Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,858
- 25,759
TRA na watu wengi wamekuwa wakitudharau sana, sisi watu wa miavuli , Ukweli ni kwamba kwa siku hamna hamna ninalaza 500,000/-.
Hapo bado kuna delivery ambazo wala hazipo golini, zinatoka Stoo kwenda Shekilango au kwa Transporter.
Nafsi yangu imenisuta kila siku kudanganya maskini wakati nimejenga kibada. Nina gari na watoto wanasoma English Medium ya Wakatoliki.