TRA kanzi data

TRA kanzi data

Hili swali kila mtu anajiuliza maana mchakato haupo open kama wameshatuma email kwa watu au wanaendelea kutuma.Wapo wanaosema walitumiwa email jumapili ila mimi sijaskia yeyote ninayemjua katumiwa.Labda wanaojua watasema
 
Mimi niliambiwa Kuna watu wametumiwa na jana baadhi wamefuata barua
 
Yeah ningekuwa nimesikia kutoka kwa watu ninaowafahamu atleast but kila unayemuuliza anasema hamna
Tatizo hizi stori kila mtu anasikia tu na ndo itakua imetoka hiyo. Ni vyema wangesema kua sasa zoezi la kuchukua database limeisha na tushapata idadi tulioitaka. Simple sana
 
Back
Top Bottom