tetesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge wa viti maalumu wa CCM kutakiwa kugombea majimboni, bunge lijalo viti hivyo ni kwa wanawake wasomi wenye maono

    Ndio taarifa zinazosikika jijini Dodoma kwamba wabunge wote wa viti maalumu na wale wa kuteuliwa sasa wameshapata uzoefu wa kibunge hivyo chama kitawataka wakatafute majimbo wagombee. Bunge lijalo linategemewa kuwa na wabunge wa viti maalumu wote wapya waliosheheni sifa za kisomi na ubobezi...
  2. Tusker Bariiiidi

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mkurugenzi wa ICAP Tanzania, Dkt. Fernando Morales afariki Dunia

    Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa linalojishughulisha na masuala ya Afya – ICAP kutoka Chuo Kikuu cha Columbia New York, Dkt. Fernando Morales amefariki dunia Habari zaidi kukujia punde WASIFU WAKE (KWA UFUPI) Dr. Fernando Morales is ICAP’s country director in Tanzania. In this role, he...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Makonda huenda ikaibua mgogoro mkubwa wa Kikatiba

    Nipo mahali nimejichimbia nasikia zakunyapia nyapia kauli aliyo itowa mh Makonda ikiwa itatekelezwa itaibua mgogoro mkubwa wakikakatiba jambo litaisumbuwa serikal na hasa ukizingatia mh Makonda yeye sii sehem ya bunge wala sio msemaji wa Bunge. Pili mwenye Mamlaka na wabunge sio Serikal kuu...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rosa Ree kuingia WCB Wasafi. Tazama Ngoma Waliofanya na Rayvanny

    Inasemekana etiii WCB Wasafi wanampango wa kumnyakuwa Rapper wa Kike Rosa Ree, Ngoma waliofanya na rayvanny ni kuanza kuandaa mashabiki kwa ujio huo mpya ndani ya WCB Wasafi Ngoma yake mpya iliyokaa number moja trending kwa siku kadhaa youtube akiwa na rayvanny nimekuwekea hapa chini:
  5. denooJ

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

    Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema "Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."
  6. G Sam

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Meneja wa Aga Khan Outreach Services, Fayyaz Mohammedtaqi afariki dunia

    Fayazz ambaye alikuwa Mkuu wa Aga Khan Outreach services amefariki dunia mapema usiku wa kuamkia leo. Fayazz ni mfamasia kitaaluma. Kliniki zote za Dar za Aga Khan (ukiacha main Hospital) ndio alikuwa anaongoza.
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nadhani watu wanaotaka kuleta taharuki ya tetesi za Lockdown nchi nzima wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali za kisheria

    Yaani jitu kisa limeweza kuafford kununua smartphone na kuweka bando basi linatiririka tu tetesi za ajabu ajabu anazojitungia kichwani kwake bila kufikiria Impact yake, eti kwamba kuna total lockdown hivyo kila mtu ajaze mahitaji yake ndani! Jamani, hivi hayo mahitaji ya mwezi mzima huko...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Diamond alitaka kumuoa Hawa wa Nitarejea lakini demu alichomoa

    Halo wadau wa celebrities forum. Nimepata habari sehemu kuwa kijana wa Madale aka Simba, Dangote, sukari ya warembo au Diamond Platinum, alitaka kumuoa Hawa wa Nitarejea enzi hizo, lakini binti alimkataa. Wimbo wa Nitarejea ni moja ya nyimbo ya kwanza za Diamond akimshirikisha binti Hawa...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania SP Mwaija, mkuu wa intelijensia polisi mkoa wa Kilimanjaro awanyanyasa na kuwatesa wafanyabiashara mkoa wa Kilimanjaro

    Kilio cha wafanyabiashara kifanyiwe kazi, IGP mkuu wa kitengo cha intelijensia polisi mkoa wa kilimanjaro SP MWAIJA amekuwa kero kwa wafanyabiashara kwenye mkoa wa kilimanjaro. SP Mwaija amekuwa akiwapatia vitisho pale ambako anakuomba rushwa na kutompatia.Mara nyingi amekuwa akuwaita ofisini...
Back
Top Bottom