Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,789
Tupe maneno mawili matatu kuhusiana na movie hii.
Mtu akikuambia ni movie ya 1987 sijui unaweza kukataaDelta Force hiyo
Ndege ya abiria inatekwa na waarabu, kikosi maalum cha jeshi la Marekani “Delta Force” wanapewa mission ya kwenda kufanya uokozi.
Umenikumbusha mbali sana, hii picha imeigizwa kutokana na tukio la kweli.
Aisee miaka 38 iliyopita🤣🤣 si mchezo mkuuMtu akikuambia ni movie ya 1987 sijui unaweza kukataa
Sema Bill Drago jamaa alikua katili mbaya sio kwa kuigiza kule alafu anaongea taratibuuu kama hatakii kumbe anachomoa kijibisu chake akukate koo🤣🤣Delta Force ii Billy Drago alimchoma beto yule dem halafu akampiga kilita kabla hajachomoa beto.
Hiyo ni Delta Force 2Delta Force ii Billy Drago alimchoma beto yule dem halafu akampiga kilita kabla hajachomoa beto.
Alafu Akimaliza Analamba Kisu Chake Chenye DamuSema Bill Drago jamaa alikua katili mbaya sio kwa kuigiza kule alafu anaongea taratibuuu kama hatakii kumbe anachomoa kijibisu chake akukate koo🤣🤣
Apumzike kwa amaniSema Bill Drago jamaa alikua katili mbaya sio kwa kuigiza kule alafu anaongea taratibuuu kama hatakii kumbe anachomoa kijibisu chake akukate koo🤣🤣