World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.
Wakuu hiyo situation mnaichukuliaje maana kuhusu pesa inaweza isiwe shida kwanini iwe tofauti kati ya bei anayoona abiria na dereva au wanajiongezea tu imenipa mkanganyiko sana mimi kwenye app ya bolt naona 11500 yeye kwake anasema imekuja 15500 hivi changamoto hiyo mnaichukuliaje hapa nipo...
hamis77 ni baadhi ya great thinkers wachache waliobaki JF
Endelea kushusha nondo ndugu
Kama vile hapo chini naona comments za "unajipongeza mwenyewe"😂😂😂
Maktaba Media imepata taarifa kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) Ndg. Wilson Malumbe huenda akaondolewa kwenye mchakato wa Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025 baada ya Ofisi ya Msajili wa Siasa kubainisha kasoro za kupatikana kwa Mgombea huyo.
Haya yanajiri wiki...
Habari Tanzania !
Naomba kuwauliza wataalamu wa mambo ya afya hasa mwili;
Je, ni kweli mmea aina ya Bangi unatibu kabisa mambo yafuatayo;
1. Kansa aina yoyote?
2. Punguza maumivu aidha makali au sugu?
3. Kuchechea hamu ya kula?
Karibu.
Kwanza uungwana ni vitendo.. Na kujishusha ni kuonesha ukomavu wa akili.. Lakini vilevile kutubu ni kuonesha majuto na kujirudi kulikojaa tafakuri
Lakini yote hayo huwa na maana ama hukosa maana kama yamefanyika kwa kushurutishwa ama kulazimishwa.. Kama mlengwa ni mtu mmoja ama ni jamii
Job...
Tofauti ya 2015 na 2025 ni vigumu kudanganya. Kila mtu anajua ujanja wote wa wizi wa kura, kila mtu anajua viongozi wa uchaguzi, kila mtu anajua ACT Wazalendo na Chaumma ni pandikizi.
Hii ndiyo tofauti ya 2015 na 2025. Huwezi kutumia uongo uleule ukafanikiwa kwa technologia hii. Mama anapata...
Duh, juzi ilikua kwamba hairuhusiwi kucheka sana kwenye uislamu, kumbe hata muziki ni haram, unapaswa mnuniane tu maisha yaende.
Hawa hapa masheikh, sio maneno yangu....
https://www.tiktok.com/@thestrangersstudio/video/7398064026569231633
https://www.facebook.com/reel/640280608424626...
Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili.
Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
Kipindi kile nilipenda sana somo la geographia, yaani baada ya kujua kusoma bwinde uko kijijini basi mwalimu yule aliefundisha somo la maarifa ya jamii hakika alinivutia sana. Yule mwamba alikua na story nyingi sana katika kusoma. Mara Dunia ina mabara saba, mara mto mrefu kuliko yote Dunian...
Wadau
Ninaomba tujadiliane hapa!
Mama SSH aliingia awamu moja na Magu na akatumikia kipindi cha kwanza kama makamu wa rais na kipindi cha pili (miezi minne) kama rais. Jumla ni vipindi viwili!
Tumejifunza hata kama Magu asingefariki kiutamaduni wa Chama huyu hakutakiwa kurudi kugombea!
Tulianza...
Niwe mkweli, public reception ya Mpina haijawa kubwa kivile kama ilivyotegemewa. Hii ni tofauti na public reception waliyopata Maalim Seif alipoanzisha KAMAHURU na baadaye CUF, Mrema kuhamia NCCR na Lowassa kuhamia CHADEMA. Hawa walipohama walihama na wanachama wa CCM na viongozi wao na jamii...
Wa Salaam ndugu.kuna hawa waarabu wanapita na magari mashuleni. Wameniuzia home Thearte ya watts 210 ila napenda kujua tofauti ya Sound Bar na Home Theatre.
Walinianzia 550,000 ila wakanipa kwa 500,000. Niliipenda ilivyo.
Baada ya Reforms Nina uhakika , Mwaka 2025 ni Mwaka sahihi wa Upinzani kuchukua nchi!
Sababu ziko wazi kabisa
1. Wananchi wameelimika zaidi
2. SERIKALI imeanza kuona ni lazima uchaguzi uwafanye wao kushinda jambo ambalo si sahihi
3. Wenye ushawishi kwenye Chama Tawala wanakufa wakaktu...
Mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi, ameibuka mshindi wa kishindo katika mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya ubunge wa jimbo hilo, akiwashinda wagombea wenzake kwa tofauti kubwa ya kura.
Huku wananchi wa Kihorogota na...
Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so tasteless.
Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k
Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have...
UNAWAZO LA KUANZA UJENZI KARIBU TUKUFANYIE UNIQUE DESIGN YA KWAKO PEKE YAKO
3BEDROOMS KALI SANA
CALL/WHATSAP +255624004650
TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
Natumai mmeamka salama Familia ya wanajf
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,naomba msaada wa kufahamu tofauti kati Certificate of registration for TIN na service levy(BRELA)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.