tundu lissu

  1. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Kesi tano zinazomsubiri Mahakamani Tundu Lissu

    Dar es Salaam. Wakati aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akidai yupo ubalozi wa Ujerumani, ameomba kupatiwa hifadhi ya kisasa kwa maelezo ya kuwa ametishiwa maisha. Kauli hiyo imekuja wakati Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi, ikitoa hati ya...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Jeshi la Polisi halichukui hatua kwa madai mazito aliyotoa Tundu Lissu ya kutishiwa kuuawa?

    Tumesikia madai mazito aliyotoa Makamu Mwenyekiti wa Chadema na aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Tundu Lissu ya kutishiwa kuuawa, hadi ikamlazimu kukimbilia ubalozi Wa Ujerumani na kuomba hifadhi Ameendelea kudai kuwa alipigiwa simu na watu wawili siku ya Jumamosi ya tarehe 31/10/2020 na...
  3. tramadol

    JamiiForums Tanzania Lissu: Naishi kwenye makazi ya balozi(Ujerumani) kwa sababu maisha yangu hayako salama, nitarejea Ubelgiji

    Tundu Lissu akihojiwa na redio Ujerumani DW anasema amepata simu za kutishiwa amani na ameamua kujificha kwenye makazi ya Balozi wa Ujerumani Anasema maisha yake yako hatarini na anajipanga kuondoka na kurudi Ubeligiji Tundu ni mwanasheria na very treak man tujihadhari naye sana =========...
  4. afsa

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Tundu Lissu aomba hifadhi Ubalozi wa Ujerumani baada ya vitisho vya uhai wake

    AMEANDIKA: BABA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA. USALAMA WA MAISHA YA LISSU UKO HATARINI, AKIMBILIA KUPATA HIFADHI KATIKA UBALOZI WA UJERUMANI JIJINI DAR ES SALAAM! Jana tarehe 5 Novemba 2020 nilizungumza na aliyekuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha...
  5. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Tumeumia, lakini chonde chonde tusiandamane...

    Hatimaye uchaguzi mkuu wa 2020 umekamilika na kutuletea matokeo ya kushangaza. Sio siri kuwa uchaguzi haukuwa huru, haukuwa wa haki wala haukuwa wa wazi. Ushahidi wa uhalifu uliofanywa dhidi ya Demokrasia ulikuwa mwingi na kila mahali. Hakika, watu wengi wameumizwa kwa yaliyofanyika. Baada ya...
  6. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

    UPDATES: 05:55 Asubuhi: Viongozi wa vyama vya ACT na CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Zitto Kabwe wanaingia kwenye ukumbi ambapo watafanya mkutano na waandishi wa habari. MNYIKA: Viongozi wakuu wa vyama vyetu tumekuwa kwenye vikao vya mashauriano na vimeendelea leo asubuhi...
  7. Jelavic

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kwenye kampeni zako ulimkumbusha Rais Magufuli juu ya ahadi yake aliyoitoa Singida kuitekeleza kabla ya 2020, amekusikia ametekeleza

    Kama tunavojua Rais wetu mpendwa ni Rais msikivu na mchapakazi, kila alichoahidi anajitahidi kukitekeleza, aliahidi kufikia 2020 Upinzani utakuwa umekwisha Tanzania, watu wengi hawakuelewa atatumia njia gani, wengine walivyoona watu wanahudhuria mikutano ya kampeni ya upinzani walibeza kuwa...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ukimzidi mshindani wako kwa 90%, kutakuwa na sababu mbili za wewe kushinda...

