tiss

  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Vipi tunaleta fujo na hii TISS? Kwanini unazifukua hizi post za TISS?

    Hii ni makosa. TISS inakuwa trivialized kwa kuitajataja bila sababu. Hawa ni state police,wanalinda viongozi,so,what's troubling you? Truly I am amazed. Ni kitu gani kinasababisha hii flurry ya posting za TISS?
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watu Wengine katika Jamii ni wa Kawaida tu, ila huhisiwa kuwa ni kutoka TISS au JWTZ?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu mkiwa ni Wataalam, Wabobezi na Mangwena. Asanteni.
  3. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Bado siamini kama taasisi ya ikulu kuna washauri

    Mfumo wa Tanzania ni ule wa zidumu fikra za mwenyekiti bado unatumika mpaka sasa,ndio maana MTU anateua then anatengua ,ni kama mwanafunzi ambae daftari lake utakuta uchafu wa kufutafuta . Kiongozi lazima ujue maeneo yako ya mkakati machache na uyaweke chini ya watu maalumu na wajulikane...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, TISS ya Diwani haikuwa na mawaa; ni moja kati ya waliopambana na timu ya jiwe iheshimu katiba. Kongole kwake!

    TISS ya Diwani Athumani ndio walau ilitulia, kutekana kukaisha, mambo ya hovyo hovyo yakapungua, hata Jiwe naye akapunguza machachari. Tofauti na Ile ya kipilimba na wenzake walioshughulika kwelikweli na akina Mdude na wengine. Ni TISS ya Diwani Athumani, pamoja na taasisi nyingine...
  5. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu Mpya wa TISS, Said H. Masoro, na Mtazamo wangu

    Pengine huu ni mwanzo mpya wa mageuzi ya Idara ya Usalama wa Taifa. Mabadiliko haya ya uongozi yana maana kubwa sana kwa Idara yetu, ni matumaini yangu kwamba mabadiliko yatakwenda mbali zaidi kuguza muundo wa idara, mfumo wa idara, sheria na kanuni za idara ili kuendana na ulimwengu mpya wa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Diwani Athuman kuondolewa TISS mwishoni mwa 2022. Mikutano ya Vyama vya Siasa kuruhusiwa

    Chanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake. Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna watakaoondoka na maji hivi karibuni. Pia chanzo hiki kimeniambia Katiba Mpya iko njiani. Samia anataka aache...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania 'Umbea mode of security system' namshauri Samia aitumie

    Nikiwa nimechili zangu, kidume Sina hili wala lile maeneo ya Kwa Sadara ghafla anatokea Mzee anae kadiliwa kuwa na miaka zaidi ya 82. Mzee ni wa makamo ila anaonekama kuwa very upstea kichwani mwake. Katika mazungumzo yetu Mzee anamsifia Rais wa awamu ya sita Kwa mengi mazuri anayoyafanya...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU hii Rushwa Kubwa na ya aibu katika Soka la Tanzania kwa sasa hamuioni au mnaifurahia ije Kutugharimu?

    Leo nasema (naandika) hapa wazi wazi kabisa kuwa Ligi Kuu ya Tanzania NBC Premier League imeshaharibiwa kwa Rushwa zilizovuka Viwango ambavyo GENTAMYCINE siogopi na sioni Aibu kusema kuwa zimechochewa na Utajiri wa hawa Matajiri Watatu Gharib na GSM yake, Yusuf na Azam yake na Mo na Mohammed...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia niazimishie 'Recorder' ya TISS ili nikurekodie Wateule wako ambao Kutwa wanakusema vibaya sana Vijiweni

    Halafu wakiwa nawe katika Hafla zako wanajifanya Kukupenda na Kukusifu. Na ni hawa hawa wakipelekewa tu Mic na Waandishi wa Habari wanajitutumua Kukupongeza huku wakisema kuwa Unaupifa mwingi. Tena kuna hawa Saba (7) kila nikibahatika Kuwasikia wakiwa Vijiweni Kwao (Mwao) pale Bahari Beach...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa TISS; Top 20 ya matajiri ndani ya nchi sharti itawaliwe na Wazawa; huko ndiko kujitawala

