tpa

  1. T

    Mkurugenzi wa TPA aliyesimamishwa kazi, Kakoko ashikiliwa kwa mahojiano na TAKUKURU

    Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo amethibitisha taasisi hiyo kumshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Deusdedit Kakoko aliyesimamishwa kazi na Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan. Hivi Karibuni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  2. Kichuguu

    Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

    Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana! Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti"...
  3. D

    Bandari Billing section kulikoni mbona hatupati invoice tulipe tutoe mizigo yetu!

    Bandari Billing section kulikoni mbona hatupati invoice tulipe tutoe mizigo yetu au KAKOKO kaondoka nayo, msitukwamishe bana, fanyeni utaratibu as quick as possible. Kwani hizi system ana control nani? mara leo TPA kesho TRA, ngachoka kabisa.
  4. Nyankurungu2020

    Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

    Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzania wengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.
  5. mwanamwana

    Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

    Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo. Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya “Ripoti...
  6. The Sheriff

    TAKUKURU kuwashitaki watu 4 kwa Rushwa na Uhujumu Uchumi, watatu ni waliokuwa wafanyakazi wa Bandari (TPA) pamoja na mfanyabiashara 1

    Watuhumiwa watatu ambao walikuwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) tayari wamefukuzwa kazi Mtu wa nne ni mfanyabiashara na Mkurugenzi wa kampuni M/S Ntinyako Company Ltd. Iliyokuwa ikipewa zabuni ya usambazaji wa vifaa vya ujenzi na miundombinu ya maji katika Bandari ya...
  7. benja

    Naomba kujuzwa mshahara wa Senior Planning Officer Tanzania Ports Authority (TPA)

    Naomba kufahamu Mshahara wa Senior Planning Officer II wa Tanzania Ports Authority ni Tsh Ngapi? Naomba kufahamu na Salary Scale ya nafasi hiyo
  8. Stuxnet

    CAG aibua ufisadi TPA ya Deus Kakoko, Ni mbaya kuliko wa Kigwangalla

    Kwa wiki zima mitandao ya jamii imemshupalia Dr Hamis Kigwangalla kwa ufisadi wa kutumia Tsh bilioni 2.58 bila idhini ya Bunge. Pengine Kigwangalla yuko kwenye "spotlight" kwa vile siku zote ni mtu wa majibizano kwenye mtandao ya jamii. Sasa kuna manunuzi ya Tsh bilioni 22.69 yaliyifanywa na...
  9. K

    Mamlaka ya Bandari Tanzania kulikoni tunashindwa kutoa mizigo tangu jana

    Jamani TPA kulikoni tunashindwa kutoa mizigo tangu jana eti system hakuna, nani anadhibiti hii system? Tuna wateja kutoka nchi jirani wanafuata magari yao wanapata hasara kukaa zaidi ya muda wao hebu fanyeni kazi, yaani mpaka muda huu hakuna invoice zilizotoka tangu jana. Tunakuomba Waziri hebu...
  10. elivina shambuni

    TPA yafanya upembuzi bandari za Ziwa Nyasa

    MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari (TPA), imesema inafanya upembuzi yakinifu katika bandari zote za Ziwa Nyasa unaolenga kuboresha miundombinu na kuimarisha shughuli za kibiashara katika ziwa a waandishi wa habari katika Bandari ya Kiwira iliyopo wilayani Kyela mkoani Mbeya. Alisema wameamua...
  11. BAK

    Mkurugenzi TPA: Mkataba wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ungeifilisi Tanzania

    Bandari ya Bagamoyo ingefilisi, kuuza nchi Sunday May 19 2019 Kwa ufupi Pamoja na kusamehewa kodi na ushuru mbalimbali kama zile za lazima kisheria, kulipwa fidia ya hasara ya kibiashara watakayopata kwa mujibu wa mahesabu yao, mwekezaji pia aliweka sharti la kuachiwa ajipangie bei ya kuwatoza...
  12. Kaka Pekee

    Msaada: Ushuru wa Bandari ni kiasi gani?

    Habari, Kwa utashi, uzoefu, ujuzi na hekima zenu tafadhali naomba kufahamishwa taratibu na gharama za Ushuru wa Bandari wakati wa kutoa gari kwa Port ya Dar Es Salaam. Nimejipigapiga na kuagiza kagari toka Japan ambako gharama yake ya Ushuru wa TRA kwa mujibu wa TRA Calculator ni kama 4Million...
Back
Top Bottom