tigo

  1. Chizi Maarifa

    Tigo acheni wizi kwenye huduma ya PostPaid

    Watu tunaamua basi angalau tujiunge bundle ya mwezi mzima kwa Huduma ya Post Paid. Ninyi mnaiba data. Sielewi yaani ku browse JF tu na Whatsapp ambako sijadownload kitu kwa siku inakatika 2+GB? C'mon guys watanzania si wajinga kihivyo. Tuheshimiane please mimi siyo layman wa matumizi ya simu...
  2. Rasputin

    Tigo Fixed Telephony

    Habarini wakuu, Nimejaribu kufanya utafiti kidogo wa kujua gharama za Fixed Telephony (E1) ya tigo lakini nimeambulia patupu. ningependa kujua kama kuna mtu anayeweza kua anajua akanisaidi insights za hapa na pale. Shukrani.
  3. robinson crusoe

    Tigo wameniibia pesa: Naomba uzoefu wenu kupambana na wizi huu

    Leo ni siku kadhaa nikipambana na wizi wa pesa niliyokuwa nayo ndani ya tigopesa. Huduma kwa wateja wameleta hadithi tofauti za aina tatu zote nimekataa. Walianza na kusema zimerudi benki, benki imesema haina ujinga huo. Wakasema zitarudi baada ya masaa 24 bado hazikurudi. Mwisho wanasema...
  4. Trainee

    Tigo wameondoa makato ya shilingi 100 kimya kimya kwenye huduma ya NMB Mobile

    Kilichoniondoaga voda ni hii ishu ya sh.100 sasa nilivyokuja tigo nao haikuchukua muda wakaanzisha huo ujinga tena bila kuarifiwa wala kushirikishwa. Mshahara jana ukaingia kwa wengine na ukachelewa kwa baadhi yetu basi watu kutokana na kupigika wakawa wanachungulia moja kwa moja accounts zao...
  5. S

    Tigo, ofa yenu ya MB za Boomplay inakera

    Hii ofa kiukweli haina maana kwa baadhi yetu, maana unaangalia salio linakuja sms refu la ma MB ya kusikiliza nyimbo Boomplay. Yaani hapo unakuta una MB 200 za kuperuzi mtandao wowote lakini una GB 10 za kusikiliza nyimbo Boomplay, wakati sisi baadhi yetu siyo wapenzi wa kusikiliza nyimbo...
  6. GENTAMYCINE

    Kwanini wana Yanga SC na Uongozi wao haujakanusha kauli ya shabiki mwenzao kuwa ushindi wao NBC ni wa Tigo Pesa tu?

    Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club Africaine ya nchini Tunisia kusema kuwa Unbeaten Record yao na ushindi wao katika Ligi Kuu ya NBC ya...
  7. Tajiri Tanzanite

    Vodocom ni kampuni legelege kuliko Tigo

    Hapo vip! Kuna tofauti kubwa sana kati ya hizi companies 2 Leo ukitaka kuswapu line ya Mpesa itakuchukua takribani miezi 3 au 4 ila tigo siku hiyo hiyo ili mredi wamethibitisha pasipo shaka wewe ndio mmiliki wa line husika iliyopotea. Vodacom inapendwa na wazeee ila Tigo inapendwa na new...
  8. Palestine Will be free

    Nimeachana na vifurushi vya TIGO, hawafai hata kidogo

    Nimeachana rasmi na vifurushi vya TIGO, nimerudi halotel japo ni wale wale kasoro jina tuu. Halotel 1500 MB 750 Halotel 2000 GB1 Tigo 1500 MB 650 TIGO 2000 MB 800 N.k N.k In short hakuna mtandao wenye unafuu kwa sasa, ndugu zangu kama kuna mtu anajua mtandao wenye WIFI unlimited, na bei zake...
  9. Palestine Will be free

    Tigo wamepunguza mb+dakika, ni hatari hawa watu

    Mnasikia ninyi TIGO na mitandao mingine, msitufanye watanzania wapumbavu na wendawazimu, mnaendelea kupunguza vifurushi maanake nini!!! Tumewakalia kimya ndiomaana mnaendelea kufanya ambavyo wanataka. Nasema hivi endeleeni tu kupunguza, kuna siku kitawaka, kama hamkuona ofisi zenu...
  10. Mpinzire

