kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,301
- 12,600
Makocha wote wa Simba Gomez na Matola hawakuwa na sifa za kuwa makocha wa timu kubwa kama Simba kwa mujibu wa mashindano ya CAF na FIFA hadi hadi kulazimika kuzuiliwa na CAF kwenye mashindano yake.
Swali hapa ni je, TFF yetu hawazijui kwa kiasi gani sheria na kanuni za CAF na FIFA? Na kama wanazifahamu zote ni kwanini imewawia vigumu kuwazuia Gomez na Matola kufanya kazi Simba kutokana na vyeti vyao kuwa hafifu?
Tukio hili limeimbua Simba na TFF kwa pamoja, linapigilia msumari wa mwisho kwenye uthibitisho wa tuhuma za Karia na TFF kuipendelea sana Simba kiasi Cha kushindwa hata kuionya na kuikatalia chochote.
Tunaunganisha dots za viporo vya Simba, ratiba rafiki za Simba kwenye ligi, adhabu za Yanga na uhamisho wa Morrison.