tundu lissu

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Join the Chain: Wananchi waanza kujaza kumbi, Lissu kuongoza watoa mada, mtikisiko mkubwa wasubiriwa

    Ukiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine, Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania, Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu kuundwa kwake. Wakati muda ukisubiriwa kwa hamu na wadau wa ndani na nje ya nchi hii hapa ndio hali...
  2. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA andaeni mapema mgombea wenu wa nafasi ya Rais wa JMT 2025 kwa sababu Tundu Lissu passport yake iliibwa. Msituletee mCCM kama 2015

    Ni ushauri tu kwa sababu CHADEMA wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu. Sasa Tundu Lisu ameshasema mapema kabisa kwamba hana pass ya kusafiria hivyo anzeni kujipanga. Mimi napendekeza 2025 CHADEMA imsimamishe MWAMBA mwenyewe Freeman Mbowe na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti yupo Mahabusu, Makamu Mwenyekiti anaugulia risasi 16, viongozi wakaunga juhudi mkono lakini bado chama kipo imara. MUNGU ana makusudi

    Chama cha CUF kimekufa bila mwenyekiti wala kiongozi wao kunyanyaswa waziwazi, walishughulika na matumbo ya viongoz chama kikafa. NCCR ilisambaratishwa bila viongozi kupitia magumu ya Chadema. ACT inajijenga kwa kujimomonyoa kwasababu Toka mwanzo ilianzishwa kupambana na Chama alichotoka...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kumuamimi Tundu Lissu? Kauli zake huwa zina mkanganyiko kila mara

    Mwaka 2020 Tundu Lissu baada ya kumaliza kupiga kura akiwa wilayani Ikungi mkoani Singida alisema kwa kinywa chake kuwa zoezi la uchaguzi limenda vizuri. Lakini baada ya matokeo kutoka Lissu alipaza sauti kuwa huu haukuwa uchaguzi bali wizi na uchafuzi. Na akaondoka nchini kwa escort akisaidiwa...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za Kisayansi kwanini Tundu Lissu alikuja Tanzania kugombea Urais mwaka 2020

    It was a part of his healing process. Alikuwa ana fanya therapy ya kuiponya nafsi Na akili yake Kwa trauma ya tukio la Septemba 7.(Eidha Kwa kujua au Kwa kutokujua) Kwa kutaja madudu yote ya serikali ya awamu ya Tano, kutamka hadharani Nani aliye toa amri ashambuliwe Kwa risasi, Lissu...
  6. chakii

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi. Kwa sasa wamepata taarifa kuwa gari iliyoonekana ni gari nyeupe aina ya Nissan. Naye mkuu wa mkoa wa Dodoma amesema polisi wameshaanza kufanya upelelezi kuhusu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na "Maslahi yangu kwanza"

    Na Mwal. Maziku, Singida Makamanda salaam! Waswahili wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. Kitendo cha kiongozi wa CHADEMA Ndugu Lissu kutanguliza maombi binafsi kwa Rais ni usaliti mkubwa usio kubarika. Kwa hakika mtu huyu hakustahili kupewa majukumu ya umakamu Mwenyekiti kwani...
  8. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumefuta kesi zote za Tundu Lissu, mimi na Lissu hatuna Ugomvi

    Kupitia mahojiano maalumu na DW Rais Samia amesema kwamba Serikali imefuta kesi zote za Tundu lissu zilizokuwa mahakamani hivyo kama tatizo ni kesi arudi Tanzania. Pia Rais Samia amesema yeye na Tundu lissu ni mtu na dada yake hawana ugomvi wowote binafsi ukiacha tofauti za vyama tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tundu Lissu ni mdogo wangu tu, mimi ni Rais na ni dada yake

    Binafsi na kwa Umri wangu huu sijawahi kuona Rais mnyenyekevu na mpole kama huyu (She is so simple ever). Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba na kuwasihi watanzania wote wanaopenda amani, utulivu na ustawi wa mtu mmoja mmoja tumuungeni mkono Rais wetu kwani ni hakika anatupenda sana kama Taifa...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kufuta kesi ya Mbowe sio kuingilia Uhuru wa Mahakama

    Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu anayeishi uhamishoni Ubelgiji ameeleza azma yake ya kurudi nchini Tanzania wakati wowote. Lissu alisema hayo katika mahojiano maalum na VOA baada ya kukutana na rais wa Tanzania Samia suluhu mjini Brussels Jumanne. Akizungumzia...
  11. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa habari picha tupeni mmegundua nini kwenye picha hizo?

