Binafsi sijawahi kuwa Mwanachama wa chama Chochote Cha Siasa. Yeyote anayefanya vizuri Mimi ni Mfuasi wake kwa Maslahi ya Tanzania.
Nawashauri CHADEMA waanze kumwandaa Tundu Lisu Kuanzia Sasa ili aje kuwa Mgombea wa Uraisi 2020.Huyu ni Mwanasheria Nguli Na ni Mtu anayejitambua sana. Kwa taaluma yake ya Sheria Nina Imani ataheshimu haki za kila mtu, na ataendesha Nchi Kwa mujibu wa Taratibu tulizojiwekea.
Nasema hivi kwa sababu naliona Anguko Kubwa sana kwa Chama kilichopo Madarakani kwa sasa. Kwa kawaida hulka. Mimi ni mtu ninayependa sana ushindani, tena uwe wa aina yoyote ile.hata ktk timu za mpira Mimi sinaga ushabiki wa timu moja, kila mwaka lazima nibadidili Timu. Kitendo cha kutawaliwa na chama kimoja tangu Nizaliwe kimenichosha sana, nataka kuona watu wengine tena wakitawala, hata Kama ni Cuf au Act Au NCCR, wherever. Ninachohitaji ni Mabadiliko ya uongozi.
Hata president aliyepo sasa, angeweza kufanya makubwa zaidi ikiwa angekuwa Raisi nje Ya CCM. Hata Mzee Kingunge aliwahi kusema. CCM Kimeishiwa Pumzi. Sasa sisi tunachongangana nacho nini?!
Ifikapo Mwaka 2020, Chama hiki cha Mababu zetu, kitakuwa kimekata pumzi Kabisa, kiasi kwamba Mgombea yeyote wa upinzani akiandaliwa vizuri na mapema, njia ni nyeupe State House. Huyu Tundu Lisu anao uelewa mkubwa, Siyo mla Rushwa, ni Very Strong leader, hafanani na Dr Slaa, Lipumba,Zito na wengine wa Namna hiyo. Nina Imani huyu Lisu angekuwa mla Rushwa CCM wangeshampa kiasi chochote anachotaka. Na wanajua ktk Chama hiki kikuu cha Upinzani, ukimtoa Lisu Na mbowe, chama kimekwenda na Maji.
Natoa with kwa wapinzani Muanze kujipanga sasa hivi na hakuna sababu ya kuchelewa Mtangazeni mapema ili Kama Ana matatizo yoyote muwape Muda watu wa kumchambua mapema. God bless you Tundu Lisu