tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzie pale TFF ilipoishia: Viwanja vinajaa hela haionekani,na takwimu wanaoingia uwanjani wachache,kuna mtandao wa tiketi feki pale TFF?

    Yanga na simba wanajaza mashabiki sana, pamoja na timu nyingine,lakini takwimu zinaonyesha wanaolipia tiketi hawalingani idadi na wanaoingia uwanjani, viwanja vinajaa sana, takwimu zinaonyesha watu wachache ndio wanalipia tiketi. serikali iingie chimbo, haiwezekani viwanja vijae halafu ionekane...
  2. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Je, mpira wetu upo salama? Mwenye CV ya Almasi Kasongo

    Jana nimemsikiliza huyu sijui ndio mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi alivyokuwa anaongelea msimu mpya wa Ligi kuu, ukweli nimepatwa na hofu sana. Anasema wanaendelea kutafuta wadhamini zaidi ya Azam na zimebaki siku chache sana sasa sijui hao wadhamini kwanini hawakutafutwa mapema. Naomba mwenye...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Muhidin Ndolanga afariki dunia, aliwahi kuhudumu kama rais Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania

    Medani ya soka nchini imepata pigo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Alhaji Muhidin Ndolanga kilichotokea leo jioni Dar es Salaam Ofisa habari wa TFF, Clifford Ndimbo ameiambia Mwanaspoti kuwa kifo cha Mzee Ndolanga kimetokea katika Hospitali ya TMJ...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini TFF imeruhusu Simba kusajili makocha vihiyo?

    Makocha wote wa Simba Gomez na Matola hawakuwa na sifa za kuwa makocha wa timu kubwa kama Simba kwa mujibu wa mashindano ya CAF na FIFA hadi hadi kulazimika kuzuiliwa na CAF kwenye mashindano yake. Swali hapa ni je, TFF yetu hawazijui kwa kiasi gani sheria na kanuni za CAF na FIFA? Na kama...
  5. K

    JamiiForums Tanzania TFF wekeni kigezo cha vyeti kwa walio na nafasi za usemaji na uhamasishaji ili kudhibiti ufinyu wa akili unaojitokeza

    Jambo hili ni muhimu sana.Utakuta mtu anafanya personal attack kwa muwekezaji na biashara zake kisa alinyimwa mshahara anaoutaka. Jambo hili ni ugaidi wa kibiashara na lisipoangaliwa vizuri litaleta shida sana baadae. Kama wewe ni msemaji wa timu pinzani hakuna sababu ya kuleta personal...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba yatia aibu usajili wa Yusufu Mhilu, inategemea tena TFF iibebe kama kwa Morrison

    Simba kumsajili na kumtambulisha Mhilu mwenye mkataba halali na Kagera bila kufuata utaratibu inamaanisha nini?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Athari za TFF kutoa ruhusa klabu za Ligi Kuu Kusajili Wachezaji 12 wa kigeni

    kwa hatua hii bila shaka itauwa vipaji vya soka la vijana wetu kwani ni wazi sasa vilabu havitakuwa tena na mda wa kupoteza wa kulea vijana ili hali kuna soko tayari nje nje la vijana kutoka nje waliolelewa vizuri na wapo tayari kutoa matokeo mazuri (ikumbukwe lengo kuu la wamiliki wa vilabu...
  8. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Unaishangaa TFF kwa viporo VPL? Chukua hii

    Ikiwa ya imebakia Masaa kadhaa kabla ya tarehe ya mwisho ya kufanya usajili wa timu zitakazo shiriki michuano ya Afrika msimu ujao ligi ya Misri Epl bado haijaisha na Wala bingwa na top 4 itakayoshiriki mashindanoo hayo bado haijulikani. Hivyo imezua sintofahamu ya timu zipi zinatashiriki...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa miaka 10 wa haki za kutangaza ligi kuu kati ya TFF na TBC uchunguzwe

    Kuingia mkataba mrefu wa miaka 10 na Taasisi moja tena Taasisi yenyewe kama TBC, ambayo siku yoyote yaweza kukatisha matangazo ya soka kwa vile kuna kiongozi anazindua vyoo vya Stendi lazima tuchunguze, hawa TBC hawako huru kiasi cha kuingia mkataba na mtu yeyote. Kwanza walishindanishwa na...
  10. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania ZBC yangia Makubaliano na TFF Kutangaza Matangazo ya Mpira Redioni yennye thamani ya 3.5bilioni

    TBC na TFF wameingia makubaliano yenye thamani ya Tshs 3.5bilioni ambapo TBC watakuwa na haki xa kutangaza mpira wa ligi kuu kwa upande wa Redio. Makubaliano hayo yatakuwa no kwa miaaka 10 ambapo hakuna radio yoyote itakayo ruhusiwa kurusha matangazo hayo mpaka wapate kibali toka TBC. Una...
  11. Cvez

