tuache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Think2

    PostGE2025 Wasanii fanyeni kazi msitusumbue wananchi tuko bize kulikomboa taifa

    Kipindi cha kampeni wasanii wote mlikuwa upande wa CCM mkaanza kutukana wananchi eti tunalalamika sana tufanye kazi. Baada ya uchafuzi wa 29 kuisha wameanza kutia huruma et nendeni youtube tukasikilize ushuzi, machawa Pro max, show za ndani zimebuma na bado wananchi hatutasiliza nyimbo zenu...
  2. Cute Wife

    PostGE2025 Mtangazaji Clouds TV: Pongezi za Msigwa kwa Waandishi hazinihusu, tuache unafiki!

    Wakuu, Wakiwa kwenye kipindi watangazaji wa Clouds, wameulizana swahili hili: "Sifa mlizopewa jana na Msemaji Mkuu wa Serikali mpaka kufikia kuundiwa mfuko maalum (wa wananhabari) mnadhani sifa hizo mnastahili?" Mtangazaji Sam Sasali kajibu hizo pongezi kwaajili ya kutopost picha za...
  3. Genius Man

    Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela

    Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela alafu heti hawa wizara ya afya wameipost ile video sio AI kuipost ni kujiaibisha kimataifa ile video sio AI kabisa wanaendelea kujivua nguo...
  4. Nyani Ngabu

    Tuache kumuita hivyo

    Najua mazoea yana tabu. Lakini baadhi ya tabu kuzipitia ni jambo la muhimu sana. Mimi ningependa tuache kumuita huyu Samia yale majina yenye heshima heshima. Tuache kumuita ‘mama’. Kila mtu humu ana mama yake. Suala la kumuita yeye ‘mama’ tumwachiem Abduli na ndugu zake. Huyo si mama yetu...
  5. Yoda

    Watanzania tuache kujidanganya kwamba inahitaji askari kutoka nje kutekeleza mauaji na ukatili wa kutisha kati yetu?

    Kuna maneno au uvumi umekuwa ukisambazwa sana kwamba kuna wanajeshi au askari wa Uganda waliingizwa kutoka nje ili kudhibiti waandamanaji kwa kuwaua na kuwafanyia ukatili mwingine. Huku ni kujidanganya, kujipumbaza na kujifariji kwa uongo. Kwa muda mrefu sana Watanzania wengi wamekuwa...
  6. Mzee Mwanakijiji

    Tuache Ufyatu: Hajakataliwa kwa Uzanzibari Wake na Hawajamkubali kwa Hilo Pia

    Ni makosa makubwa kukataa kinachoendelea kwa sababu Samia ni Mzanzibari. Ukikubali hili unataka kusema kama kingefannywa na "Mmatumbi" mwenzetu basi kisingepingwa. Ni ufyatu kusema kuwa haya yote yangefanywa na mgombea wa CCM toka Bara basi watu wasingelalamika na kuasi mioyoni. Yaani, itokee...
  7. M

    Shetani apumzishwe tuache kumlaumu katika kila dhambi, vitu vingi tunafanya kwa hiari yetu wenyewe

    Dini zimemfanya shetani awe kapu la kutupia lawama na dhambi zoooote, Binadamu anaonekana kama hatendi kwa hiari, kila anachokosea kuna mkono wa shetani, kama mnyama asie na akili. Mtu kazini kwa maamuzi na starehe yake lakini lawama atupiwe shetani, Shetani ndie aliekwambia uhonge, utongoze...
  8. baz kaiza

    GE2025 Kwamba Majeshi ya Nchi nyingine yaje kinyemela kwenye nchi nyingine? Tuache Propaganda za Kitoto haiwezekani

    Hiyo ni propaganda sio rahisi ivyo Majeshi ya Uganda yaje Tanzania kwasababu ya Uchaguzi kwa tishio gani mpaka wachukue jeshi la Uganda kwa Watanzania hawa hawa tusibebe kila propaganda.
  9. SSH2025_2030

    Watanzania tuache uvivu na wivu

    1. Tupunguze ujuaji na wivu kwa waliofanikiwa (wakiwemo Wafanyabiashara na viongozi wetu). 2. Tufanye kazi kwa bidii. Tulipe Kodi bila shuruti. Tutafanikiwa. #OktobaTunatiki. NB: Viongozi wetu wakifanikiwa tunajaa jazba, why?
  10. R

    GE2025 Askofu Bagonza: Tuache kutekana wala kukamatana kwa tofauti za maoni, Maoni siyo kura turidhiane kwanza

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Facebook Askofu Bagonza ameandika haya: UCHAGUZI SI “Tumbo la Kuhara”: TURIDHIANE KWANZA. Sikati tamaa kuleta wito wa MARIDHIANO katika Taifa letu kabla ya uchaguzi mkuu mwezi ujao. Uchaguzi Mkuu siyo “tumbo la kuhara” kutufanya tuharakishe bila kujali...
  11. Chizi Maarifa

