ubingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Twaha Kiduku apigwa ubingwa wa mabara WBF;nilinyofoa video zangu zote YouTube Ili Twaha Kiduku hasizione-Bondia Asemahle Wellem.

    Twaha Kiduku is the most decorated fighter for now here in Tanzania kupoteza pambano kwa Msouth African kijana mdogo Asemahle Wellem"predator"kunatupatia picha ya kwamba boxing ya Tanzania bado ni ya mwaka 1947 wakati Power Ilanda na Power Mabula wakishindana kuvuta gari kwa meno,Twaha Kiduku is...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hii ndio pre season ya Azam Fc

    Pre season inaendelea huko nje ya nchi. Nitumieni picha za pre season za timu kama Madrid au Man city wakiwa hivi niwaonyeshe chips zenye ukoko.
  3. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa awamu hii ya sita pengine na ya Saba Simba msijisumbue kuhusu ubingwa subirini 2031--2032 hii issue ni nzito!

    Ndoto niliyoota ni kwamba wakubwa wakisema hakuna ni hakuna ...kwa Sasa yanga ni mtoto pendwa kabisa ..ni wakati wake kudeka na kujigalagaza ...na sisi Simba SC tujitahidi kupigana nafasi ya pili mpaka 2031 kwa Sasa milango imebanwa kisawasawa! Tuombe hiyo 2031 nchi asipewe yule jamaa wa iramba...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Azam FC sajilini hata akina Messi, Ronaldo, Mbappe na Haaland, ila hamuwezi Kuchukua Ubingwa wowote ule

    Mpaka mkichana na Kusajili Virusi wa Simba na Yanga huku pia mkiwa na Viongozi Waandamizi wenye Uyanga na Usimba mwingi. Ninawashangaa mno mnavyosajili.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa hivi 'Vyuma' vitano nilivyoviona jana hoteli moja kuna Klabu itachukua Ubingwa NBC bado Mechi 15

    Kudadadeki TFF andaeni kabisa Kombe la NBC kwa Msimu ujao wa 2023/2024 kwani kwa vyuma vitano hatari nilivyoviona Mwenyewe na ninavyowajua Uwezo wao mkubwa Uwanjani kuna Timu itabeba Vikombe vyoye vya Tanzania (hata hiki changu ambacho GENTAMIYCINE nanywea Uji wangu wa Ulezi, Mhogo, Karanga na...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji nilikwambia unipe GENTAMYCINE wa JamiiForums nikusajilie Wachezaji wa Ubingwa hujanipa, sasa Utasajiliwa Migalasa tupu

    GENTAMYCINE naujua Mpira, Nimecheza Mpira, Nauchambua Mpira na Jicho Kali na Tukuka la Kumjua Mchezaji na nikipointi huwa sibahatishi ila Tajiri Wewe umeshindwa kunifuata PM hapa ili tuwasiliane ili nikusaidie Usipigwe Hela na Wajanja na Matapeli waliokuzunguka na niisaidie Simba SC yangu...
  7. ZVI ZAMIR

    JamiiForums Tanzania Wanatani wa Yanga mitaa ya Mbezi kwa yusuph washerekea ubingwa kwa namna yake

    kundi la vijana wakike kwa wakiume wakiwa na furaha sana, wakiimba ule wimbo pendwa wa leo ndo leo huku wakiendelea na maandalizi ya Mbuzi watatu pamoja na vyakula vingine, pamoja ya hayo wakiwa ndani ya mavazi (sio wote)ya kanzu wanasherekea ubingwa wa USM. Vigoma pia vinaandaliwa (kuanzia...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Game imeshaisha. Hakuna wa kutuzuia tusichukue ubingwa leo

    Huu Ubingwa tunauchukulia hapa. Hakuna wa kutuzuia. Kule tutaenda kamilisha tu mahesabu.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Simba ana ubingwa upi mpaka kushiriki CAFCL?

    Hii nadharia ya kuwasema Wanaoshiriki Shirikisho ni waliofeli sio sahihi, hii ni kujificha kwenye kivuli Cha kufeli Kwa Magungu. Kuna michuano wanaita CAF champions League, yaani michuano ya Mabingwa , Sasa kama ndo hivo basi Simba hakupaswa kushiriki Ligi hiyo kwakuwa Huyu Simba si bingwa wa...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rasmi Manchester City imetwaa ubingwa wa Premier League 2022/23

    Goli pekee la ushindi la Nottingham Forest lililowekwa wavuni na Taiwo Anoniyi dhidi ya Arsenal, leo Mei 20, 2023 ni rasmi limeifanya Manchester City kutwaa ubingwa wa ligi hiyo ikiwa na michezo miwili mkononi Arsenal ambaye inashika nafasi ya pili, ina pointi 81 na imesaliwa na mchezo mmja...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi, mashabiki na marafiki wa klabu ya USM Alger tukutane hapa tujiandae kuupokea ubingwa wa kombe la Shirikisho 2022/2023

