tundu lissu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kufikia 2025 hata Tundu Lissu ataanza kuhubiri mema ya Hayati Magufuli, Zitto Kabwe amefungua

    Hakuna mwanasiasa ataacha kumsifia Shujaa Magufuli wakati wa kuomba kura 2025. Siyo wa CCM wala Upinzani kura zimebebwa na Nyota ya Magufuli. Wale wajanja wameanza mapema na wataongezeka zaidi na zaidi. Yesu akawaambia wale wanafunzi kamwambieni Johnthebaptist kuwa Viwete wanatembea na Vipofu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kama Tundu Lissu anajisikia salama zaidi kukaa Ubelgiji akae tusimpangie hakuna mbadala wa Uhai

    Dunia ni kijiji kinachoendeshwa kwa teknolojia Tumwache Tundu Antipas Lisu aishi sehemu anayohisi yuko salama zaidi, Tusimpangie Ameshapitia magumu mengi ikiwemo kuchungulia kaburi Dominica njema
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lissu na wasaliti wenzake walikuwa wanakata mkono unaowalisha? Wapoteza mvuto baada ya Magufuli kuondoka

    Tundu Lissu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo akamdhalilisha mpaka amelala umauti hakuwahi kumuomba msamaha. Lakini cha kushangaza sana Sana kwa utu...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa CHADEMA kuendelea kuwekeza kwa Tundu Lissu ni kupoteza muda

    Siwafundishi kuhusu siasa ila ni bora kama chama kilichokuwa na kinachoishilia katika ushawishi wake kwa wananchi! Iko haja viongozi wandamizi kuketi ili kupiga hesabu za chama kinapashwa kiwe na mwelekeo upi! Ni ukweli kabisa na kila mwenye jicho la mwewe aliyeko Chadema! Hatazami akaona kama...
  5. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

    Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium. Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na Tundu Lissu kwa sababu Mbowe ni maarufu kuliko CHADEMA. Hata Magufuli na Maalim Seif walivizidi vyama vyao!

    Nakubaliana na Tundu Lissu kwamba yeye ndio mdogo kuliko Chadema na wanategemeana. Ila siyo kweli kwamba mtu hawezi kuwa maarufu kuliko Taasisi. Mifano ni mingi tu wapo akina Nyerere na Magufuli kule CCM. Maalim Seif kule ACT Wazalendo. Chama pale Simba SC. Mbowe hapo Chadema nk.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CCM niliachana nayo nilipojiunga chuo kikuu

    14 February 2023 TUNDU LISSU AIBUA MAPYA - ''VYUMA VIMEKAZA, CCM NILIACHANA NAYO NILIPOJIUNGA CHUO KIKUU GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ambaye amezungumza mengi juu ya muelekeo wa hali ya kisiasa nchini akigusia vyama vya siasa, katiba mpya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Msimamo wangu kuhusu vita vya Ukraine unafanana na msimamo wa Mwalimu Nyerere wakati wa vita vya Soviet Union na Czechoslovakia 1968

    Lambert alimuuliza Lissu swali la kushtukiza kuhusu msimamo wake kuhusiana na vita ya Drc na Ukraine kama angebahatika kuwa Raisi. Lissu alijibu kwa kifupi kuhusu Drc kwamba suluhisho ni kuunganisha nguvu za nchi majirani ili kupata amani nchini humo. Kuhusu vita vya Ukraine Lissu aliibua hoja...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aache kumsema vibaya Hayati Magufuli

    Ni muhimu sana tena sana kwa Tundu Lissu kuepuka kumsema vibaya Hayati John Magufuli katika mikutano yake. Ikumbukwe kuwa, pamoja na mapungufu machache aliyokuwa nayo kama ilivyo kwa binadamu yeyote, Hayati Magufuli ana watu wengi sana wanaomkubali mpaka sasa. Anakubalika sana kuliko hata...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo Area D, Dodoma. Na hili ndilo geti lililoachwa wazi na walinzi kutokomea siku Lissu aliposhambuliwa

    Hapo chini kuna video inayoonyesha makazi ya Area D. Hususan ni hilo geti na nyumba ya walinzi ambao tunaambiwa siku ya tukio hawakuonekana. Hakuna video yoyote nyingine inayoonyesha eneo hilo kama hii hapa chini.
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Sisi wastaafu tunalia na kikokotoo kipya!! Tukumbuke kwenye hoja zako 2023 ndo hii imefika

