Mkijifanya mna Akili Kubwa msisahau kuwa tuko Wengine wenye nazo hadi hatujui tumpunguzie nani.
Kwahiyo tulisubiri hadi Mwamba arejee rasmi leo ndipo tuutangaze huu Mkeka kisha tumpelekee Jirani Mtu ambaye walikuwa Marafiki na anayemjua ndani nje?
Siku zingine mtushirikishe na Sisi akina...
Licha ya kuwa nje ya Tanzania kwa miaka mitano na ushei, ushawishi wake katika siasa za upinzani bado ungalipo. Kwa lugha nyingine ni kusema; makovu yake ya kisiasa hayajaondosha mvuto wake wa kisiasa mbele ya wafuasi wa chama chake.
Tundu Lissu alisifika kwa ukosoaji dhidi ya serikali ya...
Nguli wa siasa nchini, bwana Tundu Antipas Lissu leo ameondoka Ubelgiji kurejea nchini. Wakati anaondoka ameonekana anaagana 'Kimahaba' na mwanamke wa kizungu uwanja wa ndege.
Je, haitamletea shida kisiasa ikizingatiwa anayo ndoa rasmi na Alice Magabe na kuzaa nae watoto wawili?
Nini...
Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe.
Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa chadema? Wamechokwa? Lissu kasahaulika?
Nilitegemea nikute maelfu ya watu nje ya uwanja...
Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumatano,
Katika Jiji hili kuu la Kibiashara la Dar es Salaam leo majira ya saa 7:35 mchana anatarajiwa kutua mwanamapinduzi wa kweli Tundu Antipas Lissu ambaye anarejea nchini mwake baada ya kulazimika kuwa uhamishoni kwa takriban miaka 6 kutokana na Jaribio la...
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Taarifa ya sasa iliyotolewa na Tundu Lissu mwenyewe inaonyesha kwamba Tayari Lissu yupo Uwanja wa Ndege wa Brussels kwa ajili ya kurejea nyumbani.
Amesema kwa mujibu wa ratiba ya safari ilivyo, asubuhi atakuwa amefika Addis Ababa, Ethiopia na kwamba baadaye...
Taarifa ikufikie kwamba Maandalizi ya Mapokezi kabambe ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yamekamilika, ambako wanachama wa CHADEMA na wapiga kura wake waliomchagua kwa kishindo 2020 kabla ya Sarakasi za Dr. Mahera, wametakiwa kujipanga kuanzia uwanja wa ndege hadi Temeke.
Habari...
Je, wale Maadui zake wapo au labda wameshakuwa Executed na waliopanga ile Mission dhidi yake?
Je, ana uhakika kuwa hakuna Mabaki ya Maadui zake waliomfanyia Tukio baya Dodoma yamebaki na kwamba huenda kwa Hasira walizonazo kwa Kumkosa basi Safari hii akirejea watahakikisha Wanamaliza Shughuli...
Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za kitaifa na kimataifa kwa muda mrefu sasa.
Taifa letu la Tanzania limekuwa na siasa za uonevu mkubwa wa haki za msingi kutoka kwa watawala kwenda kwa watawaliwa.
Aina hii ya uonevu unao tendeka hapa nchini unao sababishwa kwa asilimia kubwa na watawala ambao ni...
Fatma Karume amezungumza na Wakili TV na kufafanua mambo kadhaa ikiwemo kuhusu hali ya demokrasia nchini, siasa ya Tanzania na kurejea kwa Tundu Lissu. Huyu hapa anafafanua:
Nikiwa kama Rais mstaafu wa TLS nimefurahi sana kusikia Tundu Lissu anarudi Nchini Tanzania kwa sababu mazingira...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA , Tundu Lissu akielezea sababu zilizomfanya arudi nyumbani Tanzania baada ya miaka 5 akiishi ugenini. Hii ni hatua njema hususani katika kuimarisha demokrasia nchini, Rais Samia Suluhu Hassan wakati anaingia madarakani alisema matamanio yake ni kujenga nchi mmoja...
Kiukweli hili jambo linashangaza sana.
Linashangaza kwa sababu watu hawataki kujifunza. Bado kuna watu bila sababu yoyote ya msingi wanahendekeza chuki zao dhidi ya Lissu.
Lissu hana kosa lolote. Lissu hajawahi kushika madaraka makubwa ya nchi. Kwa hiyo kama kuna watu wana umaskini, njaa...
Ni swali tu ndugu zangu ambalo limekuwa likininitatanisha sana na leo nimeona nishiriki nanyi kulijadili.
Nimeona Tundu Lissu akiomba watu wakahudhurie mkutano wa hadhara uliotishwa na chama chake, ni jambo jema kama kiongozi wa kisiasa.
Pia, nimeona watu wakihimizana wakampokee Lissu akitua...
Kwa sasa vyama vya siasa vinatakiwa kuelekeza nguvu zao bungeni sio kung'ang'ania kwenda Ikulu. Huko hakufikiki kama hatujawekeza nguvu zetu kukamata majimbo, Tundu Lissu aachane na mambo ya urais kwa sasa aelekeze nguvu zake bungeni.
Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions).
Tunaamini huu pia...
Tukubaliane kwanza kuwa Utendaji wa Hayati Magufuli akiwa Waziri wa Miundo mbinu ambapo alitumikia Taifa kwa zaidi ya miongo mitatu ulitia fora. Angalau kwa hilo tulimpongeza sana.
Jambo la pili ambalo tunakubaliana sote kwa pamoja ni kuwa Mh Adv Tundu Lissu alitia fora ktk vipindi vyote vya...
Kujibu hoja za nguli wa siasa chokonozi nchini Tundu Antipas Lissu kunahitaji watu makini sana. Namshauri Sophia Mjema asitegemee Chawa bali atengeneze timu yake makini.
Tumekuwa likizo ya miaka 7 hivyo tutegemee mengi kutoka upinzani.
Tundu Lissu ni mwanasiasa anayerudi nchini Tanzania kula bata baada ya matakwa yake yote kutimizwa, utakuta kuna mtu anamsubiri Tundu Lissu akiamini ni mpinzani, la hasha, Tundu Lissu anarudi nchini Tanzania baada ya yale yote aliyoyapigania katika harakati zake kutimizwa na Hayati Rais...
Katika pitapita zangu kwenye Social Media nimekutana na "screenshot" inayoonyesha chats za Askari Police (baadhi).
Huenda huu ndio mtazamo wa jumla wa Hawa jamaa wa Form Four.
Habari JF,
Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT Wazalendo ya Zitto ni wapinzani? Au CUF ya Lipumba ni wapinzani?
Ukweli ni kwamba tumebakiwa na wapinzani wachache kama kina Mbatia, Heche, Lema, Tundu Lissu etc, na katika hawa Tundu Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.