    Ukimzidi mshindani wako kwa asilimia 90% kutakua na sababu kubwa mbili za wewe kuupata ushindi huo. 1. Uwezo wa mshindani wako katika mnachoshindania ulikua duni sana. Hili hata walimu huwa wanajitahidi kutunga mitihani yao kutokana na uwezo wa wengi darasani. Nusu ya darasa wakipata 90%...
  9. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu A.M. Lissu: Mgombea Urais wa upinzani machachari zaidi kuwahi kutokea katika chaguzi zote chini ya mfumo wa vyama vingi kurudi 1992

    Tangu kuanza mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 na uchaguzi mkuu wa kwanza wa mwaka 1995, Tanzania haijawahi kushuhudia na kupata mgombea wa upinzani machachari na mwenye ufahamu wa hali ya juu wa mambo mbalinbali kitaifa na kimataifa katika nyanja za elimu, siasa, historia, sheria, uchumi nk kama...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni shujaa

    Pamoja na yote yaliyomkuta, Tundu Lissu hakuogopa kurudi nyumbani na tena sio kurudu tu bali kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na aliporudi hakukaa kimya amezungumza ukweli wote wa mambo bila chembe ya uoga. Hata baada ya hila za kila aina dhidi yake na wagombea wa CHADEMA...
  12. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania Video: Hatimaye chopa ya Tundu Lissu yatua salama Dar

    TCAA wamezuia chopper ya Tundu Lissu kuruka kutoka KIA kwenda Dar kwenye mkutano wa kufunga kampeni kwa madai ya hali mbaya ya hewa. Baada ya kusota zaidi ya masaa matano pale KIA hatimaye Lissu akaamua waruke kwa lazima bila kibali cha TCAA. Alikuwa tayari kwa lolote hata kama ni chopper yao...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship

    Wanabodi, Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri, Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all times, Mkuu Mzee Mwanakijiji, ametoa ushauri huu kwa Chadema, naomba msikilize Kwa faida ya...
  14. mulwanaka

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

    ANAANDIKA MH.TUNDU LISSU ------- Waheshimiwa viongozi salaam. Mimi na timu yangu ya kampeni tuko Kilimanjaro International Airport tangu saa nne asubuhi. Tulikuja kuweka mafuta kwenye chopper yetu ili tuweze kwenda Dar kwa ajili ya mkutano wetu wa kufunga kampeni unaotakiwa kuanzia Kawe saa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais wa Tanzania kwa angalau 70% , Hitimisho la kampeni hizi linafanyika Jijini Dar es salaam kwenye...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani hamkujiandaa vyema; mkishindwa msilete nongwa

    Nawasalimu wanajukwaa, Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwa minyukano ya hoja humu jukwaani kwa ustaarabu wa hali ya juu, hii inaonesha jukwaa bado lina watu makini sana. Nikirudi kwenye mada yangu,ni ukweli usiopingika kuwa wapinzani hamkujipanga vyema kwa ajili ya uchaguzi yanayotokea ACT ni...
  17. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja binafsi: Dkt. Magufuli anastahili kupewa miaka mingine 5

    Naamini kuwa Rais Magufuli anastahili kupewa nafasi nyingine ya kuliongoza Taifa letu kwa miaka mingine mitano. Hoja zinazotolewa bado hazijatosha kuwafanya Watanzania wengi kutokumuunga mkono. Ushindi wake utakaribia asilimia 80... Lissu atapigiwa kura na watu wengi vilevile lakini ana kazi...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu unayeota kuwa Rais wa Tanzania yetu hii, umeusikia na kuuelewa huu ujumbe?

    Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe Mtamwega Mgaiwa amewataka wagombea wenzake wa kiti cha Urais kutokuwa na asilimia mia ya kushinda kwani wananchi ndio wenye uamuzi wa mwisho siku ya kupiga kura hivyo kila mmoja akubali matokeo atakayoyapata kuepusha ghasia baada ya...
  19. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania NEC: Jina la Tundu Lissu liko mwisho wa karatasi ya kupiga kura kwasababu alirejesha fomu akiwa wa mwisho

    Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

    Ikiwa leo ni siku ya Maombi, Sala na Shukrani nchi nzima, Mgombea Urais anayesubiriwa kwa hamu kupigiwa kura na wananchi walio wengi ambapo anatarajiwa kushinda kwa zaidi ya 75%, anaendelea na kampeni ya kuomba kura za kishindo kwenye baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro na Tanga. Kama kawaida yetu...
Back
Top Bottom