tundu lissu

  1. Matope

    Mbeya: Magari yote ya Matangazo yatakiwa kusajiliwa upya kwanza kabla ya kutangaza chochote

    Kama mnavyotambua ujio wa Mh Lissu Mbeya ni alhamis hii kwa Jiji la Mbeya, Mamlaka imeziamuru gari zote za matangazo kufanya usajili upya kwanza kabla ya kutangaza matangazo na gari yeyote itakayobainika kufanya matangazo bila kuruhusiwa hatua kali zitachukuliwa ikiwemo kufutiwa kibali kabisa...
  2. S

    GE2020 Tundu Lissu kwenye mikutano yako ongelea suala la kurudisha Bunge Live, kurekebisha Makato ya Bodi ya Mikopo na suala zima la Mafao ya Wastaafu

    Kamanda Lissu; nakushauri,pamoja na mambo mengine, usisahau kuongelea mambo hayo matatu yanayogusa na kuumiza wananchi wengi wa nchi kama ulivyozungumzia suala la TRA na wafanyabiashara pamoja na swala la wafanyakazi kutoongezewa mishahara siku ya jana mkoani Morogoro. Awamu hii ya tano...
  3. Prof Koboko

    GE2020 Kwanini Tundu Lissu anaweza kuwa kiongozi mzuri wa Taifa?

    1. Anaijua sheria ataongoza taifa kwa misingi ya haki 2. Hana tamaa ya mali, hatokimbilia kujenga mahekalu kwa na kiwanja cha ndege cha kimataifa kijijini kwao Mahambe, hawezi, hawezi hubadili msitu wa Mahambe kua hifadhi ya wanyama. 3. Ni muelewa mzuri wa masuala ya kimataifa, atasaidia...
  4. G Sam

    Video: Maelfu ya watu wajitokeza Mikumi kumpungia mkono Tundu Lissu akielekea Iringa, msafara ulichelewa kufika Iringa kutokana na kusimamishwa njiani

    Lissu ni kipenzi cha kweli cha watanzania. Usisingizie kuwa umejenga miundombinu huku unakandamiza uhuru! Ni kosa kubwa mno!
  5. G Sam

    GE2020 Wakazi wa Iringa wajitokeza kumpokea Tundu Lissu

    Wape salaaam. Baba yupo Iringa anaipigania haki ya kweli. Upendo wa kweli kutoka moyoni, hawakuchoka kumsubiri
  6. Sky Eclat

    Mapokezi ya Tundu Lissu, mjini Morogoro leo

    Mikumi kata ya Ruaha
  7. R

    GE2020 Kama juma moja tu la Tundu Lissu kusimama jukwaani akitafuta wadhamini limewafanya CCM watafutane kwa kurunzi, siku 60 za kampeni itakuwaje?

    Kuanzia Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli, mwenezi Polepole na makada wengine ni kama vile wamepigwa ganzi! Maendeleo waliyohubiri kuyafanya kwa miaka mitano yameyeyuka mithili ya theluji kwenye joto la jua! Stigler's, flyover, ndege na SGR zimewekwa kwenye mizani ya uhalisia wa maendeleo ya...
  8. Masinki

    GE2020 CHADEMA mmekosea sana kumpitisha Tundu Lissu kuwa Mgombea Urais

    Ni makosa ambayo wanayafanya Kwa mara ya Pili ndani ya vipindi muhimu vya Uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka 2015 walikosea na hii tena wamekosea. Moja ya advantage kubwa ya Chama cha Mapinduzi wakiacha pressure na mihemuko Kwa kipindi hiki ni kama hawana Mpinzani katika nafasi ya Uraisi, Tundu Lissu...
  9. James Martin

    Ukimuacha Tundu Lissu, hivi kuna Mtanzania mwingine ameshawahi kuhudhuria kipindi cha HardTalk?

    Tundu Lissu ni mtu mmoja anayejua kujenga hoja sana. Amethibitisha kwamba yeye si mahiri ndani ya nchi tu, bali pia kwenye majukwaa ya kimataifa ambayo yanatisha kwa mtu asiye na uzoefu. Tofauti na "waandishi" wa habari wa Tanzania ambao hawajui hata kuuliza maswali magumu, waandishi wa habari...
  10. Nyani Ngabu

    GE2020 Tundu Lissu anajitutumua kuitumia Corona kisiasa lakini wapi!

