tiss

  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hili haliwezi kupita bure: Imekuwaje TISS na JWTZ mmekubali Air Tanzania ife na ianzishwe Zanzibar Airways?

    Wakati Air Tanzania ikifanya vibaya sana kutokana na ndege kununuliwa kwa bei mbaya huku zikifa kutokana na kutofanyiwa service za maana na kwa wakati tena kwa makusudi kuna taarifa kuwa linaanzishwa Shirika la Ndege la Zanzibar. Nawauliza nyie TISS na JWTZ hamuoni kutofanya vizuri kwa Air...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mapungufu yao yote, ninachowapendea TISS wanajua kila kitu kinachofanywa ndani ya Tanzania

    Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi. Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi. Ukiamuru watu watekwe na wauwawe...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi wamsaka aliyesambaza taarifa za upotoshaji katika ukurasa wa Polisi X (Twitter)

    Hiki ni kituko! Ukisikia mbwa kala mbwa ndio hii sasa🤣🤣 mambo yamekuwa moto taratibu tutaelewana. Sasa wanamsaka nani wakati page yao ndio imesambaza taarifa hizo za upotoshaji?:KEKLaugh::KEKLaugh::BearLaugh: Nataarifa hii imetoka hapo hapo, sa tunajuaje kama na hii sio ya kwao? Ila majirani...
  4. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania TISS ya Burkina Faso Bora Africa

    Idara ya usalama ya Burkina Faso ANR ndio Bora kuliko idara za usalama Africa. Idara Hiyo chini ya bwana mdogo the son of Africa Ibrahim Traure imeweza kuzuia mapinduzi dhidi ya Traoure Kwa ustadi na mbinu ya aina Yake Kwa kufichua mbinu ovu za CIA, Mi6 pamoja na ufaransa na kuzuia kumwangamiza...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kuanza kupewa Escort na Ulinzi wa TISS kwaanza kumpa kiburi Emmanuel Nchimbi

    Kuna jambo Watanzania wengi sana hawalifahamu. Jambo hilo ni matumizi mabaya ya vyombo vya Ulinzi na Usalama linalofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI ambalo kwa namna moja au nyingine linawapa kiburi CCM cha kuwanyanyasa wananchi ili wasipate mabadiliko ya kweli kwa maendeleo yao. Tangu ateuliwe...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS

    Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS, ni wababaishajitu na watafuta sifa. Mtumishi mwaminifu wa imani ya TISS hajulikani na wala hutakuja hata kumhisi abadani.
  7. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Hivi TISS mmeshindwa ku connect dots? M Pox inatoka kwenye migomba mirefu.

    Watanzania ni wamoja. Haijalishi tofauti ya mitazamo ya kisiasa au ya kidini. Linapokuja swala la usalama wa nchi lazima mshikamano na Umoja wetu uwe imara. Siku kadhaa nyuma kuna mkuu mmoja wa nchi iliyopo ubavuni mwetu, ubavu wa kushoto, tena akitumia Lugha ya Kiswahili ili ujumbe utupate...
  8. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa Mkurugenzi Mkuu wa TISS Kuhusu Kero Sugu ya Uhalifu wa Kiuchaguzi Unaofanywa na Wanasiasa Matapeli Wakati wa Chaguzi tangu 2010 hadi 2024

    I. USULI Usanifu wa hoja makini, kulingana na maandiko ya Crusius na Channell (2015:13-15) hufanyika kwa ajili ya kufanikisha angalau lengo mojawapo kati ya malengo manne yafuatayo: Kutafuta jawabu la swali linaloleta mahangaiko kwenye akili za watu (inquiry), Kufanya ushawishi ili watu...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Idara ya Usalama (TISS) na Jeshi la Wananchi (TPDF) vinatukuzwa sana

    Sijui niseme Watanzania wajinga au washamba. Watanzania wengi wanatamani aidha wangekuwa watumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa au JWTZ. Ukiwadadisi sababu haswa hawana hata maelezo ya kutosha. Vijana wa UVCCM hupenda kuwatisha watu kuwa wao ni watumishi wa TISS huku hata kula kwao ni kwa...
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Waziri, IGP, na Bosi wa TISS

    Wapendwa wanangu, Kuna mwanangu kanitumia hii kitu ili tushee. Nawasilisha kama kilivyo bila kuficha. Barua ya Wazi kwa Waziri, IGP, na Bosi wa TISS Na Nkwazi Mhango aka Fyatu Mfyatuzi Wapendwa, Kwanza, nimshukuru mhe. Rahis kwa kuwapa muda mjitafakari na kufanya maamuzi kabla hajawafyatua...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tanzania sio Jamhuri, tuko chini ya Utawala wa Kijeshi. Ukiondoa Polisi na Wakurugenzi CCM hakuna!

