Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,923
- 6,538
Yanga wanashuka dimbani muda huu kucheza mchezo wake wa ligi kuu NBC dhidi ya TRA.
Moja ya mchezo mzuri na muhimu kwa Yanga kujihakikishia ubingwa
Lakini pia hata TRA nao wanataka kumaliza top 4
===========
Klabu ya Yanga imeendelea kuonyesha ubora wake katika Ligi Kuu ya NBC baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya TRA United katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex.
Nyota wa mchezo alikuwa Allan Okello aliyefunga mabao yote matatu (hat-trick), na kuihakikishia Yanga pointi tatu muhimu huku ikiendeleza rekodi yake nzuri katika mbio za ubingwa wa ligi msimu huu. Ushindi huo unaendelea kuifanya Yanga kuwa miongoni mwa timu zinazoonyesha kiwango bora katika ligi.