    JamiiForums Tanzania Yanga wapo busy kujadili uwekezaji wa MO halafu msimu ukianza wanaanza kulalamikia TFF

    Wakati Mashabiki wa Simba wanajiuliza kua Chama na Miquissone kama wataondoka au watabaki na usajili upi ufanyike ili timu ifike nusu fainali au fainali ya CAF. Utopolo wapo busy kuuchambua uwekezaji wa MO na kuuona ni upigaji. By the way kipindi ambacho Yanga wanafuraha ni kipindi hiki cha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji anzisha king'amuzi chako, Azam wanatawala sana

    Bilionea Mohamed Dewji, wewe ni mdau mkubwa wa soka na unaufahamu vizuri sana. Najaribu kukushawishi uanzishe king'amuzi au decorder itakayoitwa mo sattelite tv. Pamoja na vipindi vingine uanzishe channel za soka za kuonyesha live mechi za ligu kuu ya bara. Ukiritimba wa azam na TFF ni hatari...
  13. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Zahera aliadhibiwa kuvaa pensi; Morrison kavaa chupi hajaadhibiwa. TFF mnaiogopa Simba?

    Huu ni upumbavu kabisa! Aliekuwa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera aliadhibiwa kwa kuvaa pensi Kitendo cha Morrison kubaki na chupi nilitaraji kusikia Waziri husika, BMT na TFF vikikemea tendo lile Mpaka sasa hakuna aliyeamka kuongelea inasikitisha sana sana Unawaza shida n isimba ama shida ni...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania TFF wanadaiwa mamilioni na mama F. Bayi

    Nimesikia aibu sa na kuona mzee wangu Filbert Bayi akilalamika TFF kwa kuidai pesa za mamilioni kwa kuihifadhi timu ya Taifa. Nawapa onyo wafanyabiashara mnaodanganywa kusaidia timu za taifa mtalipwa mtalia. F.Bayi ameiletea history Tanzania katika kujikimu akaweka vitega uchumi vyake...
  15. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kampuni inaweza kuanzisha ligi ya mpira wa miguu tofauti na hii iliyo chini ya TFF?

    Habari wakuu, Hapa namaanisha kampuni inataka kuwekeza kwenye mpira wa miguu. Inatafita viwanja vyake, kwa kukodi au kwa kujenga. Kisha inatafuta timu na kuanzisha ligi yake. Mapato ya mlangoni na haki za matangazo inachukua. Yaani kampuni inaendesha kila kitu, inakuwa haiko chini ya TF wala...
  16. BASIASI

    JamiiForums Tanzania TFF na Simba SC andaeni faini za Kigoma na mjiandae na kipigoo kingine, hatuwaachi

    Baadaaa ya yanga kupigwa faini Naomba tuwajulishe TFF na Simba SC yao mwendo ni uleule Mjiandae Kigoma na faini zingine. Yale mabomu mnayotegaga mi Langoni tunayalipua mwanzo mwisho Hivyo basi andaeni na faini ya kigoma kipigo kilekilee Kauli mbiu-kigoma Fainiiii ijeeeeee Kipigooooooo...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TFF wasikitishwa na kauli ya Bashe kuhusu mechi ya Simba na Yanga

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limetoa wito kwa viongozi wote nchini kuacha kutoa kauli zinaweza kuchochea vurugu katika mpira wa miguu. Kauli hiyo imekuja baada ya TFF kusikitishwa na kauli ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye alisema waamuzi wa mechi ya Simba na Yanga...
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yasitisha uchaguzi mkuu TFF, Wallace Karia aitwa Mahakamani

    Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kuwaita Rais wa TFF, Wallace Karia, Bodi ya Wadhamini & Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, kujibu hoja kwa nini uchaguzi huo usisimamishwe. Wanatakiwa kufika mahakamani hapo kesho asubuhi.
  19. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Uchaguzi ya TFF yapitisha Jina la Wallace Karia kuwa Mgombea pekee wa nafasi ya Urais

    Wallace Karia amekuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya Kamati ya Uchaguzi ya TFF kuwaengua Evans Mgeusa na Hawa Mninga kwa kukosa sifa. Karia anagombea nafasi hiyo kwa muhula wa pili. ====== Wallace Karia amepita kuwa Mgombea pekee...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Azam kombe la FA ni ushahidi mwingine dhidi ya TFF na Simba

    Kama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia magori ya vile. Hakuna atakae subiri filimbi ya refa tena. Mechi ile irudiwe kwa maslahi ya mpira wetu...
Back
Top Bottom