tpa

  1. Memento

    Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi

    Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato. Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa? Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta...
  2. B

    TPA na kampuni ya Dangote waingia makubaliano ya kibiashara kupitia bandari ya Mtwara

    Mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania (TPA) Leo Jumatano Machi 16, 2022 imeingia makubaliano ya kibiashara na kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mkoani Mtwara yenye lengo la kurahisisha usafirishaji wa Saruji kwa kutumia bandari ya Mtwara. Makubaliano hayo Yanawezesha kampuni ya...
  3. J

    Meli 3 zinazohudumu katika ziwa Nyasa zimeharibika, RC Homera achachamaa awataka TPA na Wizara waseme ukweli nini kinaendelea!

    Meli zote tatu zinazotoa Huduma katika ziwa Nyasa zimeharibika na meneja wa TPA amesema matengenezo yanasubiri kwanza tathmini kutoka Shirika la Bima la taifa (NIC) Naye Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh Homera ameitaka TPA makao makuu pamoja na Wizara ya uchukuzi kueleza ukweli tatizo la meli hizo ni...
  4. Jamii Opportunities

    Captain at TPA

    POST: CAPTAIN – 1 POST POST CATEGORY(S): TRANSPORT AND LOGISTICS EMPLOYER: Tanzania Ports Authority (TPA) APPLICATION TIMELINE: 2022-01-07 2022-01-20 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES Piloting Ships for safe berthing & un-berthing within the Port Ensure that the outgoing ships have...
  5. Idugunde

    Wahasibu na Kibarua TPA kizimbani kwa kuisababishia TPA hasara ya mil 600

    WAHASIBU NA KIBARUA TPA, KIZIMBANI WAHASIBU wanne wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kibarua mmoja, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye shtaka moja la kuisababishia Bandari hasara ya zaidi ya Sh. Milioni 600...
  6. Richard

    Ushauri kwa Rais Samia; Azingatie bodi mbili tofauti kuendesha TPA na napendekeza "two tier board of directors"

    Kwako Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Kwanza pole na majukumu makubwa ya kuongoza taifa hili, au nchi hii na bila shaka umethibitisha kwamba nchi hii ni ngumu. Moja ya mambo mazito yanoisumbua nchi hii ni uwajibikaji na baadhi ya wananchi kupenda kupata bila jasho au kupiga kama ambavyo...
  7. S

    Rais Samia ashtukia upigaji Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA)

    Kutoka ziara ya Rais Samia, Bandari Kuu Dar es Salaam. Ujenzi wa matenki ya kuhifadhia mafuta, kwanini TPA ilianza ujenzi wa matenki mapya wakati PUMA ina matenki yako tupu na hayatumiki kwanini yasitumike hayo kulikuwa na sababu gani ya kujenga mapya kama sio uchochoro wa kupiga fedha??? 2...
  8. Martine Joseph Siwa

    Clearing & forwarding agent available

    Natoa huduma ya clearlence kwa mizigo,pamoja na magari kutoka duniani kote,kwa haraka na kwa bei rafiki kabisa kwa maelezo Zaidi tupigie: +255710323599 au +255679132109
  9. Bemendazole

    PSSSF, TPA mmekubali tupigwe na Wakenya kwa knock out?

    Kama mnavyojua majirani wanapenda kuishi kwa janja janja nyingi. Kutokana na uwezo mdogo wa kujenga majengo marefu, they are cheating kwa kupandisha minara mireefu juu ya majengo yao ili kuyaingiza kwenye chati za uongo na kweli za majengo marefu. Hili sio jambo geni. Mtifuano kama huu...
  10. SankaraBoukaka

    Kwanini taasisi kama TRA, NSSF, TPA na zinginezo zisiwe na timu za mpira wa miguu?

