tundu lissu

  1. Leak

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais ni mtumishi wetu tunapaswa kumkemea, kumkosoa na kumsema. Lazima tushughulike nae kisiasa

    Lissu anasema Rais ni kiongozi wa kisiasa na kama ni kiongozi wa kisiasa, tunapsawa kushughulika nae kama kiongozi wa kisiasa anasema Rais anapaswa kusemwa, kuonywa, kukaripiwa. Anasema kauli aliyoitoa haina tatizo kidogo na anasema kwa nchi yenye sheria na katika hajawai kusikia au kuona...
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apuuza wito wa DCI Kingai, asema hatoenda ofisini kwake

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasili nchini leo Julai 26, 2023 kutoka Ulaya. Akihojiwa juu ya kuitikia wito wa DCI Kingai unaomtaka afike ofisini kwa mahojiano, Lissu ametoa kauli inayoashiria kuwa hatakwenda. “Kwenda (kwa DCI) kufanya nini? Unapoitwa na Polisi mahali popote...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hata Tundu Lissu hawezi shinda kesi ya Bil 260 ICSID. Wanaohusika na kuingia mikataba mibovu wanyongwe

    Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda. Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu. Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Umeelewaje Katuni hii ya King Kinya aliyomchora mtu anayefanana na Tundu Lissu

    Gazeti la Mwananchi limechapisha katuni hii iliyochorwa na mchoraji wake King Kinya ikimuonyesha Mtu anayefanana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiwa na taswira kama ya kulalama huku ameshika kitu kama matope au kinyesi hivi na mengine yakiwa usoni mwake...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwenye spotlight: Unaikumbuka kesi ya Rais Magufuli? Clip yake haitaji "Rais Samia". Inataja "Rais" na "mama" tu

    Ukisikiliza ile clip inayodaiwa na Nape kuwa Tundu Lissu kamtukana Rais na ghafla kwa kufikiri ni kosa, DCI Kingai kamwita Tundu Lissu ili amhoji na bila shaka ikiwezekana afungulie mashitaka, basi utagundua mambo kadhaa kuonesha kuwa walioindaa wana akili sana na kina Nape na Kingai bila...
  6. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: DCI Kingai kaniandikia barua ya wito wa kuripoti ofisini kwake. Nipo nje ya nchi, wiki ijayo narudi kumkabili

    Baada ya mawakili Mwabukusi, Madeleka & Ruge Nshala, sasa ni zamu yangu. Leo DCI Kingai ametuma watu kuleta barua ya kuripoti ofisini kwake. Wamerudi nayo baada ya kujulishwa niko nje ya nchi. Nitarudi wiki ijayo kuwakabili. Madalali wa bandari zetu wasitutishe! Rais anayesaini mikataba ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Awamu ya tano kulikuwa na Tundu Lissu Mmoja, awamu hii kuna akina Tundu Lissu 1000

    It is trending now. Idadi ya akina Tundu Lissu wanaozidi kuibuka kila pande ya Nchi inaongezeka kwa kasi ndani ya Muda mfupi. Kumbe awamu ya tano haikuwapunguza bali wamezidi kuota mapembe. Sulihisho sio kuwatisha bali kuweka mazingira bora ya utawala wa sheria, demokrasia na haki. Mdogo...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tukichelewa kuvunja Mkataba na Dubai fedha zote zitachukuliwa

    Makamu huyo Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kama Mkataba huo utavunjwa sasa kutakuwa na Kesi lakini haitaligharimu Taifa fedha nyingi japokuwa kutakuwa na mikwaruzo Amesema jambo lifanyike wakati huu ambao Muwekezaji hajaleta Vifaa vyake na hivyo hatodai fidia kubwa kuliko Serikali ikisubiri...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Magufuli alitufanyia mambo mabaya lakini hakufanya biashara na Rasilimali za Nchi

    Lissu alipokuwa katika mkutano wa hadhara Kisarawe jana 9/7/2023 alisema, Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya, aliongoza nchi kama mali yake binafsi, lakini asisingiziwe kwenye kufanya biashara na Raslimali za nchi yetu kama alivyofanya Mwinyi, Mkapa au Kikwete, na kwamba aliwavuruga...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe Aungana na Tundu Lissu: Ni Kuhusu Tanganyika na Zanzibar. Afafanua kwa mapana

