Mamlaka ya Bandari Tanzania kulikoni tunashindwa kutoa mizigo tangu jana

keshaulo

Member
Jan 7, 2020
86
69
Jamani TPA kulikoni tunashindwa kutoa mizigo tangu jana eti system hakuna, nani anadhibiti hii system?
Tuna wateja kutoka nchi jirani wanafuata magari yao wanapata hasara kukaa zaidi ya muda wao hebu fanyeni kazi, yaani mpaka muda huu hakuna invoice zilizotoka tangu jana.

Tunakuomba Waziri hebu ingilia kati hili suala na sijui kama una taarifa hizi.
 
Back
Top Bottom