thread

  1. JamiiForums Tanzania Happy birthady

    Kwanza kabisa nashukuru Mungu kwa kuendelea kunipa zawadi hii ya uhai maana Sina cha kumlipa zaid ya maombi na Sala kwake🙏🙏 ✍️Kama Uzi unavyojieleza kama WWE ni mmoja wapo umezaliwa tarehe kama hii Mwezi kama huu Mwaka kila mtu anajua wake naomba tujipigie makofi Maana Mungu Ameweza kutufikisha...
  2. JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    eFootball ni mchezo wa simu unaohusisha mpira wa miguu, na hapa kuna habari muhimu kuhusu mchezo huo: ▫️Jina na Kurekebishwa: Mchezo huu awali ulijulikana kama "Pro Evolution Soccer" (PES), lakini baadaye ulibadilishwa jina kuwa "eFootball." Mabadiliko haya yalifanyika ili kuongeza msisimko na...
  3. JamiiForums Tanzania Vichekesho (Special thread)

    jamaa flani alienda kwenye kibanda cha mama ntilie akaagizia chipsi na mayai. mama ntilie wakati anamuekea akamuuliza"vipi nizichanganye???" jamaa kwa kujifanya anajua kiingereza akajibu"YEAH COMFUSE THEM.."
  4. JamiiForums Tanzania Economics books special thread: vitabu, majarida, uchambuzi

    Huu ni uzi maalumu kwa yoyote yule mwenye kitabu, jarida, chapisho n.k linalohusu uchumi katika mfumo wa soft copy anaweza kutupia hapa ili kila mtu ajifunze mambo mbalimbali kuhusu uchumi. Iwe ni kitaifa au kimataifa hakuna limit ya nchi au eneo lolote. Nawakaribisha wote.
  5. JamiiForums Tanzania Mind Bending Blowing Movies Special Thread

    Ulishawahi angalia filamu ukajikuta una question your reality? una-question everything? Yaani filamu imeilenga akili yako mtazamaji kama ni sehemu ya mchezo. Basi huo ni mfano wa Mind bending/blowing movie. kwa matumizi ya uzi huu: Mind bending films films ni aina ya filamu zenye lengo la...
  6. JamiiForums Tanzania Thread for lyrics only

    Ladies and gentlemen, Tupia lyrics zako pendwa kweny comments, jina la nyimbo na performer wa hio nyimbo. Sio lyrics za nyimbo nzima, just kipande tuu unachokipenda ambacho hata ukiwa maybe ofisini unafanya shughuli zako huwa unakiimba. Lyrics za nyimbo yeyote, Either Bongo Fleva or...
  7. JamiiForums Tanzania Azania Sec. School (SPECIAL THREAD)

    Short history; Azania secondary school is among the oldest schools in the country, started to operate in the year 1933. This means it is now 88 years old (2021). Formally the school was owned by Tanzanians of Asian origin before taken by government in the year 1967. The school is situated in...
  8. JamiiForums Tanzania Utani wa simba scna yanga sc special thread

    Nimezunguka humu hakuna thread ya kutaniana hii itatufaa haurusiwi kutukana humu ni matani tu ndo yanafaa na sio matusi
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special thread to all men: the 35 sacred bro codes

    1. Don't rape. 2. A man doesn't cook delicious food, it's gayish. 3. Two naked men are not supposed to be in the same room. 4. A bro doesn't bath with hot water, he respect his 2 eggs. 5. A bro should know when to leave. 6. A bro should not ask a fellow bro his name, he should call him...
  10. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa awamu ya 3 wa Shindano la Stories of Change

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UZINDUZI WA AWAMU YA 3 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE” Ndugu Wanahabari, JamiiForums (JF) ni asasi ya Kiraia iliyosajiliwa kufanya uchechemuzi wa Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Vilevile, JF inaratibu jukwaa la JamiiForums.com...
  11. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanachama wa JF acheni tabia hii