  12. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuhitaji gari lake aliloshambuliwa nalo hapa kuna mtego mkubwa na hesabu kali inachezwa

    Haya Majiniasi (Akili Kubwa) wa JamiiForums hebu njooni mtupe Ujiniasi wenu katika hili Sisi Mangumbaru (Akili Ndogo) kwani wenye Akili Kubwa wanadai katika hili kuna mahala Tundu Lissu Kawatega lakini pia kuna Hesabu Kali mno inachezwa hapa ambayo ikikosewa tu Mzanzibari atadharaulika na hatoamini.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na CHADEMA wamekata tamaa baada ya kukataliwa na Vijana

    Ndugu zangu watanzania, Tegemeo la chadema miaka yote ilikuwa Ni kwa kundi la vijana,Hakika na kwa hakika vijana wa nchi hii walitumika na kutumikishwa Sana na chadema,wazazi wengi Sana wamebaki wanalia machozi kila Siku baada ya watoto wao na vijana wao kufukuzwa vyuoni kwa sababu ya utovu wa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumsikia Tundu Lissu juu ya ukomo wa madaraka ni anasa kwa CHADEMA, imani juu ya upinzani imetoweka kabisa. CCM itawale milele

    Siku Daktari wa Sheria na Spika wa bunge Mhe.Tulia aliposema CCM haitoacha dola kamwe , kwa mara ya kwanza nilishtuka lakini baada ya kujiridhisha na hotuba nzima, nakiri kusema nukuu ya kipande hicho kinatumika kupotosha. Siku zote natumia kanuni ya Thomaso, kujiridhisha kwa kuona na baada ya...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sabaya siyo mkosaji wa kisiasa ni jambazi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alihojiwa na Dar 24 Media siku chache zilizopia. Akiwa katika mahojiano hayo Lissu amezungumza masuala mengi yanayohusu mwenendo wa kisiasa nchini. Aidha alipoulizwa kuhusu kumchukulia Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Hai, Lengai Ole Sabaya kama Mkosaji wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unda Tume kuchunguza kupigwa risasi Tundu Lissu

    Mama Samia, Rais wetu mpendwa, Unda Tume ya watalaam wetu wa ndani na nje kuchunguza kupigwa risasi kwa Tundu Lissu, kupotea kwa Saanane Pamoja na watu wengine. Kama nchi tunaonekana wa hovyo sana kuwa na serikali ambayo haiko tayari kujua kilichowapata raia wake. Tunafananishwa na Kenya ya...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

    Wanabodi Msingi Mkuu wa kazi ya uandishi wa habari ni ukweli, kuwa mkweli kuusema ukweli na kuandika ukweli!. Sisi waandishi wa habari wa zamani tulifundishwa na waalimu wazungu, mimi mpaka leo mpaka kesho nakumbuka kauli ya Mwalimu wangu mzungu pale TSJ, a Canadian, Patrick Walsh akitufundisha...
  18. USSR

    JamiiForums Tanzania Hoja za Lissu ni zilezile za tangu aje Tanzania kugombea Urais 2020

    Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana imani na Rais Samia

    Jana Tundu Lissu alielekea nyumbani kwao Singida huku akiwa na amani ya kutosha maana anajua Tanzania ni salama na Rais Samia Suluhu, hakuna tena watu wasiojulikana hili ni jambo kubwa sana Rais Samia Suluhu anatakiwa kutembea kifua mbele huku ajisifu maana amefanikiwa kujenga Tanzania mpya...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Baada ya uchaguzi nilitakiwa kushughulikiwa, amri ilisema wasikosee shabaha

    Kama mikutano ya hadhara ni fursa ya kufitinisha na kuchafua watu tunahaja ya kuangalia. Ila pia ni vizuri kuwapa fursa watu kutema sumu ====== Tundu Lissu amesema alirejea Tanzania mwaka 2020 kwa ajili ya uchaguzi na alilazimika kuondoka tena mwaka huo kwa sababu mtesi wake alitoa amri...
Back
Top Bottom