TTCL hamuendi mbinguni

EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
8,558
12,683
Mungu anawaona jamaa kwa matendo yenu ya kutusulubu wateja wenu watiifu. Kutumia mtandao wenu ni adhabu tosha kama ilivyo adhabu ya viboko. Hapa mpaka mkono unauma kwa ajili ya washa zima data, maana kwa kufanya hivi ndio angalau mtandao unafanya kazi kidogo.

Kwa adhabu mnazotupa natamani siku nije kukaa kwenye geti la kuingia mbinguni nimsaidie wa Getini kuchagua wanaoingia mbinguni na wale wanaounganishwa na baba yao ibilisi kwenye moto wa jehanamu.

Mukamtangulize mungu kwenye kazi zenu pengine mtaukwepa moto wa jehanamu
 
Yaani mpaka kero mkuu muda ambao network angalau inafanya kazi ni jumla ya dakika zisizozidi 5 katika masaa 24 maana itafanya kazi kwa sekunde 2 itasumbua kwa sekunde 10
 
Mungu anawaona jamaa kwa matendo yenu ya kutusulubu wateja wenu watiifu. Kutumia mtandao wenu ni adhabu tosha kama ilivyo adhabu ya viboko. Hapa mpaka mkono unauma kwa ajili ya washa zima data, maana kwa kufanya hivi ndio angalau mtandao unafanya kazi kidogo.

Kwa adhabu mnazotupa natamani siku nije kukaa kwenye geti la kuingia mbinguni nimsaidie wa Getini kuchagua wanaoingia mbinguni na wale wanaounganishwa na baba yao ibilisi kwenye moto wa jehanamu.

Mukamtangulize mungu kwenye kazi zenu pengine mtaukwepa moto wa jehanamu
Kweli, wanakera!
 
Back
Top Bottom