tiss

  1. Meerkat

    JamiiForums Tanzania Anuani ya Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), Nahitaji nitume barua

    Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS, Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao? Naombeni msaada tafadhali.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite ) Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji sasa kuwa Jeshi kamili na litawajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu

    Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu Waziri wa Mambo ya Ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa Idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata kazi TISS

    Habari wanajukwaa, Taasisi za Usalama wa taifa ni moja ya taasisi nyeti kwenye taifa lolote duniani ambapo tukiwa nje huwa tunasikia au kuambiwa kwamba wanaofanya kazi humo ni watu wenye mafunzo maalum na huwa hawajionyeshi au kujitangaza kwa watu kuhusu wanachofanya. watu wengi wamekuwa...
  5. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Je, CCM na TISS wanakuzwa nguvu zao kuliko uhalisia (Overrated)?

    Kumekuwepo na propaganda ya miaka mingi kuwa CCM inajua kuandaa na kulea viongozi sio tu ndani ya nchi mpaka nchi jirani (Enzi za Mwalimu) nakumbuka hta Mhe.Polepole alisema wana master plan ya kuongoza nchi mpaka 2075!! Kinachonishangaza toka Mama SSH aingie madarakani ni kama vile CCM...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Utajisikiaje kwenye msiba wako TISS wakisema kuwa ulikuwa mtumishi wao na wanauheshimu mchango wako? Kumbe umesotea ajira zao na hukupata.

    Umepambana chini juu kutafuta shavu TISS ukakosa, ukapambana ukapata sehemu nyingine ya kupata tonge nyama maisha yakaendelea. Sasa siku umekufa TISS wamekuja kukuzika na kuutambua mchango wako. Mkuu wa msafara wao anatoa shukrani zake kwa familia na kwa marehemu kuwa ulikuwa mtumishi wao mwenye...
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Je, TFF Kuna TISS?

    Ligi ya Tanzania imeshakuwa kubwa Sasa inapesa na Ina watu wa kutoka mataifa mbalimbali swali langu ni je Serikali yetu Ina moles wake mule TFF? Je, maslahi ya nchi ndani ya ligi tajiri Afrika Mashariki na Kati nani anayalinda?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Elifas Bisanda amemaliza kila Kitu kuhusu PT, JWTZ japo sijajua kwanini hajawataja na TISS ambako pia kuna Mapungufu kwa sasa

    "Sasa ifike muda tuambiane Ukweli nashauri kuanzia sasa Watu wanaoajiriwa katika haya Majeshi yetu ya Polisi na Jeshi la Wananchi wawe ni wale tu waliofaulu kwa Division One Shuleni au First Class Degree Vyuo Vikuu na tuachane Kuajiri Failures katika hizi Taasisi kwani hawataweza Kusaidia...
  9. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nimesaidia Serikali kupata 20M baada ya kuwachoma wakwepa kodi

    Habari wadau..! Kumbe kuwa usalama wa Taifa sio mpaka uajiriwe na wale watu. Mwaka huu nimejikuta tu nafanya kazi za wale jamaa pasipo kujua na kuisaidia serikali kupata 20M ambayo ilikuwa inapotea kama kodi baada ya kuwachoma wakuda fulani kwa serikali na kutiwa hatiani. Ila hawa waduanzi...
  10. Nawatania

    JamiiForums Tanzania Rais atoe taarifa za kweli juu ya tozo na fedha za IMF

    Rais Samia awe makini kukwepa kusema uongo mbele ya umma Rais Magufuli alipenda propaganda ndio maana watu werevu walimchoka mapema kwa propaganda Alichukua pesa za michango ya rambirambi Bukoba na kwenda kufanyia mambo mengine kabisa. Mara tunajenga kwa pesa zetu Sasa na Samia ameanza...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, usije ukalaumu kuwa hukujua

    Rais Samia, anatakiwa kutambua kuwa nje ya Serikali (TISS), kuna supper intelligence ambayo TISS haipo. Huku nje ya Serikali, kuna wataalam wa uchumi ambao kwenye Wizara ya mipango na uchumi, hawapo. Huko nje ya Jeshi la Polisi, kuna watu wanajua nadharia ya usalama ambayo ndani ya Jeshi la...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi: Rais Samia hawezi kubadili mfumo akiwa na watu walewale

    Sitaki kuongeza chumvi, jionee mwenyewe
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kazi za usalama (TISS) mpaka utoe hela?

    Jamani mwenye clue na hili tusije kupigwa maana ni mpunga mrefu tunaambiwa tutoe kazi ipatikane. Je, kuna ukweli?
  14. Sonship

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa Tanzania "TISS" Tangu uhuru

    Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio inayoipa mamlaka Idara hiyo kufanya kazi zake ndani na nje...
  15. Ng'wamapalala

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator. Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa...
  16. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wakurugenzi Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tangu Uhuru

    ORODHA YA WAKURUGENZI WAKUU WA 'TISS' TANGU UHURU. Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio...
  17. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Hivi TISS wanatumia vigezo gani kuajiri?

    Habari wadau..! Siku za nyuma nilikuwa kama naona nafasi za kujiunga usalama wa Taifa zikitangazwa sijuhi ni kweli au zilikuwa feki? Je hawa TISS ni vigezo gani vinavyotumika mpaka mtu akaajiriwa ,maana baada ya kutafuta ajira za binafsi nikaona zinazingua ss nataka nijiunge na TISS nikamalizie...
  18. Environmental Security

    JamiiForums Tanzania Mchango wangu kwa idara ya usalama wa Taifa juu ya usalama kutoka katika mrengo wa kimazingira

    Habarini wanajamii intel... Leo nimeona ni vema namimi kutoa contribution yangu kwa idara yetu nyeti ya usalama wa Taifa juu ya usalama kutoka katika mrengo wa kimazingira - Environmental Security Kabla sijaendelea naomba kudeclare; *Mimi ni kijana MTANZANIA mzalendo kwa taifa langu. *Mimi ni...
  19. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania DPP, TAKUKURU na Polisi: Wasikilizeni CHADEMA. Kuna jinai kubwa imetendeka

    Kuna jinai kubwa imetendeka. Kuna uvunjaji mkubwa wa Katiba na Sheria za nchi umetokea. Mhusika lazima abainishwe na achukuliwe hatua kali za kisheria. Mambo yako hivi: CHADEMA wamesema na wanaendelea kusema kuwa hawakuwasilisha Orodha ya Wabunge wa Viti Maalum NEC. Hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
Back
Top Bottom