Kwanini wengi wanapenda kujifanya TISS wakati kazi hii ni kada ya ulinzi kundi moja na mgambo?

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Oct 27, 2019
1,876
5,443
Peace upon ya'all,

Ebwana ni ajabu sana mtaani ukipita mtu anaesemekana ni TISS hutukuzwa na hata watu wengine wengi hujifanya TISS ili kuonekana maalumu na kutafuta maujiko

Hata hapa jf wengi hujifanya TISS ili kujipatia ujiko ajabu ni kwamba kama ilivyo nesi, daktari, mfamasia, dentist n.k wako katika kada ya afya (health sector) au walimu, wakufunzi wako kada ya elimu (education sector) au kama marubani, airhostess, astronuts n.k wako kada ya aviation ndivyo pia askari magereza, polisi, askari jeshi, mgambo na TISS wote ni kada ya ulinzi.

Kimsingi TISS ni kada ya ulinzi kundi moja, taaluma moja na mgambo wametofautiana juristiction chache ila wana mengi ya pamoja kuliko utofauti. Hata kimaslahi TISS ni wakawaida sana na wamepitwa na kada nyingi tu na hamna maajabu yoyote kwa hawa walinzi.

Kama reporting TISS officer analipwa 1,850,000 (1.8M) mbona ni kamshahara kadogo kuliko hata lecturer wa chuo cha umma achilia mbali daktari mwandamizi au hata tu mkandarasi wa electrical installation wa mradai wa pale Stigler anaelipwa zaidi ya 3M.

Ni ushamba tu wa Watanzania kuona ati walinzi hawa ni watu wa hadhi kubwaaaa, na ujinga huo ndio unawafanya watu kama Sabaya mwaka 2018 - 19 kujifanya TISS huku akisafiri bure, na kupata huduma katika mahotel makubwa bure akiwaonyesha kitambulisho tu.

Kitu ambacho hata angekua kweli ni TISS hakuna upendeleo wa kupata huduma bure hata sio kuproses invoice hapana kiprotokali afisa usalama anatakiwa kulipia huduma zote hata anapokua katika kutekeleza majukumu yake nje ya eneo lake labda vingvyo iwe argency ya serikali kama mabwalo ya jeshi na maduka ya idara au taasis za serikali.
 
Peace upon ya'all,

Ebwana ni ajabu sana mtaani ukipita mtu anaesemekana ni TISS hutukuzwa na hata watu wengine wengi hujifanya TISS ili kuonekana maalumu na kutafuta maujiko

hata hapa jf wengi hujifanya TISS ili kujipatia ujiko ajabu ni kwamba kama ilivyo nesi, daktari, mfamasia, dentist n.k wako katika kada ya afya (health sector) au walimu, wakufunzi wako kada ya elimu (education sector) au kama marubani, airhostess, astronuts n.k wako kada ya aviation ndivyo pia askari magereza, polisi, askari jeshi, mgambo na TISS wote ni kada ya ulinzi.

Kimsingi TISS ni kada ya ulinzi kundi moja, taaluma moja na mgambo wametofautiana juristiction chache ila wana mengi ya pamoja kuliko utofauti. Hata kimaslahi TISS ni wakawaida sana na wamepitwa na kada nyingi tu na hamna maajabu yoyote kwa hawa walinzi.

Ni ushamba tu wa Watanzania kuona ati walinzi hawa ni watu wa hadhi kubwaaaa, na ujinga huo ndio unawafanya watu kama Sabaya mwaka 2018 - 19 kujifanya TISS huku akisafiri bure, na kupata huduma katika mahotel makubwa bure akiwaonyesha kitambulisho tu.

Kitu ambacho hata angekua kweli ni TISS hana upendeleo wa kupata huduma bure.
Sabaya ni TISS kweli Wala siyo kujifanya.

Tatizo kubwa mmejengwa vichwani kwenu TISS ni watu genius na akili kubwa sana na hivyo mtu Kama Sabaya hawezi kuwa na kiuhalisia ndio usalama wenu hao.

Kwa lugha rahisi Sabaya na yule aliyemtolea Nape bastola ni usalama na ni vichwa panzi tu.
 
Sabaya ni TISS kweli Wala siyo kujifanya.

Tatizo kubwa mmejengwa vichwani kwenu TISS ni watu genius na akili kubwa sana na hivyo mtu Kama Sabaya hawezi kuwa na kiuhalisia ndio usalama wenu hao.

Kwa lugha rahisi Sabaya nanyule aliyemtolea Nape bastola ni usalama ni vichwa panzi tu.
Ila hao wazee ambao ndio wanastaafu sasa wengi wao wapo vizuri sana kichwani.
 
Sabaya ni TISS kweli Wala siyo kujifanya.

Tatizo kubwa mmejengwa vichwani kwenu TISS ni watu genius na akili kubwa sana na hivyo mtu Kama Sabaya hawezi kuwa na kiuhalisia ndio usalama wenu hao.

Kwa lugha rahisi Sabaya nanyule aliyemtolea Nape bastola ni usalama ni vichwa panzi tu.
Haujanielewa mkuu, rudi kasome uzi. Mimi sijasema TISS ni magenius infact nimesema kinyume yani ni wakawaida wamejawa tu majigambo na wananzania washamba huwatukuza, kasome tena
 
Sabaya ni TISS kweli Wala siyo kujifanya.

Tatizo kubwa mmejengwa vichwani kwenu TISS ni watu genius na akili kubwa sana na hivyo mtu Kama Sabaya hawezi kuwa na kiuhalisia ndio usalama wenu hao.

Kwa lugha rahisi Sabaya nanyule aliyemtolea Nape bastola ni usalama ni vichwa panzi tu.
Kuna tofauti gani kati ya usalama wa taifa na askari kanzu?
 
kinacho wafanya watu wa TISS wajimwambafai ni ule ukaribu wa sekta yao na RAIS ambae ndie sponsor...hicho tu ndio hufanya watu wawape special care watu wa TISS....

ila amini nakwambia TISS wana njaa kama waajiliwa wengine...

inawezekana JWTZ wakaWa na maisha mazuri kuliko TISS...​
 
Usithubutu kudhani hivyo wala isitokee hata mara moja ukawaza hivyo ndugu yangu

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom