Ipo haja ya viongozi wetu kujali maslahi ya umma na si kujali maslahi yao na koo zao baada ya kustaafu uongozi!

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,533
17,456
Wakuu

Kama Dp world imeyeyuka rasmi baada ya tamko la Tec na wanaharakati mbali mbali kupiga kelele it's obvious kwamba mhanga wa hayo yote ni Dr slaa KWA KUWA msemaji mkuu wa kelele hizi nchini!!

Gubu la mfaidikaji mkuu wa kandarasi hiyo limeamua kumtafuna Ili kupoza machungu ya kukosa ugali uliokua tayari umetick!!

Nadhani ipo haja ya viongozi wetu kujali maslahi ya umma ipasavyo na sio kujali maslahi yao na koo zao baada ya kustaafu uongozi.

Ni KAWAIDA KWA wenzetu kua na gubu tusipotimiza natakiwa yao hiyo huchangia kutopewa ushirikiano wa kutosha pale tunapowahitaji kama sehemu ya kumkomoa mhusika KWA kutotimiza haja yake.

Niwashukuru Wana ccm wenzangu AMBAO hawakutoa ushirikiano wa kutosha Ili kuwafaidisha wachache KWA mstakabali wa kesho ya taifa letu.

Namshukuru makam wa Rais Dr philip mpango KWA kutosapoti hadharani mpango huo pia waziri MKUU ndugu majaliwa k majaliwa KWA kutounga mkono hadharani sakata hili.

Niwashukuru wana ccm wote KWA KAZI kubwa waliofanya ya kupambana KWA ajili ya maslahi ya wananchi.

Mungu ibariki Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nawasilisha!!
 
Back
Top Bottom