wanaowaza tofauti na binadamu wengine. Wao ndio pekee wanaoamini kuwa Chelsea Atatwaa ubingwa wa English Premier league wakati kazidiwa points 16 na anayeongoza ligi lakini Simba hawezi kamwe kutwaa ubingwa wa NBCPL wakati kazidiwa points 6 tu na anayeongoza ligi.
Akili zao...
Arsenal inacheza vizuri sana mwaka huu, halafu ina hamasa kubwa. Inaongoza kwa pointi 43, Man city inafuatia kwa mbali kwa pointi 36. Imefungwa mara moja tu na kutoka sare mara moja!
Klabu zingine zisubiri mwakani!!
Sare anazopata Simba zinamuweka katika hali ngumu ya kurejesha ubingwa pale Msimbazi. Mpaka sasa inabidi Yanga ipoteze angalau michezo miwili ndipo Simba ipate ahueni.
Lakini pamoja na yote, swali la Msingi ni kwamba Simba imefikaje katika hali hii? Hapa ndipo kwenye tatizo la msingi. Simba...
Tumekuwa na wakati mzuri sana kuangalia kombe la dunia na sasa tunakaribia kufika mwisho. Kila timu imevuna ilichopanda. Argentina ndio timu bora zaidi kwenye michuano hii.
Lionel Messi anaenda kuwa kinara baada ya mchezo mkali dhidi ya Ufaransa. Atastaafu kwa heshima kama mchezaji bora zaidi...
Mbio za ubingwa wa ligi ya Tanzania kwa sasa unakwenda kimahesabu zaidi kwa wanaouelewa mpira wa kitanzania.
Ni mapema sana kumtaja atayebeba ndoo kwa sasa lakini kimahesabu na kiufundi Vijana wa mitaa ya twiga na jangwani wanayo nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wao endapo wataendelea na ubora...
Naomba nipewe hilo jukumu na niwe na watu hawa Idi Kajuna (mtani wangu wa Kihaya), mafia mwenzangu Kassim Dewji (KD), Mandanje mzee wa kujilipua na mvaa mabomu na poti wangu kutoka kwetu mkoani Mara (Musoma), msomi na tajiri Crescentius Magori ili Yanga SC walie katika mechi zao hizi tatu...
Hii ni fedheha kubwa kwa vijana Marasta wa Arusha kuutweza utu wao kwa ujira kiduchu wa Dola toka kwa watalii. Inakuaje kijana unajidhalilisha kisa pesa/pombe?
NB: kazi (Halali) kipimo cha utu
Kuliwa KANDE si ujanja
Pamoja na GSM kumwaga hela kwa timu SImba inacheza nazo kama tulivyoona kwa Prison Kuaahidiwa hela nyingi wakiifunga SIMBA bado simba msimu huu tunawakati Mgumu sana. Kwa Yanga hii me nadeclare Mapema KABISA YANGA HATUWAWEZI MSIMU HUU TENA.
Pia mechi za YANGA vs SIMBA na SIMBA vs YANGA hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.