Habari JF,
Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT Wazalendo ya Zitto ni wapinzani? Au CUF ya Lipumba ni wapinzani?
Ukweli ni kwamba tumebakiwa na wapinzani wachache kama kina Mbatia, Heche, Lema, Tundu Lissu etc, na katika hawa Tundu Lissu...
Huyu Bwana kwa hakika ndiye tatizo kubwa Kwa Rais Samia na CCM yake.
Ametangaza kuwa, Sasa anarudi nchini kwake baada ya kukaa uhamishoni nchini Ubelgiji kwa takribani miaka karibu 6 Ssasa.
Tena kaweka wazi kuwa anakuja kujiunga na wenzake CHADEMA na wengine kupambania demokrasia, uhuru na...
Wasalaam
Niende moja kwa moja hivi huyu mtu wa kawaida sana kama Tundu Lissu ana nini hasa?hana cv yoyote hapa Tanzania hajawahi kutrend na uibuaji wa kashfa wala hoja yoyote ya kifisadi, maana zaidi ya kuwa kibaraka wa mabeberu na undumila kuwili hana lolote la maana.
CV ya Lissu ni...
Mwanahabari Luqman Maloto, amefungua kesi ya jinai No. 5/2023 dhidi ya DCI na DPP Mahakama Kuu, Dar es Salaam, akiiomba itamke ofisi hizo zimeshindwa kuchunguza matukio yaliyofanywa na wasiojulikana ikiwemo kushambuliwa Tundu Lissu, kupotea Azory Gwanda na Ben Saanane.
Chanzo: MwanaHalisi...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Tundu Lissu ametangaza kurejea rasmi nchini January 25, 2023 saa 7 mchana baada ya kukaa uhamishoni kwa muda mrefu.
"Hatuwezi kuendelea kuishi uhamishoni bila ukomo. Hivyo basi, ninapenda kuwafahamisha kwamba, panapo majaliwa, nitakanyaga udongo wa ardhi ya...
Wanaukumbi.
SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu.
Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani.
Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu.
Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma?
Kikwete hakuwaita wapinzani...
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Tundu Lissu kutolewa ha Polisi cha Kati leo mchana, amefikishwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali na kupimwa mkojo.
Mapema asubuhi, mawakili akiwamo Fatma Karume walizuiliwa kuonana naye huku Jeshi la Polisi...
Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia.
Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa Mlieykuwa mnamuogopa hayupo. Rudini nchini Tanzania. Acheni uchawa huko Ulaya.
Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.
Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be kuna Watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa...
Nianze kwa kunukuu maneno ya Nabii na Mtume Josefat Mwingira.
" He is a victor' you can not conquer a Victor"
Tundu ni Mshindi, ona anavyopendwa na kushangiliwa na watu wengi akiwa hana hata chombo chochote cha habari lakini wananchi wanajua alipo na mikutano yake.
You can not make him fell...
Tundu Lissu amesema mali isipokombolewa baada ya kuzuiliwa, itapigwa mnada ili kufidia deni linalodaiwa. Kwa muda gani, inatagemea mkataba Serikali uliongia.
Tundu Lissu alikuwa anajibu swali la mdau aliuliza nini kitatokea kama Serikali itashindwa kulipa deni lililopelekea ndege kukamatwa...
Kwa sasa sioni kitu kipya kutoka kwake, anaishi Ulaya hataki kurudi nyumbani, anasubiri tu uchaguzi ukifika ndiyo aje kutafuta hela na kuhamasisha vijana kufanya vurugu. Wengine wanapata vilema na kuozea jela baada ya uchaguzi.
Yeye anatafuna kashata Ubelgiji watoto wake wakiwa Marekani...
Jamaa mara baada ya kuwachanachana CCM, saa saba za mchana siku hiyo ya tarehe 7/9/2017 akapigwa risasi mchana kweupe. Mungu Mwenyezi alimnusuru na kifo yu hai leo, bila shaka huyu ndiye Rais ajaye wa Tanganyika.
Pamoja na jaribio la serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli kutaka kumuua mkosoaji...
Anaanza kwa kukaribishwa na "Hangaya" kwa sauti nyororo ya Kizanzibari...
Lakini all in all, nasema..;
Huyu jamaa ni mtukutu sana. Anapiga nyundo sadistically kiasi cha kukera sana...!
Lakini ndo hivyo tena. Ukweli uliofichwa kwa nia ovu, ukifichuliwa na kuwekwa wazi, huwaudhi waliokuwa...
Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote.
Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha Katiba na kosa la jinai kuongeza maneno 'Mungu ibariki CHADEMA' kwenye Wimbo huo?
Chanzo...
Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote. Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha Katiba na kosa la jinai kuongeza maneno 'Mungu ibariki CHADEMA' kwenye Wimbo huo?gaga
Huku centre boulevards of Brussels bila shaka hii ni mitaa maarufu ambako Lissu anapendelea zaidi kutembelea!
Au Kama yupo nje na Brussels huko Antwerp au Le ROI centre hawezi kukumbuka tena kurudi kwenye siasa za Tanzania. Miezi michache nyuma kilio Cha tundu Lissu ilikuwa ni kulipwa stahiki...
Tundu lisu Hawezi akawa Rais wa Nchi hii ya Tanzania, Hata Kama angezaliwa kabla ya Uhuru na kuwepo wakati huo na ikatokea uchaguzi ,bado Lisu asingepewa nafasi ya kuwa Mkuu wa nchi hii ya Tanzania kwa kuwa Lisu anakosa sifa za kiuongozi anazopaswa kuwa nazo Mkuu Wa nchi.
Tundu Lisu ni Mtu...
Nawaambia Kama ilivyoandikwa kwenye Vitabu vitakatifu Biblia na Quran Kuna siku yaja Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.
Kama ambavyo Mkapa, Kikwete na Magufuli walipambana na Tundu Lissu wakashindwa.
Ila Rais Samia yeye ataanguka kabisa iwepo Katiba mpya au isiwepo Tundu Lissu will...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.