    Shalom shalom Hekoheko marafiki na mashabiki wa klabu ya Union Sportive de la Médina d'Alger maarufu kama USM Alger au USMA. Mara baada ya kuibamiza klabu ya Asec mimosas hapo jana jijini Algers nchini Algeria kwa kichapo kizito cha mabao mawili bila ya majibu ,tunarejea tena kuwawinda underdog...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sincerely kwanini nataka Yanga SC ifike Fainali ya CAFCC na Ibebe kabisa na Ubingwa?

    1. Ili wana Simba SC tunaodanganywa kila mara mpaka kutuletea Mchezaji Mhamasishaji, Majeruhiwa, Mwanasiasa ( hasa za Michezo ), Mpiga Kura, Msanii na kufanywa Wapumbavu tuumbuke. 2. Ili Uongozi mbovu na wa Upigaji mwingi ubadilike au uachie ngazi. 3. Itufanye Mashabiki wa Simba SC kuachana na...
  13. Bushmaster

    JamiiForums Tanzania Tff na Bodi ya Ligi imeisadia Yanga kushinda ubingwa msimu wa 2022/23

    Habari kwenu nyote. Katika kile ambacho TFF na Bodi ya Ligi inakipinga kila siku suala la upangaji wa matokeo,lakini wao kwa namna moja ama nyingine wamekua wakikifanya kwa makusudi kabisa bila kushtakiwa na mtu yeyote. Hivi inawezekana vipi katika hali ya ushindani wewe unapanga ratibu Simba...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Faisal asinyimwe kuvaa medali ya ubingwa

    Ubingwa huu wa Yanga una mchango mkubwa wa mtukutu Fei Toto. Jasho lake ni jingi mno kwenye msimamo wa ligi. Aitwe ashiriki kuvaa medali sawa na wenzake.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Yanga akishinda leo Anabeba Ubingwa ligi kuu 2022/23!

    Wananchi wanakipiga dhidi ya Dodoma FC leo! Wanahitaji point 3 tu watangaze Ubingwa! Unadhani kazi itakua rahisi kwa Yanga mbele ya wanaDodoma? Wanangu wa mikeka ya Sokabet, Cheki Odds hapa👇
  16. mngony

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Kocha Nabi unaweza kuwapa Ubingwa wa Shirikisho timu ya Yanga, na hata kufika mbali zaidi Ligi ya mabingwa mwakani

    Kocha Nabi namsifia sana kutokana kuitengeneza Yanga kucheza kitimu zaidi na mbinu zake katika kuzikabili mechi kubwa Tukiachana na usajili wa wachezaji wazuri, tuhuma za kuhonga na mbinu nyingine nje ya uwanja ni kwamba huyu kocha ni chachu kubwa sana ya mafanikio ya timu ya Yanga uwanjani...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Simba kuukatia tamaa ubingwa ni kosa kubwa sana

    Kuanzia kikosi alochopanga kocha hadi uchezaji na hatimae draw ni dhahiri Simba walikuwa wameshakata tamaa ya ubingwa mwaka huu 2023. Hili ni kosa kubwa sn wamefanya. Hata mwaka jana walikata tamaa mapema na kumalizia mechi zao ilimradi kwa kutoa sare nk bila kujua kuwa hata wapinzani wao...
  18. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Kwa hali halisi ilivyo, Simba anaenda kumpita Yanga kwenye ubingwa NBC

    Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city. Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.
  19. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa picha: Simba imewahi kutwaa ubingwa Afrika

    Kwa wale wasiofahamu, Simba SC imewahi kutinga na kunyanyua kwapa mara kadhaa katika hatua ya nusu na fainali hatimaye ubingwa huko ughaibuni. Hapa ni moja ya viungo wakabaji akiwa amenyanyua kwapa baada ya kutwaa ndoo. Hapa ni moja ya ndoo zilizochukuliwa na kilabu hiki katika michuano hiyo...
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Man City Vs Arsenal | Mchezo utakaotoa taswira ya ubingwa

    Mabingwa watetezi wa EPL, Man City watakuwa nyumbani Etihad kuwakaribisha vinara wa ligi hiyo Arsenal. Arsenal amemuacha Man City kwa alama 5 huku akiwa amecheza mechi mbili zaidi ya City. Mara ya mwisho Arsenal kumfunga City katika ligi ni mwaka 2015. Utaona ni namna gani mchezo wa leo ulivyo...
Back
Top Bottom