Tundu Lissu azungumzia tena ushoga. Nakubaliana naye!

Status
Not open for further replies.
Hoja sio kuingilia faragha za watu, hoja ni nini Maana ya faragha hiyo,

Kwani Katiba ilipotaja haitashughurikia faragha za watu Wala kuingilia hizo faragha, hizo faragha zilibainiahwa kuwa ni faragha za Aina gani,

Kama hazikutajwa Katiba yetu inamapungufu ktk Hilo lkn pia anayetaka kutuaminisha kuwa hiyo ipo kikatiba na Wakati huohuo hakuna mchanganuo huo, yeye tutamwita ni mmoja wa kutetea hiyo faragha isiyo FAA, Kwa nini aivalie njuga ikiwa haikatolewa ufafanuzi pahala popote kwamba Nayo ni faragha hata kama ni faragha

Maana pia hata faragha za kijambazi zipo tu, nazo tutazisemeaje?
Faragha za kijambazi ndo nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom