Ili Kutinga Robo Fainali CCL Simba Inalazimikmkumbua Ubingwa Wydad Casablanca!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,173
9,398
Huu ni ukweli Mchungu!
Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi zitakazoamua Ima Simba aende Robo Fainali au Wydad ajenge matumaininya kuingia Robo Fainali na kuendelea kutetea Ubingwa.
Bila shaka Mnyama anahitaji kudhirisha ukubwa wake!
 
Simba anacheza na wydad mechi mbili mfululizo. Waydad mpaka sasa ana point 0. Na simba ana point 2.
Hapo lazima mmoja akusanye point 6 kwa mwenzake ndio atafuzu

Asec na Jwaneng wenye point 4 kila mmoja na wao wanacheza mechi 2 mfululizo.. huku kuna dalili ya mmoja kufikisha point 10.

Kuna dalili kubwa ya Asec ama jwaneng kufuzu kabla hajacheza na simba na wydad marudiano

upande wa SIMBA NA WAYDAD nafasi yao ya kufuzu itakuwa 1 tu.

JWANENG NA AISEC upande wao lazima kuna mmoja atafuzu
 
ASEC Memosas ashindwe mwenyewe njia nyeupe hao watatu ndio watatoana roho
 
Simba na wydad watapita kwenye hili kundi , tena afadhali mwaka huu simba hajafungwa mpaka saiz
Msimu uliopita alipigwa na horoya na raja home and away inamaan alidondosha point 9 lakin alipita
Kama simba akiweza kuchukua point 1 kwa wydad na 6 kwa hao jamaa wengine akafikisha hata 9 mambo yatakuwa vizuri maana naona asec au jwaneng watakomea kuwa na point 7 au 5..
 
Simba anacheza na wydad mechi mbili mfululizo. Waydad mpaka sasa ana point 0. Na simba ana point 2.
Hapo lazima mmoja akusanye point 6 kwa mwenzake ndio atafuzu

Asec na Jwaneng wenye point 4 kila mmoja na wao wanacheza mechi 2 mfululizo.. huku kuna dalili ya mmoja kufikisha point 10.

Kuna dalili kubwa ya Asec ama jwaneng kufuzu kabla hajacheza na simba na wydad marudiano

upande wa SIMBA NA WAYDAD nafasi yao ya kufuzu itakuwa 1 tu.

JWANENG NA AISEC upande wao lazima kuna mmoja atafuzu
Nawaombea Jwaneng na Asec wafuzu mapemaaa
 
Simba na wydad watapita kwenye hili kundi , tena afadhali mwaka huu simba hajafungwa mpaka saiz
Msimu uliopita alipigwa na horoya na raja home and away inamaan alidondosha point 9 lakin alipita
Kama simba akiweza kuchukua point 1 kwa wydad na 6 kwa hao jamaa wengine akafikisha hata 9 mambo yatakuwa vizuri maana naona asec au jwaneng watakomea kuwa na point 7 au 5..
Aahaaaaa

Mwaka huu unaojiita magiant kazi mnayo
 
Back
Top Bottom