    Ukiangalia kwa makini kwenye huu ukanda wetu wa Afrika Mashariki na KATI na hata Afrika kwa ujumla wake, soka linaendeshwa sana sana na Taasisi za Serikali, watu binafsi wenye hela na makampuni maana ndo waajiri ambao wana uhakika wa kulipa mishahara na kuhudumia timu kwa uhakika.. ZAMBIA na...
  11. Zanaco

    Rais Samia komesha unadishaji wa mizigo bandarini

    Mama samia raisi wetu mpendwa mama yetu msikivu naomba tondole hii kero ya muda mrefu sana wazuie TRA na TPA wasiuze mizigo ya Watanzania bandarini kwakisingizio cha kukosa pesa za kulipia kodi mizigo. umewatia watu wengi umasikini mtu anaagiza mzigo kutoka nje ya nchi mzigo unafika...
  12. S

    Hili la wizi wa mafuta TPA linaumiza vichwa

    Kwanza kabisa nimpongeze DC wa Kigamboni kwa swala zima la kuwabaini wezi wa mafuta kwenye mabomba ya mafuta ya mamlaka ya Bandari tanzania (TPA) kule Kigamboni cha kushangaza kabisa eti TPA nao wanadiriki kupongeza juhudi za mkuu wa Wilaya katika kuwabaini wezi wa mafuta. Hii ni aibu kubwa...
  13. J

    Waziri Waitara awatumbua wafanyakazi wawili wa TPA kwa kushindwa kutoa taarifa ya ubovu wa meli ya MV Mbeya II tangu 2020

    Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara amewasimamisha kazi Watumishi wawili wa mamlaka ya bandari kufuatia kitendo cha watendaji hao kuficha taarifa za ubovu wa meli mpya iliyopokelewa mwaka jana. Mwita amesema watumishi hao walikuwa wanaogopa nini kuieleza Serikali ubovu wa meli mpya hali...
  14. beth

    TPA yasitisha huduma za Meli ya MV Mbeya

    Huduma zimesimama ili kuruhusu zoezi la maboresho kufanyika. Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imesema Mei 03, 2021 Meli hiyo ya Abiria na Mizigo ilipata changamoto ya kupigwa mawimbi makubwa katika Bandari ya Matema kuelekea Bandari ya Mbamba Bay Hatua hiyo ya maboresho inazingatia umuhimu wa...
  15. Corticopontine

    Ni nani anayeingilia hii mifumo ya Taasisi nyeti za Nchi? TRA, TPA, TANESCO na ana malengo gani?

    Huyu anayeingilia hii mifumo kumhujumu mama Samia ni nani na anataka nini na ana nguvu kiasi gani? na lengo lake ni nini?
  16. Elitwege

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushitukiza bandarini

    Kufuatia huduma za bandari ya Dares salaam kuzorota kwa mwezi mzima sasa na wateja kuanza kulalamika kwa huduma mbovu wanayopewa ,waziri mkuu mh Kassim Majaliwa leo tarehe 12 mwezi may amefanya ziara ya kushitukiza ili kujonea tatizo ni nini. Ikumbukwe leo mbunge Costa Chami alitoa hoja...
  17. J

    TPA: Upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo zaidi ya bandari ya Mombasa, itapokea tani milioni 2 za mizigo

    Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya. Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu...
  18. J

    TPA madudu matupu, PSSSF imefilisika, NSSF haina fedha, TASAC ubadhirifu mtupu sasa hawa CHADEMA wanapigana na Ufisadi gani?

    Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe. Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza. Yaani kote...
  19. B

    Mkurugenzi Mpya TPA, Bw. Erick Benedict Hamis amewahi kufaulu katika lipi?

    Niombe mwenye CV ya Mkurugenzi Mpya wa TPA lakini pia tupate experience yake pamoja na Miradi au ofisi alizowahi kuhudumu na mafanikio au mabadiliko aliyosababisha katika ofisi hizo. Tumekuwa na wateule wa Rais ambao hawajawahi kufanikiwa popote walipowahi kufanya kazi, lakini pia utamaduni...
  20. B

    Sijaona sababu za TAKUKURU kumshikilia Mkurugenzi TPA

    Ipo haja yakubadili mfumo wetu wa utendaji kazi kama nchi ikiwemo vyombo vya dola. Mkurugenzi wa TPA alikuwa na riport au matokeo ya ukaguzi toka ilipofanyika exit meeting. Alielewa Kuna maeneo kuna mianya iliyopelekea mkaguzi kutengeneza hoja zilizokosa ushahidi wakuzifuta nakupelekea hoja hizo...
Back
Top Bottom