tundu lissu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Tundu Lissu Februari 5, 2023 ina viwango vya kimataifa, ina Takwimu na Facts - haina Propaganda!

    Mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa hotuba za Tundu Lisu, Dr Slaa, Zitto Kabwe, Freeman Mbowe na Komredi Kinana kwa zaidi ya miaka 10 sasa Kiukweli Uhutubiaji wa Tundu Lisu leo umekuwa wa viwango vya juu sana Amekuja.na facts na Takwimu pia katuachia rejea Kwa mfano issue ya Kura amesema...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wakati debe la Mahindi ya msaada ni Tsh. 15,900 Serikali imenunua magari ya Mawaziri kwa Tsh 563 bilioni

    Tundu Lisu amesema Katiba ya JMT inafanya kuwa nusu mungu yaani Alfa na Omega. Lissu anasema kwa madaraka makubwa ya Rais ndio anapanga Matumizi Yote ya Serikali na hata Mei mosi Wafanyakazi huitumia kumuomba awaongeze mishahara. Kwa mfano Ikungi debe la Mahindi ni tsh 15,900 lakini Serikal...
  3. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Chawa wa CCM wanaitangaza ziara ya Tundu Lissu badala ya Katibu Mkuu wa CCM

    Chawa wa Lumumba wako busy kutuhabarisha Ziara ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema badala ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM hakika inafurahisha sana. PIGENI KAZI MACHAWA kwa Taarifa zaidi kwa kila Tukio. CHADEMA inawapongeza sana kwa hatua hiyo ya Kutangaza ZIARA za Viingozi Wake na kuacha KUTANGAZA...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ikungi ni Kijani kila kona miaka 46 ya CCM yaelekea Watu wamewapuuza CHADEMA na Tundu Lissu!

    Taarifa na picha kutoka Ikungi zinaonyesha mabango na Bendera za CCM ndio zimesheheni huku zile za Chadema zikionekana kwa kificho hapa na pale Tusubiri baada ya misa ya pili mkutano gani utakula nyomi Dominica njema!
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Jeshi la Polisi linaendeshwa Kikoloni ndio maana wanafikiria kupiga na kuonea watu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema muundo wa jeshi la polisi unapaswa ufumuliwe na sheria ya kuanzishwa kwake irekebishwe ili lilinde raia na haki zao. Lissu alitoa kauli hiyo juzi nyumbani kwake Tegeta, jijini Dar es Salaam, katika mahojiano maalumu na Mwananchi, ambapo alisema...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni vyema na busara kama huna uhakika Waliokushambulia ni akina nani basi Unyamaze tu

    Huko nyuma ulianza kwa Kuwatuhumu Watu wa TISS ukatuchanganya. Katikati tena ukaja kusema Ulishambuliwa na Askari wa Kukodi wa Rwanda. Hukuchelewa miaka kadhaa nyuma ukiwa Ulaya ulikokaribishwa ukawatuhumu Police Tanzania. Haya jana sijui leo nimeona Umewatuhumu Wanajeshi kwa lililokutokea...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

    Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni; "Wale...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Tundu Lissu kuhusu kuoa Mzungu na kwanini hayupo na mkewe

    Majibu ya Tundu Lissu kuhusu kuoa Mzungu na kwa nini hayupo na mkewe wakati akihojiwa na Clouds TV, leo Februari 3, 2023
  9. M

    JamiiForums Tanzania Asali tamu iliyomtosha Freeman Mbowe sasa anaanza kupewa Tundu Lissu

    "Rais Samia Suluhu Hassan ananiita mdogo wangu mpaka leo. Hata alipokuja Ubelgiji mwaka jana aliwaambia wale wapambe wake 'mmemuona mdogo wangu?" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. ..................................................................................  CCM Kila la Kheri...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia anatakiwa kusaidiwa kwa kuambiwa ukweli na siyo kwa kuwa machawa

