Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini
Kuna watu ambao tayari wamepata ajira serikalini, wamepangiwa vituo vya kazi, na wanaendelea kupokea mishahara kila mwezi. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha...
Kuna justification gani ya kutumia dokezo kumpitisha mgombea wakati miongozo ipo wazi?
Yeyote anaye pinga ule uhaini wa dokezo ni mzalendo and genuine soul bila ya kujali past behavior.
The smartest people had seen that coming… Job, Mpango, Diwani, Gwajima, Mpina, and now… Polepole – na wapo...
Tunatia aibu kila mradi unapewa majina ya viongozi wa kisiasa.
Inamaana hamna majina mengine mpaka hao viongozi majina yao yatumike kila sehemu🤔🤔🤔🤔.
Hata kama ndio utamaduni basi tumezidisha kipimo kwakweli.
Na ni uchawa ndio unasababisha yote haya siamini kama hao wahusika walidhamiria au...
habari za leo nyie MADUNDUKA A.K.A MAKOLO na UTOPOLO A.K.A CHURA......
Wakati wenzetu Wakenya wanajitokeza barabarani wakipigania haki zao, uhuru wa kisiasa, mabadiliko ya kiuchumi, na mustakabali wa watoto wao, sisi hapa Tanzania bado tumejifungia kwenye majukwaa ya...
Wanabodi,
Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo
Mada ya leo ni kuhusu "Ada ya Mja Hunena, Muungwana ni Kitendo", nikiuliza je tuache ushindani wa haki kwa wagombea wa ukweli wenye kuleta ushindani, ili tusimshindanishe na vivuli!, ili kuziacha ada za mja huyu ndizo zimnenee hiyo October...
Wasalam Alleykhum wa rahma tullay wabalaqatuh!
Sasa natoa ushauri kitaalam. Naomba muanze kushambulia maeneo nyeti ya Israel kama ambavyo wametufanyizia wao. Tusirushe tu ngumi kama walevi. Tupige kama walivyotupiga hawa mayahudi. Tupige ikulu,maeneo ya kijeshi,tuue makamanda wao na wakuu wa...
Kwa mtazamo wangu tangu nimeanza kufatilia siasa nimeona kwamba watanzania wengi wamejaa kwenye uchama na sio Fikra zao binafsi
Kila jambo litakalosemwa na kiongozi wa chama alichochagua kukifuata basi anakishangalia bila kujali fikra yake,
Na wakati mwingine kiongozi wa vyama hivyo wanaongea...
Mtu unapewa elfu 20 ukalete fujo Kwenye mkutano wa siasa, unahatarisha Maisha Kwa sababu ya hela ndogo, wakati waliokutuma wamekaa wamekunja 4 wanajilimbikizia Mali nyie ndio mnawekwa mbele kama chambo...
ila hawa VIJANA waangaliwe na mabosi zao waongezewe dau kuna Yule alipigwa Right 👊 sidhani...
Tuliahidi tukatekeleza
1. SGR from Dar To morogoro: usafiri umerahisishwa sana.Biashara zinasonga sana
2. Bwawa la Nyerere : mgao wa umeme umekwisha kabisa
3. Daraja refu kabisa africa ,kigongo busisi aka JPM brigde : kitovu cha utalii wa luingiza fedha za kigeni,usafiri umerahisishwa sana...
Sasa sina lawama na Simba. Kwa hili jambo lazima tufikie hatua tutumie akili na ufahamu. Hii nafasi waliyoshika Simba si ya kawaida kwa budget yao. Hawapaswi kuwa hapo. Inashangaza wanawezaje kushika nafasi hiyo.
Sisi Yanga tunabaki na majungu, unafiq na wivu. Hapa Simba tuwasifu kwa kweli.
Kizazi Cha Sasa sio wanawake Wala wanaume tuko obsessed na kuwa weupe,wengine tunajidanganya Kwa jina la kuglow.
Kuglow uglow na rangi yako halisia huku unawaka na kumeremeta,rangi yako halisi,ngozi yako safi
kwani nani kasema weusi ni mbaya?
Weusi ni rangi adimu yenye thamani sana hata...
Ibrahim Traore ni kijana hodari aliyechukua madaraka ya nchi ya Burkina Faso mwaka 2022 akiwa na umri wa miaka 35 tu.
Traore ni mfano wa vijana wachache hodari wa bara la Africa.
Vijana ndio tulipaswa kuwa tunakula matunda ya nchi na sio akina mzee Wassira.
Badala ya vijana wengi wa...
Nitashangaa sana mwanasimba yeyote atakayefurahia hata pale itakapotokea timu imetwaa ubingwa wa Ligi. Siku zote ukiitazama Yanga inavyocheza una enjoy anaona mpira halisi na hata wakichukua ubingwa unaona wamestahili!
Ila upande wa pili huko ukiangalia unaona kabisa ni ubingwa wa kulazimishia...
Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema Nchi yetu wanaweza kutumia faida ya malumbano na matamko kutuingiza kwenye machafuko.
Nchi ikichafuka...
Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen
Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni
Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina...
Tuache porojo tuje kwenye matendo hatua zinazochukuliwa kwa mafukara na watumishi wa umma
hatua hizo zichukuliwe ndani ya ccm ili kuondoa mionekano ya kiubaguzi na kiupendeleo
Nakumbuka Tarehe 25/04/2025 akilihutubia Taifa kuelekea kwenye maadhimisho ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Rais...
Habari wana JF.
Tuache Siri kwenye vitu muhimu wakuu hasa kwenye family issues. Kuna partner wangu mmoja hapa kariakoo wiki mbili zilizo pita tulikuwa tunazungumzia kuhusu usiri wa pesa tunazo weka Bank . Jamaa akanambia kahifadhi milioni 28 bank na mke wake hajamwambia hivyo katika familia...
Habari Wana JF,Nimekaa na kutafakari sana juu ya uhai na hatima yetu kama Binadamu,uwe muumini wa Dini au huna Imani!
Mimi ni muumini wa uwepo wa Mungu na nitanukuu maandiko kama ninavyoamini.
Nimevipiga vita vilivyo vizuri,mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda,8baada ya Hayonimwekewa taji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.