    Kuna hii tabia ya baadhi ya watumiaji wa huu mtandao ukipost kitu wao wanakuja kudandia maraa ohh "Subiri waje" "Subiri muongozo" ili mradi tu waongeze scores na points kwenye akaunt zao. ACHENIII
  12. JamiiForums Tanzania Muhimbili University of Health and Allied Sciences(MUHAS) SPECIAL THREAD

    Habari wadau wote wa JF. Kweny pitapita zangu za hapa na pale humu JF sijakutana na general thread yeyote iliyoanzishwa kwa ajili ya chuo cha afya na sayansi shirikishi muhimbili, bac nimeamua kuanzisha thread hii mahususi kwa ajili ya chuo chetu pendwa MUHAS kwa ajili ya wote waliowahi soma...
  13. JamiiForums Tanzania Riadha Tanzania | Special thread

    Wakuu nimeona nianzishe huu uzi uwe kama kijiwe chetu cha kujadili na kushauriana mambo mbalimbali kama familia ya riadha. Mwenye maoni, kero, dukuduku na jambo lolote la riadha tutatumia huu uzi. Nina uhakika riadha ndo mchezo pekee hapa nchini uliowahi kuweka alama zisizofutika duniani...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua ama kuelewa kuhusu sponsorship za kusoma vyuo vya afya

    Samahani wakuu anaejua ama kuelewa kuhusu sponsorship za kusoma vyou vya afya atusaidie ambao hatuwezi kujiendeleza. asanteni
  15. JamiiForums Tanzania 3D Printers, Design, 3D Scanning, and other related technology special thread.

    Salaam wana tech. Kama heading inavyosomeka hapo juu, huu uzi utajikita kwenye 3D printing, designing & etc. Lengo la kuanzisha huu uzi ni kutokana na umuhimu wa ukuaji wa teknolojia ya 3D printing na wingi wa faida zake na kwenye hii forum ya JF hamna popote imezungumziwa kwa undani, zaidi...
  16. JamiiForums Tanzania Niliwahi Kushauri hapa kwa kuja na Thread kuwa Ndugu msipende Kusafiri pamoja katika Gari / Basi Moja nikapuuzwa

    Najua kuwa Kifo hakichagui, ila Kupunguza athari yake Kijamii inawezekana kama tu ukiwa makini. Hivi kwa mfano Ndugu mpo 30 mnatoka Dar es Salaam kwenda Shughulini Mkoani Dodoma kwanini nyote mpande Gari / Moja? Kwani mkijigawa Watu Watano Watano mpande Gari / Basi tofauti tofauti kwenda huko...
  17. JamiiForums Tanzania Petroli na Diesel bei Juu. Dola yaelezwa kuwa sababu ya bei kupaa

    Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana ====== MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA...
  18. JamiiForums Tanzania Finally childhood is over special thread

    Karibuni vijana wenzangu born from 1994 up to 2000. To discuss this matter ya kuwa childhood imekwisha!!! Tushauriane namna gani ya kujipatia kipato....ukizingatia wengi bado ni jobless graduates yaani.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Macro economics and Day Trading: Currency Trading short thread

    Siku ya Leo, kuna taarifa njema zilitoka kwenye economic data ya China , ikiwemo Gross Domestic product na pia Industrial Productions. Baada ya news hizo kutoka usiku ambapo watu wa East Africa wamelala, hii ilimaanisha ya kuwa Yuan ilipata strength dhidi ya Euro, ambayo sarafu yake inatokana...
  20. JamiiForums Tanzania Kauli ipi yenye uzito kati ya Adeni Rage na Haji Manara?

    Ifikie hatua ukweli ujulikane, Hivi kauli ipi kati ya hizi mbili iliyokuwa ikiashiria ukweli ndani yake? Tuanze na Haji Sunday Manara, huyu akiwa afisa habari wa klabu ya Simba Kwa wakati huo aliwahi kunukuliwa akiwadhihaki mashabiki wa Yanga kwa kusema kule Yanga wenye Akili ni watu wawili tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…