Simba kama moja ya klabu kubwa Afrika inahitaji kuwa na wachezaji wenye mwendelezo mzuri wa perfomance kiwanjani ili idumu kwenye hadhi na nafasi yake.
Tokea msimu huu 2021/22 umeanza imeonekana kwamba Kibu Denis na Bernard Morrison wameingia kwenye kikosi cha kwanza. Ni wachezaji wazuri sana...
Hongereni sana Timu ya Wananchi(Dar Young Africans). Mchezo mliouonyesha imeonyesha kuwa Timu ya Simba bado sana na inabidi wajipange kisawasawa. Usajili wa mwaka huu kweli kama mashabiki tumeridhika sana. Ubingwa mwaka huu ni wetu kinachotakiwa ni kuongeza juhudi. HONGERENI SANA.
Majamaa wa Simba wamenikosesha raha sana jana, wananiambia eti jana vigogo wa soka afrika wamekutana, mabingwa wanapimana nguvu, nafahamu kuwa TP Mazembe ni bingwa wa africa mara tano.
Pia nnafahamu kwamba kombe kuuuubwa ambalo Yanga kachukua ni Klabu bingwa africa mashariki na kati (Kagame)...
Huku ni kudhalilishana tu. Watu wa kimataifa mnaposikia hiyo slogan msije mkachukulie watz wote mabogus. Hapana,ni kikundi kidogo tu kimeamua kinaitwa Utopolo.
Waambieni watu Return hii ni kwa mbeleko ya Simba SC
Wanahamu na ubingwa hawa sema tu wabahili
•Man United watakuwa na kikosi kizuri lakini hawana kocha wa makombe😂
•Man City Target yao kubwa kuchukua ubingwa wa UEFA.
•Liverpool kocha atafukuzwa kwa maslai mapana ya klabu.
•Chelsea wataonyesha ushindani top 4.
•Tottenham top six
•Arsenal ni...
Kwanza niseme tu hewa imekuwa nyepesi mno baada ya kusikia manara kaondoka.
Mechi ya juzi kiukweli Yanga tulistahili kushindwa, Mukoko kitu alichofanya sio cha kiungwana kabisa na matokeo yake akaipa timu mzigo mkubwa wa kucheza pungufu, Ila bado niliona vijana walijitahidi licha ya kucheza...
Hili swali tuliambiwa tuwaulize GSM kama ikitokea tumekosa Ubingwa na ni kutokana na kikosi kikali ambacho Yanga tulisajili ukilinganisha na cha Simba chenye wachezaji Wazee. miaka karibia 4 Simba imekuwa na Kikosi cha wachezaji wazee sana. lakini inashangaza hawa ndo wanaokipatia matokeo...
Mzee wangu aliwahi nambia vipaumbele vya Mzungu na Mswahili ni tofauti sana. Mzungu anawaza kuwa mwaka huu nataka nivumbue kitu fulani kiisaidie jamii mswahili anasema mwaka huu nikizikamata tu naoa mtoto mbichii. halafu mswahili atakaa kijiweni akilalamika kuwa mzungu anamhujumu. mzungu atakaa...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL, Kuendelea kupigwa leo July 11, 2021 ambapo Mnyama Mkali, Simba SC, wanawakabili Wagosi wa Kaya, Coastal Union, kunako Dimba la Mkapa Jiji Dar es salaam.
Mchezo ni mgumu kwa pande zote mbili, kwani Simba SC inasaka alama tatu au...
Ni kweli mbinu za Thomas zitawasumbua makocha wengi barani Ulaya au ndo kakutana na ganda la ndizi?
---
Chelsea win the Champions League with a 1-0 victory over Manchester City in Porto Credit: Alexander Hassenstein/Uefa via Getty Images
Nothing less than a revolution against the Pep...
Ni half time sasa hivi. Atlético madrid 0 kibonde Valadollid 1. Ni mechi ya mwisho msimu huu wa la liga. Ushindi ni lazima kwa Atlético watwae ubingwa. Real Madrid nayo iko half time ikiwa goli moja nyuma dhidi ya vellareal 0-1.
Kuna tenshen ya hali ya juu. Matokeo yakibaki hivihivi hadi...
Timu ya Yanga baada yakugomea muda wa mechi na hatimaye kuagirishwa Simba imenufaika kuahirishwa kwa mechi hiyo.
Kwani mpaka kuja kukutana na Yanga tena Simba itakuwa imeshapunguza idadi ya match na hivyo kupelekea kucheza bila presha yeyote.
Endapo Yanga ingekubali kucheza leo na kufanikiwa...
Ikumbukwe kuwa akiwa anaongea na Kipindi cha Michezo cha Wasafi FM na hata kile cha EFM Boss huyu kutoka Kampuni ya GSM inayoifadhili kwa Kuinyonya Kimapato Klabu ya Yanga Injinia Hersi alisikika akisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa kwa 100% Yanga SC inaenda kuwa Bingwa wa 2020/2021 VPL na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.