    Polepole tuache. Inatosha unazidi kutuchimba kwenye kidonda. Hatutaki kuyajua hayo tuwache

    Speech yako ya mwisho haijaisha unaleta nyingine? Unawabandika, bandua we unatumia Mkongo? Bado tunajitahidi kusema wewe Muongo na kukuzushia hatujamaliza unaleta tena drones nyingine kutaka lipua vinu vyetu vya Nyuklia? Waache watanzania kwa sasa wanapokea tshirt na khanga wanapokea 5,000...
  12. Eli Cohen

    Tuache na kupigana ban sasa, ni wana JF gani utaweza kuwa recommend katika nyadhifa hizi za serikali?

    1: RAIS 2: WAZIRI MKUU 3: WAZIRI WA HABARI/MAWASILIANO 4: SPEAKER WA BUNGE 5: WAZIRI WA UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO 6: MKUU WA T.I.S.S 7: IGP 8: WAZIRI WA FEDHA 9: MSHAURI WA RAIS 10: WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII
  13. Komeo Lachuma

    Pole pole kama wewe umeshiba tuache wengine tule. Usitaki mwagia mchanga kwenye sinia la wali. TUTAONANA WABAYA

    Leo tutahakikisha huathiri maisha ya watu kwa namna yoyote. Wewe uliamua kuachia Ubalozi. Wengine bado tunataka tufanye kazi na tustaafu kwa Manufaa ya familia. Unalotaka kufanya ni kuharibia watu maisha na harakati. Jipime ndugu yangu. Usidhani hilo jambo lako litaleta mabadiliko. Halitaleta...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini

    Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini Kuna watu ambao tayari wamepata ajira serikalini, wamepangiwa vituo vya kazi, na wanaendelea kupokea mishahara kila mwezi. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha...
  15. Megalodon

    GE2025 Kisicho RIZIKI hakiliki, Taratibu zifuatwe kupata Mgombea Urais CCM

    Kuna justification gani ya kutumia dokezo kumpitisha mgombea wakati miongozo ipo wazi? Yeyote anaye pinga ule uhaini wa dokezo ni mzalendo and genuine soul bila ya kujali past behavior. The smartest people had seen that coming… Job, Mpango, Diwani, Gwajima, Mpina, and now… Polepole – na wapo...
  16. Mjomba Fujo

    SERIKALI ifike hatua tuache kutumia majina ya viongozi wa kisiasa kwenye miradi mipya.

    Tunatia aibu kila mradi unapewa majina ya viongozi wa kisiasa. Inamaana hamna majina mengine mpaka hao viongozi majina yao yatumike kila sehemu🤔🤔🤔🤔. Hata kama ndio utamaduni basi tumezidisha kipimo kwakweli. Na ni uchawa ndio unasababisha yote haya siamini kama hao wahusika walidhamiria au...
  17. USSR

    Tuache utani hili konokono la jamiiforums linatisha sana hakuna mbadala

    Hili dude sio kahuna namna ya kutuhabarisha kama kuna tatizo zaidi ya kutishana USSR
  18. B

    Ujumbe wa kizalendo: Tujitambue kama taifa, tuachane na mambo ya mpira

    habari za leo nyie MADUNDUKA A.K.A MAKOLO na UTOPOLO A.K.A CHURA...... Wakati wenzetu Wakenya wanajitokeza barabarani wakipigania haki zao, uhuru wa kisiasa, mabadiliko ya kiuchumi, na mustakabali wa watoto wao, sisi hapa Tanzania bado tumejifungia kwenye majukwaa ya...
  19. Pascal Mayalla

    Ada ya Mja Hunena, Muungwana ni Kitendo, Je Tuache Ushindani wa Haki Bila Haja ya Kumshindanisha na Vivuli!, ili Ada Zake Zimnenee Au...?

    Wanabodi, Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo Mada ya leo ni kuhusu "Ada ya Mja Hunena, Muungwana ni Kitendo", nikiuliza je tuache ushindani wa haki kwa wagombea wa ukweli wenye kuleta ushindani, ili tusimshindanishe na vivuli!, ili kuziacha ada za mja huyu ndizo zimnenee hiyo October...
  20. Minjingu Jingu

    Iran sasa tushambulie kimkakati tuache tu kurusha makombola kama vipofu

    Wasalam Alleykhum wa rahma tullay wabalaqatuh! Sasa natoa ushauri kitaalam. Naomba muanze kushambulia maeneo nyeti ya Israel kama ambavyo wametufanyizia wao. Tusirushe tu ngumi kama walevi. Tupige kama walivyotupiga hawa mayahudi. Tupige ikulu,maeneo ya kijeshi,tuue makamanda wao na wakuu wa...
Back
Top Bottom