    Tigo Tanzania, Tsh 2000 hupati hata GB 1

    Nilikuwa nimeweka vocha yangu ya buku 2 ninunue GB 1! Kuingia kwenye Menu ya Tigo tayari mambo yamegeuka, kwasasa kumbe hiyo GB 2000 hupati hata GB 1 yani! Kweli mpaka kufikia 2025 tutanunua GB 1 ELFU 5.
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mfalme Zumaridi kama umeshindwa kuongoza kanisa, pisha mchungaji mwingine

    Duh.... Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu. Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini? Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani. Yeye kila siku yuko kwenye...
  12. S

    Tigo wamepunguza tena kifurushi cha internet

    Ilikuwa wiki MB 1600 kwa elfu 3 sasa ni MB 1400 kwa elfu 3. Mwanzoni kabisa elfu 3 ilikua unapata MB 2500
  13. tang'ana

    Tigo pesa ina shida gani leo?

    Toka saa 11 alfajiri nataka kumtumia mtu pesa kupitia number yangu ya simu lakini kila nikijaribu naambiwa connection error. Kuna mwingine amekutana na hiyo changamoto au ni simu yangu ndio ina tatizo?
  14. H

    Setting za kujua waliokupigia wakati umezima simu yako (MTANDAO WA TIGO)

    Habari Zenu Waheshimiwa……!!!!!!! Naomba kufahamishwa Settings za MTANDAO WA TIGO au Codes za Kujua alie kutafuta hewani/Au alie Kupigia wakati simu yako ikiwa Off Line/Au ikiwa Imezimwa………!!!!!!! Kwa mfano MTANDAO WA VODACOM kama uko Tanzania ukibonyeza hizi Code *62*0754125125# Ukiwa...
  15. stineriga

    Network mtandao wa Tigo unasumbua maeneo ya Kimara a hakuna kitu mnafanya

    Yaani nikiwapigia watu simu inakata Napigiwa na watu simu inakata Nilijiunga na bando ka Home internet gb 40 nimeshindwa kabisa kufanya chochote Yaani ningekuwa naweza ningewashitaki huu mtandao😡
  16. Execute

    Tigo Tanzania ni wezi kama wezi wengine tu

    Laini mpya kabisa. Nimeweka salio la elfu mbili na sijaitumia kabisa. Baada ya wiki mbili hela yote imepotea. Wiki nzima nawafuatilia mwisho wanasema ulijiunga na huduma kadhaa. Nawaomba wanitumie uthibitisho wamekaa kimya kwenye Facebook page yao.
  17. Nyamwage

    Tigo wameshusha bei sasa ni 600k, niwaombe tu wazee wa snapdragon mtupishe kidogo au piteni kimya kimya

    Hi. Hii simu ina baadhi ya feature za high-end now tigo wanaiuza kwa 600k bei sio mbaya ukilinganisha na simu yenyewe
  18. NetMaster

    Hili tatizo la mtandao wa tigo kusumbua ikifika saa mbili usiku ni mimi au ?

    Nimejaribu kuhamia mtandao huu kwa wiki ya pili sasa lakini sina hamu nao, yaani ikifika mida ya saa mbili usiku spidi ya internet inashuka sana kiasi kwamba hata kucheki video ni kwa kusua sua, mida hii ndio huwa napenda kutumia net lakini kwa hali nayokutana nayo ni mateso tu, si enjoy hata...
  19. Jamii Opportunities

    Head of Pricing, CVM and Business Analytics – MTMSL (Tigo Pesa) at Tigo

    Job Title: Head of Pricing, CVM and Business Analytics – MTMSL (Tigo Pesa) Job Description You drive adoption, penetration and ARPU of customers across all segments, products and services to ensure MTMSL meets its targets by designing and implementing strategies and initiatives that will help...
  20. Jamii Opportunities

    Commercial Manager – MTMSL (Tigo Pesa) at Tigo

    Job Title: Commercial Manager – MTMSL (Tigo Pesa) Job Description You are responsible for revenue budget achievement, product development, portfolio management, pricing and segmentation as well as to provision of business analytics for the tigo pesa corporate business decisions...
Back
Top Bottom