tiss

  1. loose Nut

    JamiiForums Tanzania TISS ya Venezuela imemuangusha Maduro

    Yani Usalama wa taifa wa Venezuela bure kabisa siyo wazalendo. Wamehusika asilimia kubwa Maduro kukamatwa. Yani badala ya kumlinda mkuu wa nchi wameacha maadui waende hadi chumbani kwake tena wakiwasindikiza. Bure kabisa.
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tujadili pamoja: Kuna haja na faida tena ya kuwa na TISS nchini?

    Nchi inapaswa kuwa salama kwenye maeneo 3; 1. Kiuchumi 2. Kijamii 3. Kisiasa Kisiasa Katiba ya Nchi yetu inatambua nchi yetu kuwa ya Kidemokrasia. Hii maana yake ni kwamba ili nchi iwe salama ni lazima mifumo ihakikishe siasa za nchi hii ni za kidemokrasia kweli. Vyama vya kisiasa vinashindana...
  3. Heparin

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ugaidi wa Lwakatare na uhusika wa Dkt. Mwigulu Nchemba, TISS, Michuzi na Ludovick anayepambana na TEC

    Internet haisahau. Miaka 12 iliyopita katika kesi ya Lwakatare, aliyekuwa mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliwatuhumu mpiga picha wa Rais Kikwete wa wakati huo, Issa Michuzi, Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Waziri Mkuu wa sasa, Mwigulu Nchemba na bwana Joseph...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania TISS ilitakiwa kuwa usajili wa wazi ili kuondoa haya mambo yenu maana weledi hakuna

    Yale mambo sijui nyerere aliweza kufanya kwa kificho kuweka usalama wa taifa anaotaka kwa sasa yamepitwa na wakati ndio matekeo ya leo yani hata magaidi yalivyoingia mkuranga wao walikuwa wapo wapo tu. Kinacho waogopesha ni nini hii idara ikawa wazi kila mwenye taalamu anaweza kujiunga na nyie...
  5. Huihui2

    JamiiForums Tanzania CDF, IGP na DG TISS wanastahili nishani ya Mlima Kilimanjaro

    Wakuu wa Vyombo vya dola IGP, CDF na DG TISS wanastahili kupata nishani ya juu kabisa ya Mlima Kilimanjaro kwa kuwa walifanikiwa kudhibiti mapinduzi ambayo yalianzishwa na magenge ya wahuni tarehe 29/ 10. Bila kazi yao pevu na tukufu, pengine leo tungekuwa tuna mgogoro kama wa Sudan
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Polisi, TISS na JWTZ vipi kwenye nyumba zenu na za ndugu zenu hapa Dar kuna Maji?

    Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili. Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli. Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika...
  7. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Kwanini TISS wapo msibani kwa Marehemu Mhagama, na kwa kujificha?

    Kama familia inataka autopsy ni haki yao, kama vipi serikali hii haramu isigharamie mazishi ijitoe! Alafu hawa TISS wa Mombo na Abdul ni wajinga sana - yaani mnapeleka watu wenu hadi vikao vya familia na wanawashtukieni haraka 🙄 mambo ya kizamani haya!. Mi niliwaambia hiki kifo cha Jenista siyo...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kuanzia tarehe 6 mpaka tarehe 8 hutaweza kufanya miamala ya TISS, au kwa lugha nyepesi, bank kwenda bank nyingine, Mtandao kwenda mtandao mwingine

    Hii ni taarifa ya bank moja nimepata, hii inaenda kuathiri miamala karibia yote. Chukua hatua mapema
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Safari za Kielimu za viongozi wa Polisi na TISS zaelezea matokeo yao ya utendaji

    LENGO hapa ni wote tuone Kwa namna gani Safari za Elimu zinaathiri utendaji kazi wa vyombo hivi, na hii itatupa Mwanga kwenye Katiba Mpya, Watu wa aina gani waongoze Vyombo vyetu vya Usalama. Mimi dakika ninaamini, Ujinga wa MTU yaan Uwezo wake Mdogo wa Akili huenda sambamba na Roho Mbaya na...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Iliwalazimu Genge la UTEKAJI kumtumia Mzee Butiku kumteka Polepole, bila hivyo wangemshindwa kama walivyomshindwa Bishop Gwajima-Jasusi!

