tetesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania CCM Manyara yakutana kumjadili Pauline Gekul, kutoa tamko Novemba 27, 2023

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimefanya kikao leo Jumapili Novemba 26, 2023 kujadili sakata la Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul anayekabiliwa na tuhuma za ukatili na udhalilishaji, na kesho Novemba 27, 2023 kitatoa tamko lake. Gekul anatuhumiwa kutoa maelekezo kwa kundi la...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Musiba kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya, anaweza kupewa Arusha, Hai au Tarime

    Kuna tetesi zinatembea "chini ya kapeti" kwamba Musiba anaweza kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya katika hizo Wilaya tata kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.Tega sikio
  3. B

    JamiiForums Tanzania Maandalizi kuelekea maandamano ya amani kesho Novemba 9

    Kwamba taarifa zote zilifuatwa. Hata ilipobidi rufaa ilikatwa kwa waziri: "Silence gives consent." Kesho tutamwagika mitaani kwa maandamano yatakayokuwapo kila tarehe 9 ya mwezi hadi hoja zetu zitakapojibiwa. Kwako Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, rais wetu mpendwa wa JMT: "Kuna tetesi...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kuna Mzungu Mmoja anaishi kota za SUA Sokoine Campus Kilimo Street, anawaingilia wanaume kinyume na maumbile na jamii SUA inajua miaka mingi

    Wajibu wangu ni kupiga mbiu mamlaka timizeni wajibu wa kuilinda jamii. Mkisikia ushoga upo basi jamii underground wanayaona na kuyafunika kuna Tetesi zisizo na mashaka za miaka mingi, bodaboda na bajaji na wanajamii ya SUA wanajua hilo na wanashuhudia ugomvi wa mashoga ama wanaume kwenye makazi...
  5. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Gari la Magereza lagonga treni ya abiria maeneo ya Ukonga, mtu 1 afariki dunia 10 wajeruhiwa

    BUS LA MAGEREZA LAGONGA TRAIN MAENEO YA UKONGA ===== Gari la magereza lagonga treni ya abiria maeeo ya Ukonga na kusababisha kifocha mtu 1 a majeruhi 10, wanawake 5 na wanaume 5.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

    Kwa hali inayoendelea na kwa uzoefu wa mambo ya bongo yetu soon makonda atakula teuzi, naona kabisa kuna upande unamuhitaji kwa kudhani anaweza kuwa msaada kwao, haihitaji kuwa kwenye system kuijua bongo yetu.
  7. Black jew

    JamiiForums Tanzania Tetesi: DSTV kuindoa chanell namba 160 Maisha Magic Bongo

    Dstv kuanzia Oktoba, chaneli namba 160 haitakuwepo tena. Zingatia kuwa hii ndio chaneli pendwa na dada mama na wadogo zetu je ni kweli au ni tetesi tu
  8. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Steve Harvey na mkewe wakanusha, tetesi za kuachana

    HARVEY: MIMI NA MKE MAMBO SUPA BULL BULL Mara baada ya kutawala kwa habari zakuachana na mkewe, Marjorie Harvey katika mitandao ya kijamii, mchekeshaji na mshauri wa mambo mbalimbali, Steve Harvey ameibuka na kusema kwamba yeye na mkewe mambo mazuri kama kawaida. Tetesi hizo ambazo zilianza...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

    Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege Watanzania tumuombee apumzike kwa amani! Source: Al jazeera ==== Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa anadaiwa kusafirishwa Usiku huu (August 14, 2023) kuelekea Mbeya

    Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya, kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani ...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kesi za uhaini ni mpango wa kuwanyamazisha wapinzani mpaka 2025 ipite

    Huu ni mpango kabambe, umeshasukwa umesukika. Kuhusu kudakwa mmoja mmoja, si tetesi tena kwa sababu tayari wapo huko kusikojulikana. Ishu ni hii, wapewe kesi ya uhaini ambayo hawatotoka kamwe. Tayari mashtaka yameshaandaliwa, wote watakao dakwa imepangwa, ni sarakasi hadi 2025 ipite. List yao...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tetesi za usajili Ulaya kabla ya dirisha kufungwa Septemba 1, 2023

    Dirisha la usajili Ligi Kuu kubwa Ulaya linatarajiwa kufungwa Saa 5:59 Usiku wa Septemba 1, 2023, kuna taarifa nyingi kuhusu usajili, hizi ni baadhi Chelsea ina nafasi kubwa ya kumsajili kiungo wa Brighton, Moises Caicedo (21) kwa Pauni Milioni 115 (Tsh. Bilioni 364) ambaye pia anawaniwa na...
  13. Elly official

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu

    Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara. Jambo hili limenisikitisha sana...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Barbara kutua Yanga

    Tetesi bado hazijaweka wazi anakwenda Yanga kufanya kazi gani but zinasema anakwenda Yanga na muda si mrefu atatangazwa rasmi. Barbra: Karibu sana kwenye klabu yako ya tangu utotoni kule simba ulikuwa kikazi tu ila mapenzi yako yapo Yanga.
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dili la Mayele kwenda Pyramid lina asilimia kubwa ya kubuma, huenda akaungana na Feitoto Azam

    Kwa jinsi mambo yanavyokwenda inaonekana hao Pyramid hawana hata shida na Mayele kihivyo. Ni hivi za nyuma ya kapeti kutoka mitaa ya jangwani ni kwamba: 1. Mpaka sasa Pyramid bado hawajaingiza hata senti tano kwenye akaunti ya Yanga kwa ajili ya malipo ya kumnunua Mayele. 2. Yanga wamewapa...
  16. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Balozi Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa ubalozi na kukamatwa!

    Kama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari. Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha. Ilikuwa akamatwe jumanne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe...
  17. carnage21

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanaume wengi hatupendi kutumia kondomu

    Kwenye #SupaBreakfast ya @EastAfricaRadio Baada ya Waziri wa Afya @ummymwalimu kutaja mambo matatu yatakayo maliza ukimwi, Babu @david.gumbo.5 ametoa maoni yake yanayochangia ugonjwa huo kuenea. "Nimefanya research ndogo asilimia kubwa ya sisi wanaume hatupendi kutumia mipira (kondomu) mwanamke...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Paul Kagame nyuma ya DP world

    Wajumbe, Hili dude la mkataba wa DP World na Serikali ya Tanzania ina makando-kando mengi. Katika kufukunyua nimekutana na wavaa miwani mieusi tena ni PSU. Huyu Bwana amenidokeza kwamba katika uwekezaji huu Rwanda ya Paul Kagame anayo hisa 17% katika kampuni ya DP World na ndiye amekuwa na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

    By MMM Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh. Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete. cae no. ICSID No. ARB/17/33 Serikali ya...
  20. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Fabrice Ngoma kutekwa na Simba

    Hizi habari si za kweli. Simba hawawezi mchukua Ngoma. Huyu anakuja cheza Yanga piga ua. Acheni kujitekenya na kucheka wenyewe.
Back
Top Bottom