ttcl

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Written Interview ya TTCL nafasi ya Afisa Mauzo

    Habari za jioni wadau. Ninaomba msaada kwa waliowahi kuhudhuria interview Utumishi kwa nafasi ya SALES OFFICER . Ni maswali gani wanapendelea kutoa? Asanteni sana.
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Mashirika 11 ya Umma hayakupeleka hesabu zao kukaguliwa ikiwemo TANESCO, TTCL, NHIF, Posta na Muhimbili

    Taasisi ambazo hazikuwasilisha hesabu zake kukaguliwa. 1. Hospitali ya Taifa ya Muhimbili 2. Kampuni ya Mbolea Tanzania 3. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya 4. Mfuko wa UTT 5. Shirika la Magazeti Tanzania 6. Shirika la Posta Tanzania 7. Shirika la Reli Tanzania 8. Shirika la Simu Tanzania 9...
  3. JamiiForums Tanzania UTUMISHI Jobs At Tanzania Telecommunications Corporation Limited (TTCL), April 2021- (61 Posts)

    1. JOB TITLE: SALES OFFICER II - (10 POSTS) ● Sales/Marketing – (5 POSTS) ● Entrepreneurship – (5 POSTS) 7.2.1 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To ensure proper maintenance of customer documentations and records including sales data and monthly bills ii. To provide first hand support to all...
  4. JamiiForums Tanzania Nyumbani kumenoga: TTCL wamerudi kwenye mstari wao

    Siku mbili tu bila kutumia internet ni kama mwaka mzima gerezani. Ahsante sana Ttcl NB: Kama kawaida eneo ulilopo ndio litaamua speed ya mtandao
  5. F

    JamiiForums Tanzania TTCL huu ndio muda wenu wa kuvuna wateja wa voda, tigo, airtel, nyinyi shusheni bei ya internet - kodi tra wanawasamehe ki siri siri

    TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF... Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt Ndugulile aipongeza TTCL uboreshaji vituo vya huduma kwa wateja

    Na Mwandishi wetu - Zanzibar Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe Dkt Faustine Ndugulile aipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania kwa kuboresha muonekano wa Vituo vya Huduma kwa Wateja nchi nzima ili kuongeza mvuto kwa wateja wa huduma za mawasiliano. Amesema hayo katika hafla...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Faustine Ndugulile azindua rasmi Kituo cha Huduma kwa Wateja cha TTCL Corporation Kijangwani, Zanzibar

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt Faustine Ndugulile azindua rasmi Kituo cha Huduma kwa Wateja cha TTCL Corporation Kijangwani, Zanzibar. Pia katika uzinduzi huo alikuwepo Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Corporation ndug. Waziri Kindamba #RudiNyumbaniKumenoga
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa: TTCL internet configuration settings

    Kama ninavyosomeka hapo juu. Watz nahitaji kufahamu configuration za internet ya ttcl
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza wanaodaiwa na TTCL kukatiwa huduma baada ya Januari 31 endapo hawatalipa madeni

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndugulile ameliagiza shirika la mawasiliano Tanzania TTCL kufuatilia madeni ya malimbikizo yote inayoyadai mashirika mengine ya Umma na yakishindwa kulipa hadi januari 31 yakatiwe huduma. Huduma hizo ni simu na intaneti ambapo hadi sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Ili niweze kufanya kazi TTCL natakiwa nisomee masomo gani na kozi gani chuoni?

    Miye ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 kwa masomo ya HGL, ningependa kupata mwongozo wa nini nifanye. Je, HGL yangu ya div 2 inatosha? Au kuna somo inabidi niyareseat? Na kama kwa HGL inawezekana ni chuo kipi kinatoa masomo hayo kwa ngazi ya diploma?
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa siku 30 kwa Taasisi zinazodaiwa na TTCL kulipa madeni ya huduma waliyopewa

    WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile amezipa siku 30 taasisi za umma zinazodaiwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) zilipe shilingi bilioni 30 ndani ya mwezi mmoja. Dk Ndugulile alitoa agizo hilo jana alipotembelea TTCL na kuzungumza na wajumbe wa Bodi...
  12. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa VODACOM, TIGO, ZANTEL, TTCL, AIRTEL pitieni hapa, huwenda kukawa kuna faida kwenu

    .
  13. JamiiForums Tanzania Serikali kwanini wahitimu wa bachelor of arts with education wasiwe mawakala wa ttcl na airtel nchi nzima wakati wakingoja fursa

    Najua vijijini na kwenye kata hakuna mawakala wa ttcl na airtel, kwanini msiwaajili walimu hawa wanaojua customer service vizuri wakawa mawakala kwa kuwapa mafunzo kidogo ya kutatua matatizo ya mtandao. Mh Dr. Jakaya Kikwete aliwahi sema 'degree yeyote mtu anaajiliwa kazi yeyote kutoa sheria na...
  14. JamiiForums Tanzania Iweje simu za mezani Ttcl walizipatia sana na zinasikika vyema na washindwe kuboresha simu za mkononi?

    Jamani inakuwaje kuwaje ukitumia simu za mezani za ttcl mambo poa,hata kwa sie wa siku nyingi walileta mradi wa simu za box unadumkiza sarafu unapiga,nazo zikawa safi na wakaweza ila za mkononi zinasuasua,tatizo nini?bora waniajili nikaongezee nguvu.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia Voda, Tigo ama Airtel katika bando, vipi huko hali ikoje maana TTCL bando halikai kabisa

    Husiku na kichwa cha habari hapo juu, Nimekua mteja wa TTCL muda sasa toka nilipoanza kutumia yapata miaka kadhaa. Mabadiliko mengi yakatokea mimi nipo tu. Kwa mabadiliko haya ya gharama za data zao naamini watampoteza mteja mmoja. TTCL mna threads zenu humu ndani (JF) namna mtaboresha huduma...
  16. JamiiForums Tanzania Mkakati ninaowapa TTCL ili iwe kampuni pendwa na inayojulikana bila matangazo mengi ni huu........

    Ili kulishinda soko bila kujitangaza sana ni kuandaa mabango kila mtaa,masoko,vyuoni na kadhalika na kuweka picha za watu wanaojulikana ktk mitaa hiyo,masoko hayo,vyuo hivyo wakiwa na simu za TTCL, watu hao si lazima wawe wanaoheshimika Bali maarufu,wale wenye utani na kupendwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka TTCL

    Dahh eti "Tumenogesha zaidi, Mpendwa Mteja furahia maboresho ya vifurushi vyetu vya Data, sms na dakika kwa kupiga *148*30# kujiunga." BORA mninyonge tuh
  18. JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
  19. JamiiForums Tanzania TTCL hamuendi mbinguni

    Mungu anawaona jamaa kwa matendo yenu ya kutusulubu wateja wenu watiifu. Kutumia mtandao wenu ni adhabu tosha kama ilivyo adhabu ya viboko. Hapa mpaka mkono unauma kwa ajili ya washa zima data, maana kwa kufanya hivi ndio angalau mtandao unafanya kazi kidogo. Kwa adhabu mnazotupa natamani siku...
  20. JamiiForums Tanzania Wangapi mlipitia huku? Tulipokuwa watoto tuliharibu sana miundo mbinu ya TTCL

    Nakumbuka wakati nakua tulikuwa tunatengeneza magari ya waya za tairi na waya zile zenye rangi rangi za TTCl. Kipindi hicho tulikuwa tunazunguka mitaa ya wazito maarufu kama uzunguni ambako ndio kulikuwa na watumiaji wengi wa simu za mezani kipindi hicho, basi tunatafuta zile njia zilizopita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…