    Lissu ameyasema hayo alipoulizwa kwenye kipindi cha Clouds 360 anamuelezeaje Samia kama Rais, ambapo Lissu amesame Samia ana uelekeo mzuri ila anahitaji kusaidiwa. Namna ya kumsaidia ni kumwambia matatizo ya serikali yake na nchi yake, Rais anatakiwa kuambiwa ukweli, ila siyo kwa kuwa machawa...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ili mfumuko wa bei upungue Rais apunguze kodi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema mfumuko wa bei unaoendelea Nchini kwa bei ya vitu vingi kupanda ni wa Rais na kama akitaka upungue lazima apunguze kodi. Amesema “Ukipunguza kodi bidhaa zitapungua bei, ila sijasema ifutwe bali ipunguzwe, kwani ni lazima Serikali inununue VX...
  12. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hana wazo la kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Kama kuna watu walikuwa wanaomba mgongano wa kiuongozi ndani ya Chadema sasa wanywe panadol. Kuna wale maadui wa siasa za kishindani walikuwa wanatamani Mhe. Lissu autamani uenyekiti wa Chadema ili agombanie nafasi hiyo na Mhe. Mbowe Kuitakia Chadema migogoro ya ki uongozi ni sawa na kumeaga...
  13. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha ya Freeman Mbowe akiwa na Tundu Lissu ina chupa ya Konyagi

    Kumekuwepo na picha inayozunguka mitandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akizungumza na Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo yakiwa na picha yenye chupa ya konyagi. Picha inayodaiwa kuwa na chupa ya Konyagi Ukweli wa picha hii...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tundu Lissu apongeza Tume Mpya ya Haki Jinai, iliyoundwa na Rais Samia

    Kuna Taarifa zilizosambaa kwenye Mitandao ya Kijamii, zinazodai Tarehe 31 Januari 2023 wakati Tundu Lissu akifanya Mahojiano ya channel ya YouTube ya Jambo TV, kwamba alimpongeza Rais Samia kwa kuunda Tume mpya ya Kuchunguza Haki Jinai. Taarifa hizo ni Uzushi. Uzushi huo ulidai kuwa Tundu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina vs Tundu Lissu, nani ni Mzalendo wa kweli?

    Kule Bunge la JMT akisimamia mbunge wa Kisesa mh Mpina kila mtu anatega sikio kutaka kumsikiliza atakachoongea Na huku Uswahilini Tundu Lissu akisimama mkutanoni mfano Mwembeyanga daladala, bodaboda nk hupaki pembeni ili wamsikilize Ndio najiuliza wawili hawa ni wazalendo kweli kweli au ni...
  16. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Apongeza Tume Mpya ya Haki Jinai'

    Leo Katika Mahojiano ya Tundu Lissu na mwandishi wa Jambo Tv kiukweli nimefurahishwa Sana na majibu Tundu Lissu hii ni ishara Kabisa Tume ya Maliziano ya Kisiasa imefanya kazi yake. "IGP na Mapolisi wetu ni wazoefu katika Kuchambua na kupata taarifa hivyo kuundwa kwa Tume hiyo naamini tutapata...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atakubalika kwa Utetezi wa Wanyonge lakini hatavunja Rekodi ya Magufuli ya kupendwa na Wananchi

    Ni angalizo tu kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu kwamba wanamkubali kwa Kiasi anachofanya kutetea haki zao likiwamo hili la Mfumuko wa Bei yaani inflation. Atazidi kukubalika ila hatavunja Rekodi ya Kupendwa na Wananchi aliyonayo hata kufani yule Shujaa Magufuli. Tunaeleweshana...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Video: Tundu Lissu atolea ufafanuzi Haki Jinai, Tume ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    ..hii ni interview ya kwanza tangu atue nchini.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mzee Malecela amtukana Tundu Lissu na kutoa kauli za vitisho na shari dhidi ya mikutano ya CHADEMA

    Nisiongeze chochote. Fuatilia ktk video.
  20. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Hoja za Tundu Lissu zazua mjadala Bungeni. Ni hoja ya mfumuko wa bei na njaa

    Mimi ni mwana CCM, Linapokuja suala la uwezo wa Mtu na Akili kubwa huwa haki yake nampa mtu yeyote Kama ninavyowashangaa wanahisabati na wana sayansi kama Albert Einstein, Isaac Newton na Blaise Pascal waliwaza nini na kwanini Walifikiria hivyo ndivyo kwenye siasa za Tanzania na amsha amsha...
Back
Top Bottom