Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakiingia madarakani watafuta sheria isiyotoa dhamana kwa makosa yote.
Amesema kwa kuwa mtuhumiwa sio kuwa na hatia ili usifungwe kabla ya kukutwa na hatia ni lazima waruhusu dhamana. Amesema hiyo...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera amesema hilo leo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi...
Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.
Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
Tundu Lissu is talk of the Town au kwa lugha yetu Tundu Lissu ndiye Habari ya Mjini kwa Sasa.
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ameteka nyoyo za Watanzania na ukweli kabisa bila kuongeza chumvi Tundu Lissu ndiye mgombea wa Urais mwenye mvuto kuliko mgombea mwingine yeyote katika...
Wakuu habari za Jumapili , kampeni ndio kwanza zimeshika kasi , na yule Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura za maoni Tundu Lissu atakuwa Mkoani Mara kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio .
Kama kawaida , endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika
=========
UPDATES 1...
Kukutane baada ya tarehe 28)10/2020 tutapata majibu hapa hapa kwa sababu naamini Tundu Lissu atakua Rais wa nchi hii ingawa atatangazwa kwa taabu sana.
Ushindi wake umedhihiri kila ninapopita mtaani wanasema ni aheri Lissu anaweza kuleta amani kwenye nyoyo zao, wanasema aheri Lisu atawaletea...
Wanachama wa JamiiForums nilipotea kidogo maana nilighafilika kuona nyuzi zangu zote kuhusu kumkampenia Tundu Lissu na kusema Magufuli hafai zimefutwa.
Leo nimekuja na maneno machache aliyoyasema Lissu akiwa na waandishi wa habari kwamba "kuna vitu havihitaji utoe pesa ili upate pesa bali...
Yule Mgombea wa Urais anayeongoza kura za maoni Mh Tundu Lissu leo tena anaendelea kukutana na wananchi kwa lengo la kuwaomba kura , ambapo leo atahutubia baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza na baadaye ataingia mkoani Mara
Kama kawaida yetu leo tena tutaendelea kuwaletea yote yanayojiri kote...
"Tofauti ya Mrema, Slaa na Lowassa ni 'organization' wakati wa nyuma hakukuwa na 'organization' ila sasa tunayo, tunaweza kuweka mawakala nchi nzima"- @TunduALissu
#“Kutakua na Uhuru kamili wa vyombo vya Habari, katiba yetu haina neno ISIPOKUA, kutakua na Uhuru wa maoni, kutakua na Uhuru wa...
Ni zamu ya Musoma leo.
Rais Mtarajiwa Tundu Lissu atatikisa viunga vya Musoma kwenye Mkutano wa Kampeni leo.
Ni Kama Musoma imesimama kwa ujio wa Shujaa huyu aliye gumzo Afrika na duniani kwa Sasa.
Lissu anayeungwa mkono na Makundi yote hususan wafanyabiashara na Wafanyakazi kote nchini...
Yale majimbo ambayo ccm wamejipa ushindi, wananchi October 28, 2020 nendeni mkampigie kura Tundu Lisu
Kwasababu ccm tayari wameshajipa ushindi, hawachaguliki
Kumbukeni wao watateuana na ndio utamaduni wao
Tundu Lisu anaomba kura zenu, msije ziharibu kwa kuwapigia ccm ambao wamesha shinda...
Ma-CCM, mabibi na mabwana.
Kumpongeza mgombea kwa kutambua jitihada zake binafsi za kupigania haki na uhuru kwa wananchi wa nchi hii, katika mazingira magumu ni jambo la kheri na lenye thawabu kubwa kwa mwenyezi Mungu.
Tundu Lissu kajitoa kupambana vilivyo. Pamoja vizingiti, kejeli, matusi na...
Nimekua nikikusikia kwenye kampeni zako ukiongea maneno mengi sana ya kuwadanganya na kuwalaghai watanzania kwamba utawaletea mabadiriko na maneno yako kamwe hayawezi kuwa na vitendo.
Sote tunajua kwamba kazi yako ya uwakili na uanasheria ndio iliyo kufunza kuongea maneno mengi ili usaidie...
Ndugu wapendwa salaam, leo wakati nawaza nani wa kumpigia kura, pamoja na kuona TAL anaweza kuongoza nikiwa na maana ya kusimamia katiba na Sheria za nchi kuongoza kama Rais jambo ambalo ni udhaifu wa mgombea wa CCM JPM , wakati udhaifu wa TAL ni kwamba tusitegemee maendeleo makubwa ya kiuchumi...
Nataka niseme kwamba tusijifanye kuziba masikio, Tundu Lissu kupigwa Risasi 16 na kuamka kisha kuendelea na shughuli zake huu ni muujiza tusiupuuze, siyo hali ya kawaida hii.
Nataka niwaambie wanaCCM wenzangu kama kuna mtu yupo ndani yetu alihusika na kupigwa na kuumizwa kwa Tundu Lissu huyu...
Na: George Kabadi
Nimekuwa miongoni mwa wafuatiliaji wazuri wa kampeni za mwaka huu 2020, Naomba kupigana moja kwa moja na hoja za watu wanaodai uchaguzi wa mwaka huu siyo mgumu kama ule wa mwaka 2015. Napigana nao kwa sababu kuu mbili.
MOSI, Uchaguzi wa 2015, Edward Lowassa alikuwa na watu...
Mkutano: Maelfu ya watu Wilayani Misungwi wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Tundu Lissu
Nitaweka link ili mumfuatilie live akiwa Misungwi muda huu.
Wakuu najaribu kuweka link inagoma ila mkutano upo live ndani ya Dar mpya online tv
Lissu anasema hivi
1. Wagombea wote wa Chadema ngazi ya...
Wakuu natanguliza salamu , kama mjuavyo kampeni za uchaguzi mkuu bado zinaendelea , sasa basi leo tena yule mgombea urais anayeongoza kura za maoni atakuwa Mkoa wa Mwanza kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio.
Endelea kufuatilia hapahapa JF kwa taarifa za uhakika
========...
Nini maana halisi ya Barua hii ya Chama cha ACT Wazalendo waliyomuandikia msajili wa Vyama vya Siasa kujibu Tuhuma dhidi yao.
Ni dhahiri kuwa ACT imekosa imani na mtu waliomsimamisha kuwania Kiti cha Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini Tanzania. Na hili linaweza kuwa funzo kwa baadhi...
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu amewaambia wana-Kagera wazi kuwa RAIS anayekula Rambirambi hafai kuwa Rais.
Mhe. Lissu alikuwa akiwakumbusha Wana Kagera alichowafanyia Rais Magufuli baada ya janga la tetemeko la Ardhi alipobadili matumizi ya Fedha za Rambirambi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.