Msaada, laini ya tigo haisomi data

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
656
166
Habari ndugu, ninaomba msaada wa jambo hili,nime-renew namba yangu ya zantel ktk laini ya tigo kama invyofahamika makampuni haya ni mamoja ,tatizo linakuja kwenye data ni kwamba haisomi kabisa nimejaribu data setting za tigo na hata zantel hazionyeshi mtandao kama ni 2g,h+ au 4g ,naomba msaada kwa anaefahamu hili,aksante.
 
Back
Top Bottom