    UJUMBE KWA TISS; TOP 20 YA MATAJIRI NDANI YA NCHI SHARTI ITAWALIWE NA WAZAWA; HUKO NDIKO KUJITAWALA. Anaandika, Robert Heriel Utawala ni nguvu ya kiuchumi. Hata kwenye ngazi ya familia. Mwenye uchumi mkubwa ndiye mwenye utawala na ndiye mwenye maamuzi. Hilo wala halihitaji akili kubwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Usalama wa taifa(TISS), hawana mamlaka kisheria kukamata wanaopinga au kukosoa serikali

    Msikilize Lissu akitoa elimu ya uraia, kumbe usalama wa taifa (TISS) hawana mamlaka ya kamata-kamata wakosoaji au wanaopinga serikali. Lissu anadai sheria iliyoandikwa na bunge kuanzisha TISS imeelekeza hivyo, sijui kwanini vongozi wetu walituficha suala hilo muda wote huu.
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Polisi Trafiki ufanywe na kitengo maalum kati ya TISS , TAKUKURU na Polisi Makao Makuu badala ya RPC wa mikoani

    Sasa ni wakati wa kupindua meza trafic police wachaguliwe na kitengo maalum badala ya kuteuliwa na maRPC wa mikoa kwenda kuwakusanyia fedha barabarani. Iwapo MaRPC Watson dolerà jukumu hilo Jeshi la polisi litaluwa Jeshi la kisasa lisilo na rushwa barabarani. RPC akimteua trafic lazima...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Kitengo cha CMI JWTZ na wale TISS mliokuwa 'penetrated' JWTZ kwa Kazi nzuri ya CDF mpya Jenerali Mkunda

    Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania. Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya...
  14. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa COVID 19 na Hatma ya serikali ya awamu ya sita na kufeli KWA TISS 2020!

    Wakuu Baada ya uchaguzi mbovu wa 2020,kulijitokeza dosari kubwa Sana ya uundaji wa serikali KWA mihimili mitatu hasa wa Bunge ambao ulikosa UHALALI wa kisheria KWA kukosa wapinzani wakutosha Bungeni. KWA kutambua hilo UHUNI ulifanyika KWA mara ya pili KWA KUINGIZA wabunge ambao hawana baraka za...
  15. Maleven

    JamiiForums Tanzania Je TISS haina weledi wa upataji wa taarifa au sio majukumu yake?

    Idara ya usalama wa taifa, yani najiuliza maswali yafuatayo:- 1. Kundi la watu zaidi ya 15 wanakusanyika wakiwa na siraha maeneo ya mjini, hakuna taarifa yoyote kwa vyombo vya usalama? 2. Mtu wa kwanza hadi wa 19 wanajeruhiwa, hakuna alert yoyote bado kwa vyombo vya usalama? Kwa hali hii je...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wale Askari waliomfanyia fujo barabarani Raia, wavuna walichopanda

    Kumekucha. Yasemekana wale wababe wasiojua mipaka ya kazi yao, tayari yamewakuta: Habari hii kwa sasa inazunguka kama moto wa nyika. Hii ni kumhusu yule dogo aliyewekwa mtu kati, hadi kumkumbuka mjomba wake katika familia wala si serikali. Kama hii itakuwa si wao wenyewe katika kutaka...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

    DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP) Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa...
  18. The Thugs001

    JamiiForums Tanzania Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

    Yunus Nassoro Alli, 32yrs, Mshirazi wa Kilimahewa ambaye anatuhumiwa kujifanya mtumishi wa serikali "TISS". Anadaiwa kukamatwa na kupatikana na vitu vifuatavyo; 1) Plate number nyekundu 112 2) Plate number za njano 27 3) Plate number nyekundu 12 4) Plate number za nje ya nchi 2 5) Plate...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yatuma maafisa wake Poland na Hungary kunusuru Watanzania waliokwama Ukraine

    Waziri Mulamula amesema Serikali imepeleka maofisa wake katika nchi za Hungury na Poland ili kuratibu safari za wanafunzi waliokwisha vuka mpaka kutokea Ukraine. Kadhalika kuna wanafunzi ambao wameamua kwenda kuishi kwa ndugu na jamaa zao huko Denmark, Slovakia na Sweden. Wanafunzi 11 wako...
  20. Meerkat

    JamiiForums Tanzania Anuani ya Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), Nahitaji nitume barua

    Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS, Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao? Naombeni msaada tafadhali.
Back
Top Bottom