    Hakika dunia ni mwalimu mzuri sana hapa ulimwenguni. Yule aliyejihisi amesimama kwa miguu yake kwenye mhimili mkuu leo hii yupo kwenye maficho. Wazee naomba mtupe utofauti wa hizo picha hapo chini.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tupate wapi tena Rais kama huyu?

    Tanzania tupate wapi tena Mtu kama huyu ambae Mungu yuko ndani yake? 1. Rais anayeweza kutunga sheria itakayowafanya Watanzania hasa wanyonge wasilundikwe magerezani kwa kusubiri Upelelezi wa kesi zao Ukamilike,Sasa itakuwa ni marufuku kupeleka mtuhumiwa magereza kama Upepelezi wa kesi yake...
  13. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Passport ya Tundu Lissu iliibwaje akiwa Ujerumani?

    Sijaelewa kabisa! Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani. Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa? Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe...
  14. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia Suluhu kukutana na Tundu Lissu. Watanzania hatutaki uadui unaosababishwa na wanasiasa wabinafsi wachache

    Nimefurahishwa na taarifa rasmi iliyotolewa na serikali kupitia Afisa habari wa kurugenzi ya mawasiliano Ikulu Bi. Zuhura Yunus, kwamba Mh. Rais wa JMT, Bi. Samia Suluhu Hassan akiwa ktk ziara ya kiserikali nchini Ubelgiji amekutana na Mwanasheria, mwanaharakati, mwanasiasa machachari na makamu...
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania Alichofanya Tundu Lissu, ndicho alichofanya Zitto Kabwe, kwa Rais Samia

    Wanaukumbi. Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai. Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia, amekutana na kufanya Mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Tundu Lissu. Ni baada ya Lissu kuomba kuonana naye. Walizungumzia mambo mbalimbali kuhusu ustawi wa Tanzania. Pia, soma 1). Makamu wa Rais, Samia...
  17. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Video: Tundu Lissu alisema ukweli mchungu sana kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar. CCM walimshambulia vibaya, lakini waliufyata kwa hoja zake

    Hii ni kutoka katika maktaba ya mjadala na michango ya wajumbe mbalimbali wa bunge la kupata katiba mpya mwaka 2012/2013 huko Dodoma. Bahati mbaya CCM walivuruga mchakato huo na hivyo kukwama na taifa kupata hasara mabilioni ya fedha zilizopotea bure bila kuleta matokeo... Katika bunge hilo la...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ufukuaji wa Machifu unavunja Katiba na Sheria. Samia akemewe

    Kupitia mtandao wa ClubHouse Mzalendo wa Kweli Tundu Lissu anahutubia na anaeleza kwa kina historia ya machif. Ameeleza chimbuko la machif wakati wa ukoloni na kufutwa kwake 1965. Anasema katika utawala wa Mwalimu Nyerere bunge la Tz chini ya Katibu Pius Msekwa lilitunga sheria kupiga marufuku...
  19. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania CCM wamjulia hali Joseph Haule (Profesa Jay) Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (Leo) Alkhamis, Februari 10, 2022 akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wamemjuilia hali aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro na msanii nguli wa kizazi kipya...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu atakutana na Rais Samia Suluhu Ubelgiji?

    Ni kawaida kwa Marais wa Tanzania kukutana na Watanzania wanaoishi kwenye nchi ambazo viongozi hao hufanya ziara za kiserikali, kwa mfano , Mama alipofika nchini Marekani alikutana na Watanzania wanaoishi huko, akiwemo Mwanaccm Mange Kimambi na kisha kubadilishana nao mawazo. Sasa uzuri wa...
Back
Top Bottom