KERO Hii mifumo ya TRA ni changamoto sana

KERO Hii mifumo ya TRA ni changamoto sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,784
Reaction score
4,257
User interface si rafiki, errors kibao wakati wakutuma taarifa na hazieleweki, ukienda kuangalia manual huzikuti hizo errors, ama ukifungua manual unakutana na kitu ambacho ni tofauti kabisa.

Mfano kwenye INNOVATION PORTAL ukijaza fomu yao, ukitaka kutuma zinakuja errors kibao haiendi, ukiangalia manual wameweka majina ya vendors na mawasiliano yao, sasa za endana aje?, Ukienda ofisi za TRA jirani wanakwambia hawaelewi chochote nenda makao makuu.

Nani developer wa hizi system zenu?

IDRAS kuna changamoto kama hizo pia TRA Tanzania,mnayajua haya? au ndio ukiuza toa risiti,ukinunua dai risiti?

Hii nimeambatanisha ndio user guide ya innovation portal?
 

Attachments

Back
Top Bottom