  11. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuondoka Hayati Magufuli tumebakiwa na Tundu Lissu, vijana tujifunze uzalendo

    Habari jJF, Tundu Lissu na Hayati JPM wana sifa kuu mbili:- 1. Ni watu wenye misimamo 2. Wote hayati Magufuli na Tundu lissu ni wafia Nchi . Kwa maana rahisi hawa watu wawili ni alama ya Uzalendo vijana tuna kitu cha kujifunza hapa. Tukitengeneza kizazi kizalendo tutapata suluhu ya mambo...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Wananchi wanamuelewa, Kariakoo imekuwa mfano mwingine

    Ukitazama jinsi wafanyabiashara wa Kariakoo walivyotulia na kumsikiliza Tundu Lissu haraka haraka unaweza kudhani Wafanya biashara walikuwa Chini ya Mamlaka kubwa. Umati wa watu wametulia na kusikiliza Makamu Mwenyekiti Chadema Taifa Mh Tundu Lissu aki address wafanya biashara kariakoo. Huu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Lissu: Mkataba na DP World Rais Samia ametukosea sana!

    Huu ndiyo ulio ukweli: "Hatupoi!" Alipo sasa Rais Samia anayo namna moja pekee: "Kuufuta tu, mkataba huu ambao ni wa hovyo mno, usiorekebishika!"
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia na kujiridhisha kwamba SUKUMA GANG twende na Tundu Lissu hakika 2025 tunachukua dola

    Habari, Binafsi nlikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la Kushambuliwa Tundu lissu. Alichokifanya Tundu lissu katika mazingumzo haya hapa chini kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni...
  15. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya hizi kauli za Tundu Lissu na Rostam Aziz juu ya Hayati Magufuli?

    Habari JF, Leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM. 1. Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya hovyo hausiki sana kwa kuwa alikuwa hapendi wageni kukamata mali za Nchi hii. 2. Rostam Aziz yeye...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa bandari: Tundu Lissu asema una "utukufu wa kikatiba". Kuhusu bandari, mkataba huu ndiyo sheria! Afafanua namna unavyoweza kuvunjwa

    Ni kwenye PC yake ya juzi kwa vyombo vya habari alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari.. Wasio na bundle, hizi hapa 👇👇👇ni baadhi ya quotes za kauli zake • "Haya makubaliano ndiyo mkataba. Kwa jinsi mkataba huu ulivyo haurekebishiki na ukabaki", Tundu Lissu • "Kwa jinsi mkataba huu...
  17. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia na Mbarawa wameiuza Tanganyika yetu kwa Waarabu

    Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya... Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO. Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
  18. Per Diem

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tumeuzwa na Rais Samia. Mkataba wa DP WORLD na Serikali ni Mkataba wa ovyo

    Nimemsikiliza Lissu vizuri, anasema tumeuzwa na Raisi, kazi iendelee. Nilikuwa mmoja wa watu ambao nilimpinga Lissu kipindi kile kwenye yale mambo ya makinikia. Mwisho Lissu ameibuka mshindi Hili la leo mnaweza kumpinga tena, lakini akaibuka mshindi. Kwa historia yake ya nyuma kwenye masuala...
  19. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anasema hajaona palipoandikwa miaka 100, Muulizeni mkataba usiovunjika baada ya kusainiwa maana yake nini?

    TUNDU LISSU ANASEMA HAJAONA PALIPOANDIKWA MIAKA 100,SASA MUULIZENI MKATABA USIOVUNJIKA BAADA YA KUSAINIWA MAANA YAKE NINI? Swali ambalo limeulizwa sana mkataba huu ni wa muda gani? Wapi palipoandikwa miaka 100? Au wapi palipoandikwa miezi 12 ambayo TPA wamesema? Jibu lipo kwenye kufungu cha...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Video: CCM imeishiwa vichwa vyenye akili bila shaka. Hivi watu wa dizaini hii ndiyo mnawapanga kujibu hoja za mtu kama Tundu Lissu kweli?

    Bila shaka hii ndiyo product ya Dodoma University faculty ya political Science. Mtazameni na msikilizeni mwana CCM tegemewa akijibu hoja za CHADEMA hususani Tundu Lissu.
Back
Top Bottom