tundu lissu

  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwa weledi na ujasiri alionao angekuwepo Tanzania angezitetea familia za ndugu waliouawa na polisi huko Serengeti na haki ingepatikana

    Tuache ushabiki. Lissu yupo vizuri kwenye masuala ya kisheria. Na ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu. Huko Nyamongo alishatetea sana walioporwa ardhi na kunyimwa haki zao na Mabeberu. Alishapambana sana kutetea raia wanaosadikiwa kufukiwa Bulyanhuru kupisha Mabeberu wapore mali zetu...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia fukuza waziri mambo ya ndani, naibu wake na Igp kwa mauji yaliyofanyika Serengeti.Fanya kama alivyofanya Nyerere

  3. Q

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa Serikali kumuomba radhi Tundu Lissu aliyeshauri mapema kuachana na madai ya Barrick

    Ripoti za Mruma na Osoro juu ya Barrick/Acacia kulimbikiza deni hadi kufikia Trln 425 zilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alizikosoa na kuziita ni “Professorial Rubbish Report”. Lissu alitoa ushauri wake kuwa kutokana na repoti hizo Barrick...
  4. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na CHADEMA endeleeni kulamba asali, msijifiche kwenye jina la Magufuli

    Baada ya kulipwa "pesa zao" na serikali ya Mama Samia awa viongozi wa Chadema wamekuwa kimya sana na zaidi wameingia kwenye maridhiano ambayo wafuasi wao hawajui wanaridhiana kitu gani. Inaonekana magwiji wa siasa nchi hii viongozi wa CCM wamewazidi ujanja kwenye discussion. Mbaya zaidi...
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chadema wanamfananisha Ruto na Tundu Lissu wakati Wakenya wenyewe wanadai Ruto ni Magufuli mwingine!

    Chadema walijipendekeza kwa Dr Ruto wakati wa kampeni wakijinasibu kwamba anafanana sana na Tundu Lissu. Lakini Wakenya wenyewe wanadai wamemchagua Ruto kwa sababu ni Mkweli tena ana hofu ya Mungu kama hayati Magufuli. Ufipa st sasa wamepigwa butwaa
  6. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Bado tunamsubiri Tundu Lissu na dereva wake ili kufanya uchunguzi

    Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka mitano imepita tangu Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu kushambuliwa, Jeshi la polisi limesema bado linaendelea kumsubiria mwanasiasa huyo na dereva wake. Lissu ambaye anaishi nchini Ubelgiji alishambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 Septemba 7, 2017...
  7. petercharlz255

    JamiiForums Tanzania SoC02 Njia mbili za kifikra kati jambo moja na maamuzi sahihi | siasa, ndoa, dini...

    Kupitia jukwaa hili nataka kuwafikishia elimu hii watumiaji wa jukwaa hili la jamii kuhusu NJIA MBILI ZA KIFIKRA KATIKA JAMBO MOJA NA MAAMUZI CHANYA. Kwa ufafanuzi zaidi ili kuleta maana harisi niliyotazamia katika jambo nalotaka kuzungumzia tuchukulie jambo hilo labda ni kosa katika sehemu...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video: Tathmini ya Tundu Lissu ya Uchaguzi mkuu Kenya Agost 9, 2022; Ausifu na kueleza aliyoyaona na ambayo hakuyaona yakifanywa na tume - IEBC

    Niseme nini hasa? Tundu Lissu ni miongoni mwa wanaharakati, wanasheria na wanasiasa brilliant wanaojua kuelezea jambo kwa lugha rahisi, iliyonyooka na kueleweka na yeyote... Ni wazi kuwa huyu jamaa kasoma kweli na ameelimika pia na anajua mambo mengi sana... Hapa anaeleza maoni na mtazamo...
  9. Prince mimi

    JamiiForums Tanzania John Mnyika is our next Man 2025

    Habari Wakuu! Ijapokuwa 2020 nilimpigia kura Tundu Lissu ila moyoni sikuwahi kuamini watu wa misimamo mikali like him wanaweza kumake as good President. Tundu Lissu mbali na CV ya uadilifu iliyotukuka, misimamo yake juu ya demokrasia pamoja na uzalendo wake usioweza kutiliwa shaka; ila bado...
  10. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akirudi mwaka huu kuanza harakati za kisiasa 2025, anashinda

    Lipo wazi kwa sasa hawa wapinzani wetu wapo kimya kizito sana, bila shaka Kuna ajenda na makubaliano waliwekeana maana haiwezekani wote kwa mkupuo wakae kimya kwanzia mwenyekiti, tundu lissu, God bless Lema, mnyika jj, na wengine vinara wa sauti za mpasuko achana na hawa watoto wadogo twaha na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Tundu Lissu kuandaliwa kuiondoa CCM 2025 madarakani?

