tundu lissu

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Mkimchagua Magufuli, ana lengo la kubadili Katiba kuondoa ukomo wa vipindi vya kutawala

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Chadema ndugu Tundu Lissu, amewaasa Wananchi wa Bagamoyo kuwa, Magufuli ana lengo la kubadili ukomo wa vipindi vya utawala na ndiyo maana hilo Suala lilizungumzwa bungeni na Spika Ndugai. Lissu akawaambia wananchi kuwa, Ndugai asingeweza yeye binafsi kulizungumza...
  2. JamiiForums Tanzania Kwako Tundu Lissu kuhusu suala la Lugha

    Mhe. Tundu Lissu nakusalimu. Wewe ni miongoni wa watanzania wanaotetea sana lugha ya Kingereza pengine pasipo kujua kuwa lugha ni uchumi na inafungamana na mielekeo, tamaduni na falsafa za watumiaji wa lugha hiyo (Prof Clara Momanyi Kenyatta University) Hivyo unapoendeleza lugha ya kigeni...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Vyombo vya Habari hapa nchini vimeripoti "press conference" aliyoifanya mgombea Urais kupitia Chadema, Tundu Lissu?

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA jana Jumatano alifanya "Press conference" na Vyombo vya Habari hapa nchini, akilalamikia kutomfanyia "coverage" yeye akiwa ni mgombea Urais toka chama kikuu cha upinzani hapa nchini, kwa alichokiita ni Hofu, Hofu, Hofu iliyowajaa waandishi wa habari, pamoja na...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

    Anaandika Lissu: Tofauti kati yangu mimi na wewe na Magufuli ni hii: Mimi nimepigania nchi yangu katika masuala haya tangu mwaka '99. Wakati huo tulikuwa na mgodi mmoja tu wa dhahabu, Resolute Golden Pride Nzega. Bulyanhulu ilikuwa haijajengwa. Geita ndio kwanza walikuwa wanafukuza wanakijiji...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Mfa maji haachi kutapatapa! CHADEMA maji shingoni

    Uchaguzi wa mwaka huu ulionyesha mapema kabisa kuwa CCM itashinda kwa urahisi sana. Hii ni kwa sababu kazi nzuri iliyofanyika ndani ya miaka minne ilikuwa ni kete tosha kwa CCM kutusua bila matatizo. Zimebaki siku 49 watanzania waende kupiga kura ili kuchagua wabunge, madiwani na rais wa JMT...
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kilochopelekea Tundu Lissu kwenda kwa haraka kumwaga sumu Zanzibar

    Ndugu watanzania wenzangu, Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiona siku ya leo. Kwa kifupi sana, nadhani baada ya Tundu Lissukuona trend ya kampeni za Mh. Magufuli: Dodoma, Tobora, Shinyanga, Simiyu, Mara, na baadaye mapokezi yake kule Mwanza, wanamwanza ndiyo walivunja rekondi...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

    Leo, Septemba 9, 2020 - mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu A. Lissu anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari. Haya ni baadhi ya aliyoyasema: ====== Waandishi mmekuwa mnogopa kuni-cover, nikizungumza mna switch off. Hofu! > Nazungumza na Vyombo vya Habari vya nje ya nchi kila...
  8. JamiiForums Tanzania Lissu ni kibaraka, anatumiwa na mabeberu wanaotaka kuiba rasilimali za Tanzania

    Augustino Chiwinga 0756810804. Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma. Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao pia mmjowapo ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu. Ukweli mchungu ni kwamba vita ya Uhuru wa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

    Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana. Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila...
  10. JamiiForums Tanzania VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

    Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua kwa ufasaha historia ya nchi anayoingoza na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais wa JMT ndugu Tundu Lissu. Ni wazi kuwa Bw. John Pombe Magufuli...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Magufuli, mtaondoaje mirundikano ya kesi mahakamani?

    Katika kipindi hiki cha kampeni nimesikia kila mgombea akinadi atakavyoboresha maeneo ya sekta kadhaa ya nchi yetu. Lakini sijasikia mgombea aliyeahidi kuboresha mahakama zetu na ziondokane na misongamano iliyopo kule. Nimeona uhuru wa mahakama ukiongelewa kwa juu juu. Nadhani wanasiasa wote...
  12. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

    Ndugu zangu, Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif. Muda unatoa majibu sasa.
  13. JamiiForums Tanzania VIDEO: Ni mpambano wa Tundu Lissu vs Polisi kuhusu Sheria. I love this guy more than enough!

    The guy is very unique. Kutojua nini amesema kwa siku moja kt kipindi hiki cha kampeni kunanipa taabu sana. Mwisho wa siku ktk fukua fukua yangu nikakutana na video hii. Ni somo la sheria kwa Polisi wetu wanaofanya kazi zao kwa mazoea tu badala ya kufuata Sheria. Huyu jamaa ni mtu anayekufanya...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Unajua ni kwanini Tundu Lissu anamshinda Dkt. Magufuli?

    Kuna wakati hua nafuatilia mijadala hasa kwa jamaa zangu wa CCM wanavyojigamba kwa sababu tu hawafikirii sawa sawa. Matumaini makubwa kwao kua CCM inaendelea kutawala kwa sababu wapiga kura wengi wako vijijini, wewee nani kakudanganya wapiga kura wengi wako vijijini? TWENDE NA HESABU HII...
  15. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mhe. Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti. Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 BAWACHA amkeni, uwezo wa kumfanya Tundu Lissu awe Rais wa Tanzania uko mikononi mwenu kwa sasa

    Hatari Wana JF, Baada ya takribani siku kumi za amshaamsha ya mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ndugu Tundu Lissu kuigongesha CCM na mgombea wake kwenye majukukwa ya kampeni, ni dhahiri kuwa Magufuli na CCM yake waweza kuwa chama cha upinzani kwa Mara ya Kwanza katika historia ya taifa...
  17. JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Wakuu, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi. Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma. Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea...
  18. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Ratiba ya kampeni visiwani Zanzibar - Sept 7, 2020

    Live : Shughuli nzima ya Kampeni ya Tundu Lissu leo Zanzibar Source : swahili villa Mapokezi ya Tundu Lissu alipowasili airport Zanzibar Updates: LISSU AKIZUNGUMZIA KUMUUNGA MKONO MAALIM SEIF UCHAGUZI WA ZANZIBAR Tundu Lissu : Uchaguzi huu ni muhimu kwa taifa la Zanzibar lazima maamuzi...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya: Tundu Lissu amshukuru Mungu kwa matendo makuu

  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

    Hii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kila mahali, kwamba leo yule Rais mtarajiwa wa awamu ya 6 ambaye ameteuliwa na Mungu mwenyewe baada ya kuzuia kifo chake atakuwa Mtwara katika kinachoitwa Uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi 2020 kanda ya kusini. Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba Shughuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…