TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,787
- 4,262
Wakuu samahani naomba mtu yeyote aliyewahi kukutana na changamoto yoyote katika suala lolote linalohusiana na Huduma za TRA aandike hapa,itapendeza zaidi ukifafanua ugumu ulikuwa wapi,?
Zaidi naangazia katika malipo ya kodi,kujaza compliance,kutoa mzigo bandarini,kupitisha mzigo mpakani,nk.
Lakini changamoto yoyote ile naomba uandike hapa ninapitia.
ASANTENI
Zaidi naangazia katika malipo ya kodi,kujaza compliance,kutoa mzigo bandarini,kupitisha mzigo mpakani,nk.
Lakini changamoto yoyote ile naomba uandike hapa ninapitia.
ASANTENI