    Wakuu, Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni. Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani "CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'

    Wakuu, Baada ya kuwepo kwa video zinazosambaa mtandaoni kuhusu mwanaume mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Usalama wa Taifa mwenye jina la Derick Junior kumpiga raia kwa kitako cha bunduki wakati akiwa kwenye 1234 club huko Masaki, Jeshi la Polisi hatimaye limetoa tamko. Kwenye tamko lao...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Can TISS be catalysts who alter the government actions but do not take part in the actions themselves?

    I hope in tanzania TISS take part in the government decision though they are supposed to be catalysts only. Is the the reason why the opposition parties particularly chadema can't face free and fair election? If this is true why don't we reform our constitution to cover up this loop hole.
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

    Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi. Tukio la kutisha lilitokea jana usiku (26.10.2024) katika klabu maarufu inayojulikana kama 1245 Lounge, Bar and Restaurant iliyopo Masaki, ambapo Afisa Usalama wa Taifa anayefahamika kwa jina la Derick Junior Lima (maarufu...
  15. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania P. Diddy parties explained!

    Nimeona hii thread niianzishie huku kwa sababu, Diddy alikutwa na mafuta, tofauti na hapo hii mada ilitakiwa niiposti jukwaa la intelligence. Msikilize huyu mshua alivyozichambua shutuma za Diddy. Jamani ndugu zanguni, tujitahidi tupate utajiri mapema, zama zijazo maisha yatakua magumu sana...
  16. USSR

    JamiiForums Tanzania ChatGPT: Tobias Andengenye ndio DG wa TISS

    Hili dude limejaa uongo mtupu halina maana , baada ya kusema anayemiliki Tanzania ni Mohamed Dewj leo linatulisha Matango pori USSR
  17. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Ripoti ya Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao ikiwa tofauti na tulichoona tutaipinga

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema wanatarajia kupokea taarifa ya Uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Mshauri wa chama hicho, Ali M. Kibao aliyeripotiwa kuuawa na watu wasiojulikana na kueleza ikiwa tofauti na walichoona wataipinga Mbowe amesema hayo baada ya zoezi la uchunguzi...
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania Musiba: Mawasiliano ndani ya Vyama vya Siasa, watu wanayaona! Mnyika asaidie Polisi kwenye Uchunguzi wa kuuawa kwa Mzee Kibao

    Mwanaharakati huru kama anavyojiita, Cyprian Musiba amesema kama mtanzania ameumia sana na matukio ya utekaji na kupotezwa kwa watu hususan tukio la hivi karibuni la kuuawa kwa Ali Mohammed Kibao. Hata hivyo, amesema kama mtanzania anapinga kutumia matukio kama haya kuanza kushambulia watu...
  19. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania Matunda ya CEO mpya TISS

    CEO mpya TISS hajapitisha hata week mbili tunaona haya tuliyaona. Safi sana anaijua kazi yake na anaonekana ana uchungu na Taifa hili. Rai yangu haya mambo yasiishie juu kwa juu wapigaji wote wa pesa za umma wawajibishwe. Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa...
  20. Membe S K

    JamiiForums Tanzania Zielewe kazi za Usalama wa Taifa (TISS) na mipaka yake

    ZIELEWE KAZI YA USALAMA WA TAIFA (TISS) NA MIPAKA YAKE Leo tuongelee TISS au USHUSHU au UNYOKA au IDARA au KITENGO. Kwasababu uelewa mdogo kwa idara hii na kazi zake miongoni mwa wananchi unafanya watu wengi wakose amani wanapokuwa na watu wanaowahisi ni mashushushu, na wakati mwingine...
Back
Top Bottom