    Mnaweza mkadhani mna TISS Taasisi ya kujivunia Sasa Idara kama TISS ambayo ni Jicho la Nchi, imejaa Machawa, Wenyewe, Utendaji kazi wao UNATEGEMEA NGUVU TU . Yaan ni mpaka wamkamate MTU A, wampe Kichapo mpaka awaambie MTU B Yuko wapi. Mnaóna ya OKTOBA 29, Tuliwakamata BILA wao kutarajia...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Maandamano yapo palepale ni makubwa mno kushinda Okt 29.

    Toeni vitisho sanaaa Toeni matangazo Tumieni Propagandaaa Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa. Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi Kagueni vitambulisho Tangazeni hali ya Hatari Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wafadhili watubane tu mpaka ifike mahala kununua kilo ya unga iwe ni mtihani halafu tuone hawa polisi, TISS na Jeshi kama wataendelea kulinda watawala

    Mimi naomba tu nchi wafadhali na mashirika ya fedha duniani, waungane wasitishe mikopo na misaada kwa asilimia 100 kama ambavyo umoja wa ulaya teyari umeonyesha mfano. Uchumi uvurugike, tushindwe kununua hata kilo ya unga na hata mishahara iiwe shida kulipa, halafu tuone kama hivi vyombo vya...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa hiyo vyombo vya ulinzi na usalama vilikubali kutumika CCM ibaki madarakani licha kuhatarisha raia na uchumi wa nchi?

    Moja ya vitu vitakavyobadilishwa kwa wivu mkubwa sana baada ya Taifa hili kupata ukombozi wa kweli ni kuweka kiapo cha Utumishi wa Umma pamoja na vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa ni kuilinda Katiba, kuwalinda Wananchi na Kulinda misingi ya Haki, Uhuru na Umoja wa Kitaifa. Jambo la pili...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania UVCCM na TISS mmepanga Maandamano yenu Dec 9 eeh, tunawakaribisha sana, Sisi kwetu Mbwai na Iwe Mbwai !! no way !!.

    Tunawakaribisha sanaaa kwenye MAANDAMANO ya Tuliouliwa Ndugu zetu, karibuni sana kwenye MAANDAMANO ya sisi tunaowatafuta Maiti zetu, Karibuni sana kwenye MAANDAMANO ya Sisi ambao Maiti zetu zimechomwa na kuyeyushwaaaa hata zisionekane. Karibuni Sanaa sanaaaaa . Na sisi Maandalizi yetu...
  15. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola na taasisi nyingi zianitaji Kukombolewa na Wananchi ikiwepo mihimili Bunge na Mahakama Wananchi tuvikomboe virudi kua Mali ya Umma

    Wananchi kwa pamoja tunatakiwa kuungana kwa pamoja bila kujali itikadi za vyama wala dini zetu kama kweli tumeumizwa na vifo vya wapendwa wetu basi vyombo vya dola baadhi ya Taasisi mihimili vinaitaji kukombolewa...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hitimisho langu: Hakuna Taasisi iliyooza Tanzania kama TISS. Ni au ivunje na kuundwa upya au isiwepo kabisa

    Kwa yanayoendelea Mkuu wa hii Taasisi kuhusishwa na tuhuma nzito za rushwa na ufisadi, pamoja na wafanyakazi wengine kadhaa. Kwa yanayoendelea hadi siri za nchi zinafika kwa majirani zetu kuhusu maofisa wa hii Taasisi wanavyotumiwa na Wanasiasa kufanya mambo ya hovyo ikiwemo kununua programs...
  17. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Kama Polepole alikuwa nchini miezi yote hiyo tangu alipojiuzulu, Intelijensia za Polisi na TISS zinanipa mashaka

    Intelijensia ya vyombo vya ulinzi na usalama vinanipa mashaka. Polepole yupo zake Ununio siku zote wao hata hawakujua!! NB: Tafadhali mfikisheni mahakamani, msimuhukumu nyie
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania TISS imefikia huku. Wanapiga picha wakiwa kwenye msafara na kujipost. Kweli Nchi imejifia hii

    Huko Instagram nimekutana na hiki kituko. TISS ya sasa wamefikia kujipiga picha wakisafirisha consignments na kujipost. Kweli Nchi imeshajifia hii
  19. Griss

    JamiiForums Tanzania Je Nani atafuata kuwa mkurugenzi wa TISS?

    Wamepita wakurugenzi wengi ndani ya idara Lakini tukumbuke mwaka huu ni wa uchaguzi na Mambo yanaweza kubadilika kabla au baada ya uchaguzi je Nani kuwa kuwa mkurugenzi mpya wa TISS baada ya Mombo?
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Baraza la mitihani (NECTA) mnaangamiza Taifa, inafaa wapewe kesi ya uhaini

    Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6...
Back
Top Bottom