    Leo akiwa huko Muheza ‘kwenye kampeni zake za urais’, Tundu Lissu kazungumzia tena suala la Corona. Japo kalizungumzia kidogo tu, lakini kaligusia kwa kumkosoa tena Rais Magufuli na jinsi alivyoamua kukabiliana nayo. Kamkosoa Magufuli kwa kuwaambia watu wasivae barakoa, ‘kwanza zinafanana na...
  11. Chief Kabikula

    Waliovamia Msafara Wa Mgombea Urais Wa Chadema Tundu Lissu Wilaya Ya Hai Hawa Hapa

    Wadau wavamizi wa msafara wa Tundu Lissu wilayani hai siku za hivi karibuni wametambulika Ni hawa Hapa , walivamia mpaka magari.
  12. G Sam

    GE2020 Same Magharibi: Tundu Lissu apata wadhamini 6893

    Mbowe akiwasili Same magharibi mapema leo. Tundu Lissu akiwa jimboni Same magharibi amepata wadhamini 6893. Safari inaendelea. Ninachukua helicopter chap kuwahi uwanja wa UHURU kuleta updates maana maccm ya humu ni kama yamesusa kutuonyesha zile nyimbo za Samia mama lao!
  13. M

    Tundu Lissu na fimbo yake kama Musa kwa Farao

    Katika siasa huwa kuna symbolism au utambulisho wa kisiasa na kimamlaka. Ukisoma maandiko utakutana na nabii mkubwa kabisa wa wana wa Israel Musa akiwa na fimbo yake ambayo kama tunavyofahamu ilitumika kupitishia miujiza mikubwa kabisa ya Mwenyezi Mungu. Hapa kwetu Tundu Lissu na yeye...
  14. G Sam

    Tundu Lissu akitoa heshima kwenye kaburi la marehemu mzee Ndesamburo

    Baada ya sekeseke la jana hatimaye leo mapambano yanaendelea. Lissu amepita hapa kumpa salamu mzee wetu marehemu Ndesburo, mahali ambapo amelazwa makazi yake ya kudumu.
  15. chakii

    GE2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

    Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...
  16. S

    Tundu Lissu alionya kuwa mwaka huu issue si uchaguzi huru na wa haki kwani hilo halipo, bali ni kama tutaendelea kuwa hai na salama baada ya uchaguzi

    Siku moja au mbili kabila ya kurejea nchini,Lissu alihojiwa na chombo kimoja cha habari kuhusu swala zima la uchaguzi na iwapo uchaguzi itakuwa huru na wa haki. Nakumbuka Lissu alijibu kwa kusema:Issue sio uchaguzi huru na wa haki, kwani hilo halitaraji, bali issue ni je,tutaendelea na maisha...
  17. Erythrocyte

    CHADEMA Mbeya yaandaa usafiri wa Mabasi kwenda Dodoma kumsindikiza Tundu Lissu kurejesha fomu NEC

    Taarifa zinadokeza kwamba hii ndio sababu halisi ya Mamluki wa ccm ambao ni polisi Mkoani Mbeya kumkamata Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi mithili ya Jambazi Sugu na kumzuia kuchukua fomu
  18. beth

    Mahakama yamwamuru Lissu kufika mahakamani

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemwamuru kufika mahakamani mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na wenzake watatu, wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi, Septemba 14, mwaka huu, baada ya jana kushindwa kufika kusikiliza kesi yake. Amri hiyo ilitolewa jana na mahakama hiyo...
  19. M

    Yaliyojiri: Mapokezi ya Tundu Lissu Jijini Arusha - Ijumaa 14 Agosti, 2020

    Ni Ijumaa tulivu. Kama kawaida jiji la Arusha Kuna ubaridi asubuhi hii.Jiji likiwa katika hekaheka tangu Jana za Maandalizi ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu. Kanda ya Kaskazini hususan Jiji la Arusha ni ngome Kuu ya Chadema na akitoa salaam za kunikaribisha jijini humo...
  20. Nyani Ngabu

    Tundu Lissu akiwa Ikungulyabashashi

    Dah! Leo Mheshimiwa Lissu alikuwa nyumbani kabisa. Ningekuwepo town ningemkaribisha Matobholwa pale nyumbani. Ila hawa Wanyantuzu sidhani hata kama walikuwa wanamwelewa Lissu maana Kiswahili hawajuagi! Hapo naona walikuwa wanaitikia tu.
Back
Top Bottom