Naomba kujuzwa mshahara wa Senior Planning Officer Tanzania Ports Authority (TPA)

benja

JF-Expert Member
May 10, 2011
318
196
Naomba kufahamu Mshahara wa Senior Planning Officer II wa Tanzania Ports Authority ni Tsh Ngapi?

Naomba kufahamu na Salary Scale ya nafasi hiyo
 
Hivi ni kweli TPA wana scale hizi ikiwa ina maana anazidiwa mshahara na secretary wa TANESCO mwenye ka DIP ka magogoni pale🤔
 
Hivi ni kweli TPA wana scale hizi ikiwa ina maana anazidiwa mshahara na secretary wa TANESCO mwenye ka DIP ka magogoni pale
Punguza zarau, mishahara ya taasisi hutegemea na taasisi husika, watu hawalipwi kwa dip wala phd zao,watu wanalipwa kujlingana na majukumu wanayoyatekeleza kwa mujjibu wa muundo wao.

Sent from my SM-N920F using JamiiForums mobile app
 
800,000 kabla ya makato ondoa security fund ondoa deni la heslb nadhani unabakiwa kama laki 6 kasoro hivi baada ya makato

Sent using Jamii Forums mobile app
Unalimlisha tango pori jamaa sio?? TPA hakuna mtu anapata take home ya laki 6 labda kama ana madeni kwenye upatu na vikoba.

Mfagiaji mwenyewe hapati take hom ya 600k.

Acha upotoshaji
 
Mkuu Tanesco wanajilipa mshahara yani lile shirika ni kama la hao staff wa Tanesco hizi hela za LUKU tunazolipa ndio wanazitumia kuendesha shirika pamoja na kujilipa mishahara ni kama EWURA tu so inaweza fika kipindi mlinzi akalipa hadi milioni tano kwa mwezi ni maamuzi yao.
 
Back
Top Bottom