tiss

  1. D

    JamiiForums Tanzania Can TISS be catalysts who alter the government actions but do not take part in the actions themselves?

    I hope in tanzania TISS take part in the government decision though they are supposed to be catalysts only. Is the the reason why the opposition parties particularly chadema can't face free and fair election? If this is true why don't we reform our constitution to cover up this loop hole.
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

    Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi. Tukio la kutisha lilitokea jana usiku (26.10.2024) katika klabu maarufu inayojulikana kama 1245 Lounge, Bar and Restaurant iliyopo Masaki, ambapo Afisa Usalama wa Taifa anayefahamika kwa jina la Derick Junior Lima (maarufu...
  3. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania P. Diddy parties explained!

    Nimeona hii thread niianzishie huku kwa sababu, Diddy alikutwa na mafuta, tofauti na hapo hii mada ilitakiwa niiposti jukwaa la intelligence. Msikilize huyu mshua alivyozichambua shutuma za Diddy. Jamani ndugu zanguni, tujitahidi tupate utajiri mapema, zama zijazo maisha yatakua magumu sana...
  4. USSR

    JamiiForums Tanzania ChatGPT: Tobias Andengenye ndio DG wa TISS

    Hili dude limejaa uongo mtupu halina maana , baada ya kusema anayemiliki Tanzania ni Mohamed Dewj leo linatulisha Matango pori USSR
  5. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Ripoti ya Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao ikiwa tofauti na tulichoona tutaipinga

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema wanatarajia kupokea taarifa ya Uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Mshauri wa chama hicho, Ali M. Kibao aliyeripotiwa kuuawa na watu wasiojulikana na kueleza ikiwa tofauti na walichoona wataipinga Mbowe amesema hayo baada ya zoezi la uchunguzi...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania Musiba: Mawasiliano ndani ya Vyama vya Siasa, watu wanayaona! Mnyika asaidie Polisi kwenye Uchunguzi wa kuuawa kwa Mzee Kibao

    Mwanaharakati huru kama anavyojiita, Cyprian Musiba amesema kama mtanzania ameumia sana na matukio ya utekaji na kupotezwa kwa watu hususan tukio la hivi karibuni la kuuawa kwa Ali Mohammed Kibao. Hata hivyo, amesema kama mtanzania anapinga kutumia matukio kama haya kuanza kushambulia watu...
  7. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania Matunda ya CEO mpya TISS

    CEO mpya TISS hajapitisha hata week mbili tunaona haya tuliyaona. Safi sana anaijua kazi yake na anaonekana ana uchungu na Taifa hili. Rai yangu haya mambo yasiishie juu kwa juu wapigaji wote wa pesa za umma wawajibishwe. Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa...
  8. Membe S K

    JamiiForums Tanzania Zielewe kazi za Usalama wa Taifa (TISS) na mipaka yake

    ZIELEWE KAZI YA USALAMA WA TAIFA (TISS) NA MIPAKA YAKE Leo tuongelee TISS au USHUSHU au UNYOKA au IDARA au KITENGO. Kwasababu uelewa mdogo kwa idara hii na kazi zake miongoni mwa wananchi unafanya watu wengi wakose amani wanapokuwa na watu wanaowahisi ni mashushushu, na wakati mwingine...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mliomchukua Peter Msigwa mnajua mnakompeleka au katuma na TISS ya CDM?

    Huyu hapa msikilizeni!
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kwenu TISS, Napinga tukio alilofanya huyu askali wenu, wala siyo weledi na heshima

    Nimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani. Yawezekana yule binti ni dhehebu tofauti na hajui utaratibu wa ibada wa madhehebu mengine au hata kuuliza tu japo...
  11. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania DPP, IGP, DG TISS, DG- PCCB nyie ndiyo mnapaswa kuchukua hatua dhidi ya ufisadi

    Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara. Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
  12. tpaul

    JamiiForums Tanzania Polisi wameshindwa kumkamata huyu tapeli anayewapiga Walimu kila siku?

    Heri ya mwaka mpya watu wangu wa nguvu. Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi. Naomba niseme kuwa huu ndio uzi wangu wa kwanza kwa mwaka huu wa 2024. Sikuwa nimepanga kuweka uzi hapa JF mapema hivi ila imenibidi nifanye hivyo baada ya kupokea ujumbe huu wa onyo kwa njia ya WhatsApp...
  13. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Kwanini wengi wanapenda kujifanya TISS wakati kazi hii ni kada ya ulinzi kundi moja na mgambo?

    Peace upon ya'all, Ebwana ni ajabu sana mtaani ukipita mtu anaesemekana ni TISS hutukuzwa na hata watu wengine wengi hujifanya TISS ili kuonekana maalumu na kutafuta maujiko Hata hapa jf wengi hujifanya TISS ili kujipatia ujiko ajabu ni kwamba kama ilivyo nesi, daktari, mfamasia, dentist n.k...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Pensheni za Wastaafu za TISS hasa DGIS, DEO na DIO tokea wa Awamu ya Nyerere hadi ya Samia ni Kiasi gani?

    DGIS namaanisha Wakurugenzi Wakuu waliostaafu Kazi. DEO namaanisha Wakurugenzi wa Nje (Majasusi hasa) DIO namaanisha Wakurugenzi wa Ndani (Kachero hasa) Wajuzi karibuni ili mnielimishe hapa.
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere atoa ushauri kwa serikali na TISS zianze kufanya biashara ya taarifa za kijasusi

    Katika mahojiano yaliyofanyika kwenye Channel ya YouTube ya Simulizi Na Sauti (SNS) kati ya Sky Walker, DJ Smaa na Yericko Nyerere. Nguli wa uchambuzi wa mambo ya Siasa na uchumi wa kivita na ujasusi, Yericko Nyerere amesikika akiishauri Serikali ya Tanzania na Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)...
  16. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Nchi inaliwa na Macartel wachache, nani atawanusuru Watanzania Milioni 60?

    Picha hii inajieleza mara milioni 1, kuliko maneno yangu Pichani Mmoja wa mtoto wa James Rugemalira baada ya kupata mgao wa ESCROW Mwaka 2014 alienda marekani kula bata na mwanamuziki rihana ambaye table dresing anatumia dola laki 3 kwa mwezi ambazo sawa na takribani zaid ys milioni 500 kwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakurugenzi wa TISS na wa Vitengo vyao Wakiharibu au Wakimaliza Utumishi huteuliwa kuwa Mabalozi wa Vituo au wa Heshima tu?

    Kuna nini labda huwa Kimejificha juu ya Wao Kuteuliwa kuwa Mabalozi na Waheshimiwa Marais wanaokuwepo Madarakani? Ni matumaini yangu makubwa leo GENTAMYCINE nitapata Mrejesho kutoka kwa Wajuvi ( Team Kujua Masuala Mtambuka ) ili nami nielimike katika hili.
  19. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Je, Rais kavunja Sheria ya Usalama wa Taifa ya mwaka 2023 kwa kumteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama kuwa Balozi?

    Nawasalimu Kwa jina la JMT...🇹🇿 Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake). Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya...
  20. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    Naandika andiko hili nikiwa ndani ya Ofisi yangu ya mpya ya Centre for Strategic Intelligence and Clandestine Operation hapa ndani ya kijiji chetu hiki kdogo. Rais wangu Samia Suluhu, najua kazi ya Urais ni Ngumu Sana, ila TRUST me kwamba ni kazi rahisi sana. Tatizo wanoko ni wengi na...
Back
Top Bottom