    Habari wana Jf, kwa mara ya kwanza nimejikuta nasikitishwa sana na umasikini na ugumu wa maisha unaoendelea kuongezeka huku kukiwa hakuna suluhisho la kueleweka Kutoka CCM. Nimewaza sana na kujikuta naona Tundu Lissu ndiye anaonekana mtu pekee kwa sasa mwenye ushawishi na uwezo wa kuongoza...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hata kama Mbowe akiwa Mwenyekiti na Lissu Mkurugenzi wa NEC Mnyika awe IGP bado CHADEMA ya sasa haishindi uchaguzi

    Ukweli ni kwamba hali ya kisiasa ya sasa hapa nchini inakatisha tamaa sana. Ukisoma maandiko mengi humu ndani ya wenye mrengo wa upinzani, wanailaumu ccm kuwadhoofisha huku wakisahau kwamba hakuna chama siasa chenye jukumu la kuruhusu chama pinzani kisitawi. Ukiwa kama mpinzani unalazimika...
  13. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu nchi imetakasika rudi tuijenge pamoja. Unataka upigiwe magoti?

    Zamani nilijua ni kwa sababu za kiusalama lakini baada ya kuiona dhamira njema iliyopo awamu hii ya SITA, siioni sababu ya Tundu Lissu kuendelea kuzurula Ubelgiji. Ni utumwa wa kifikra kudhani kwamba kwa jirani yako ni bora kuliko kwako. Pamoja na sababu zote mimi nimeona nchi imetakasika...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Idadi ya wabunge wa kuchaguliwa iwiane na idadi ya raia wanaowakilisha

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Antipas Lissu akiangalia mgawanyo wa majimbo yenye watu wengi zaidi anagundua kuwa haiwakilishi na idadi inayostahili ya wabunge. Wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es Salaam Mwanzo Mfano mkoa wa Dar es Salaam ulitakiwa kuwa na wabunge wasiopungua 25. Lakini una...
  15. Etwege

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu tumia nguvu kubwa kutetea wafanyakazi

    Tundu Lissu mwanasheria nguli tunakuombea uachike huko Ubelgiji kwa Amsterdam urudi Tanzania utetee wafanyakazi wanaoteseka na mfumuko wa bei na uongezwaji hafifu wa mishahara yao. Ukiwatetea kwa juhudi kama ulivyokuwa unawatetea Acacia wakati wakiibia madini watanzania hakika utabarikiwa sana...
  16. Bikirajohola

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Katiba Mpya au upinzani mpya?

    Hii tabia ya wana siasa kusema uongo mfululizo ikiachwa iote mizizi bila kukemewa inaweza kuja kuleta maafa makubwa sana kwa taifa kwa kupandikiza chuki ndani ya jamii na kujikuta watanzania wazalendo wanawekwa pembeni na mafisadi ndiyo yanashika usukani wa kuongoza nchi yetu. Kwa kuzingatia...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya IGP Wambura, Lissu na wengine nawashauri futa wazo la kurudi nchini

    Anawalinda viongozi waishi vizuri, nyie ni wapinzani wa kukosoa serikali ambayo inaongozwa na "viongozi". Mkiwakosoa, mkawasema mmekufa. Safari hii Lissu hawatakosea kulenga. Kaeni uhamishomi, huku Moto umewaka! Siku ya Kwanza ofisini! Video ya alichokisema IGP Wambura
  18. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa tunampenda na Tundu Lissu tunampenda lakini 2015 & 2020 tuliamua kuchagua Maendeleo. CCM msituangushe!

    Hili jambo CCM wanapaswa wasilisahau wala kujisahaulisha Tulipowachagua hayati Magufuli na mama Samia tulichagua Maendeleo Hivyo jitihada zozote za mafisadi kulihujumu Taifa letu tusizikubali na tuzipige vita Mungu wa mbinguni anatuona mjue!
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua. Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin. Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tundu Lissu na Godbless Lema Kuhudhuria vikao vya Baraza Kuu la CHADEMA

    Kumeibuka dondoo kuwa Viongozi wa CHADEMA walio nje ya nchi Tundu Lissu na Godbless Lema wanatajwa kuwemo kwenye Vikao vya Baraza kuu la Chadema vitakavyofanyika 11/5/2022 Nchini Tanzania. Aidha, inadaiwa pia wawili hao mpaka sasa wanazo tiketi mikononi mwao kwa ajili ya kuanza safari za...
Back
Top Bottom